BLANDINA
Stori hii ina muhusu msichana wenye umri ya maika 26 aitwaje
Blandina ambaye anazua balaa siku ya maaandalizi ya harusi yake baada ya kukataa kata kata
kuvaa shela la harusi..
Binti huyu alisikika akisema : “nataka nivae suruali tena ya
kubana ya jeans)”ndugu zake wasijue cha
kufanya zaidi ya kulia mpaka wengine
wakazimia na kulazwa amana na mihimbili…huku wakihisi mwanao labda atakuwa
amelogwa…?
Basi wakaita kundi la wachungaji na mashehe ambao nao maombi
yao hayakuzaa matunda,Blandina alishikilia msimamo wake ule ule kuwa katu hato
vaa gauni wala sket..anataka suruali…
Je nini kilimfika bint huyu mpaka kuchukia mavazi haya…je ni
mapenzi yake au anatatizo fulani ?
Ni siri ndani ya siri ,mikasa ndani ya mikasa..naileta kwenu
simulizi hii ya kusisimua upata kuelimika na kuburudika..
Blandina mama…msichana mrembo aliyefanya harusi yake
ihairishe mara tatu …kisa tu ni kugoma kuvaa sela..
simulizi inaanza hapa
enjoy..........................
BLANDINA FULL STORY....
Baba lakini ndo nini sasa unafanya…
Wewe tulia usilie mama naweka dawa ya kukufanya kila atakaye
kuona avutiwe na wewe pia na uwe na akili darasani sawa mama.
Balndina m zinaniumiza hizo nyembe zako…
Wakati huo wote baba yake balandina alikuwa bize kumuweka
mtoto wake dawa maalumu itakayomlinda na kumpa uwezo wa kujulikana kila alipo
hivyo.dawa hiyo kwa jina ngwangwa ilikuwa imetoka kigoma na baba yake
blandina.walichomwa chale za kutosha wote nyumba zima kuanzia balandina
mwenyewe mpaka kaka yake fred,ambaye alikuwa mkubwa kidogo ya blandina na
alikuwa form two..
Miaka kadhaa baada baada ya blandina kumaliza form
six,alikuwa na hamu kubwa ya kuwa na rafiki wa kiume kwa maana kila
waliotongoza walimuacha kwa sababu mbalimbali ikiwemo kutokewa kubwa ni baba
yake blandina kuwatokea usiku na kuwapa maonyo makali kuhusu mwanae.kwa mfano
rafiki yake wa kiume samalimfwata na kumwambia
Blandina mama mimi nilikuwa na kupenda sana hata sasa wangu
nakupenda ingawa familia yenu ina mambo ya kishirikina mno huwezi amini jama
baba yako nimekutana nae mwenge akanisimamisha na kuniambia niachane na wewe
ama sivyo atanionyesha na baada ya kusema hivyo akapotea.
Blandina
Baba we koma baba hayupo dar yupo Kenya sasa kajaje mwenge …
Sam
Mama huu ni ukweli kuanzia leo mimi na wewe basi fanya yako
nifanye yangu…
Blandina
Ndo milivyo wavulana ukiona umepata wengine basi mapoz mengi
sawa..haina shida sam kwa kututukana mimi na familia yangu wachawi….
Sam
Sijawatukana baba yako kanitokea zaid ya mara moja sasa kama
sio uchawi ni nini??
Blandina
Hata mimi baba yako alinitokea…m muonee..
Sam
Basi sawa wachawi wameachana…m nimeamua kuokokaaaa
Blandina
Sawa baba kheri….
Sam alikuwa mvulana wa tano kumwambia balandina hivyo katika
kipindi cha miaka mine na kitu kilichompa uhakika kuwa baba yake anafanya mambo
ya kishirikina ili asiwe na wavulana karibu.ilibidi ampigie simu na kumuuliza
na baba yake alikataa katakata kijihusisha na mambo hayo ya kichawi zaid
alimsisitiza mwanae asome aachane na hao wavulana hawana cha kumpa.m
Maisha yaliendelea mpaka aakaweza kumaliza shule na kufaulu
vyema na kuingia chuo na mwaka wa kwanza alikutana na mvulana ambaye yeye
binafsi alirizika naye na kumtaka sana amuoe na kwa kuwa mvulana huyo alikuwa
pia anampenda sana blandina alikubali na kuanza utaratibu wakjianda lakini
mambo ya ajabu yalianza kumtokea baba yake blandina alianza kumtokea kama
kawaida yake na kumpiga biti akae mbali kabisa na mtoto wake..ikabidi siku moja
amwambie blandina kuwa kuna mtu huwa anitokea na kuniambia kuwa kama nitajaribu
kukuowa tu lazima tutakufa wote..
