SEHEMU YA 3:SIKU NILIPOTONGOZWA NA BABA YANGU FACEBOOK

SIMULIZI YA KWELI
 SEHEMU YA TATU
 SIKU NILIPOTONGWA NA BABA YANGU FACEBOOK
 0713592224
 www.simulizizakweli.blogspot.com
 kujiunga na facebook fans page :bonyeza hapa """facebook page""

Huku akijisemea moyoni:pesa Napata ila hii akaunti fek presha kweli mungu wangu..
Siku moja yupo yupo tu nyunbani siku ya wikiend akiendeleza kuchati huku akiangalia tv alikuta msg imeingia katika account yake fek ikimuomba urafiki,alipoangalia vizuri gundua kuwa msg ile imetoka kwa boyfriend wake ambaye wanapendana sana na wapo pamoja kitambo..
Fetty akasita kijibu akaipotezea akaendelea kuchat na vimeo wengine waume za watu waliokuwa hawaishi kwenye inbox yake kama ambavyo machinga hawaishi pale ubungo stand,fetty alijitahidi kuwahimili kwa kutumia lugha zote kingereza na Kiswahili ili mradi tu aweze kupiga kibomu na muda mwengine anaambulia matusi mkubwa makubwa na muda mwingine wanamtumia kwa western union,na akaunti ya tigo na voda aliyosajili kwa jina la tabu ambaye alikuwa mama yake mdogo na kwa sasa ni marehemu alitumia kitambulisho hicho ili siku mambo yakimkalia puani ajue jinsi gani ya kusolve kirahisi..


Julius akatumia msg
Mambo mrembo
Fetty:safi hy
Julius; za weekend
Fetty:safi
Julius:wapi sasa weekend leo
Fetty:nipo tu hapa hostel nafanya assignment
Julius:sasa huko tumaini mnafunga lin
Fetty:wezi wa pili
Julius:nashauku nikuone live
Fetty:usijali utaniona tu soon..
Julius:vipi maisha ya shule mama?
Fetty:shule ngumu,na bodi hawajatu finance basi majangamatupu..
Julius:sasa mna ishije huko asee…
Fetty:kwa msaada wa mungu tunaishi…
Julius:du..pole sana mama sasa ngoja nikufanyie kampango hapa hata wa laki 2 sio mbaya..
Fetty:nitashukuru sana umekuwa rafiki mwema sana mungu akubariki sana na akuongezee pale ulipo punguza..
Julius;usijali mama ni mambo ya dunia tu kusaidiana..
Fetty :yaani siamini asante sana….
Julius: asate na wewe pia pia unaweza nicheck whatsapp

Fetty;ningependa sana sema simu yangu



No comments:

Post a Comment