Blandina kabla hajajibu alianza kulia na kufanya mpenzi wake
huyo aliyekuwa anaitwa imam kumuuliza nini mama kuna kitu unakijua sikijui…
Balndina akajibu:hapana baba..
Imam:sasa unalia nini…
Blandina:we niaache kwanza kunakitu nimekumbua mpenzi…
Imam:ok pole dear pole sana..
Immma akaendelea kumbembeleza blandina bila mafanikio
kabisa..
Blandina:nakuomba uniache nikapumzike kidogo nyumbani …
Imam:unaenda nyumbani ..vip vipindi vya kesho…
Blandina;nitatafuta mtu anifundishe inabidi niende nyumbani
tu…..sijisikii vizuri…
Imam;poa dear ngoja nikusindikize…
Blandina;mmh powa..
Wakiwa njiani hawakuweza kuongea kitu chochote maana
blandina alikuwa anauzuni sana na imam alikuwa anamuangalia na anshindwa
kuelewa kwa nin taarifa hile imenuuma sana kiasi kile.walipo dika nyumbani kwao
mbezi ,imma hakuingia ndani aliishia nje…na kurudi zake chuo..
Nyumbani kwa kina blandina sasa…
Blandina alingia zake ndani na kukutana uso kwa uso na baba
yake alikuwa sebuleni anaangalia tv.blandina alipita zake kama hajamuona vile
na kuingizake ndani na alipofika chumbani kwake alikusanya kila kilicho chake
na kabla hajaondoka gafla aalitoke mama
yake na kugonga mlango..
Blandina alifungua mlango na mama yake alishangaa kuona
mwanae anapanga nguo bila hata yeye kuwa na taarifa..basi wakaaza zungumza pale
Mama:eeeeh nini wewe tena…..
Blandina:safi shikamooo…
Mama:marahaba sasa unaenda wapi mama
Blandina:naenda kujitegemea..
Mama:eeeh wewe nani kakuambia kuwa unaondoka hapa bila
utaratibu…
Blandina:mama mimi ni mtu mzima naweza kuitegema na hakuna
anayeweza nizuia..
Mama:oooh washakujaza upepo huko chuo sio mwaka wa kwaza tu
unataka kujitengemea…
Blandina:mama nakuomba uniche kwanza …
Mama haya ngoja nikamwambie baba yako maana sasa hii nyumba
wakubwa tumekuwa wengi imeshakuwa shida mungu wangu...mama blandina akaelekea
sebuleni na wakazungumza kuhusu kuondoka kwa blandina lakini baba yake akamshauri
mama yake kuwa bandina anajua anchokitenda sasa muache aende tu sema cha
kufanya nenda hapo ndani kachukue milioni 5, umpe ili aweze kupata nyumba zuri
ya kukaa..mama blandina akafanya kama alivyoambiwa na baba watoto wake na
blandina alizichukua zile pesa na kwenda kupanga vyumba viwili mtaa ya mwenge
na huko ndio yalianza mabalaa maana kila alipokuwa nalala alikuwa naota ndoto
nyingi za ajabu mara ajikute sebuleni ingawa aalipokuwa analala alila
chumbani,blandina alijitahidi sana kwenda kwenye mahubiri na kuombewa na
kuanguka mara kadhaa lakini aliporudi tu nyumbani mambo yalikwenda vile vile…
Siku mmoja baba yake alimtokea blandina usiku wa manane na kumuamusha..blandina
aliposhituka alipiga kelele baada ya kumuona baba yake inagawa hakuna
aliyesikia..
Baba yake akamwambia:mwanangu huwezi kunikimbia hadi kufa
kwako wewe ni wangu huwezi kimbia nilishakuwekea kila dawa ya ajabu hata hayo
maombezi unayoendaga hayana maana kabisa,maana mimi huwa nawagawia nguvu za
miugiza hao watu hawana kitu kabisa kuna mtu mmoja tu hapa Tanzania anweza kukuponya mama,utajiri
wangu upo kwako na ukitoa tu huo mfumo na mimi nimekufa na nahakikisha huwezi kuutoa
na moja ya njia ya kupunguza nguvu ni zinaa na huwezi kufanya zinaa wanangu mpaka
niamue mimi na huwezi kuolewa kabisa mpaka utakapo kufa.akili zako zote
nimekupa mimi ndo maana hata usiposoma unafaulu.baada ya kusema hayo baba yake
alitoweka zak
No comments:
Post a Comment