MAMA MKWE..(simulizi ya kusisimua na kusikitisha)

MAMA MKWE
Raha ya ndoa amani na upendo,ndoa ni zaidi ya mume na mke,…
Kweli kikulacho kiko nguo mwako..
Ndoa imekuwa rahisi…gafla imekuwa ngumu..gafla hakuna ndoa tena..
Mama mkwe kaharibu picha ..katabasamu msibani…
FWATILIA SIMULIZI HII NI ZAIDI YA SIMULIZI….




















Jamani nyumba yenyewe kubwa nimeachwa peke yangu sijui nifanyeje…?huyu mkwe na mwanangu bwana wana mambo kweli yaani jumba lote hili wanakaa watu watatu tu…du watoto wa sikuhizi wana rahaa…ngoja nitembee tembee vyumbani niangalie kuna nii humu ndani cha kuweza kuliwaza..
Basi mama mkwe akaanza kuperuzi chumba baada ya chumba akiangali vitu vilivyo ndani na kushangaa hiki na kile..alianza na chumba cha watoto na stor,na mwisho alifika vyumba vya wafanyakazi wa ndani huku alikuta maajabu baada ya kufungua aliwaona wafanyakazi wawili wa mwanae wakiwa bize wakifanya mambo ya kikubwa..
Basi mama mkwe aliendelea kula video ya bure kabisa bila kuwashitua baada ya saa kama mbili hivi wakamaliza hivyo mama mkwe kuzuga akajifanya anawaita hivi ndipo..salome (housegal)aliitaka na kutoka nje..
Mama mkwe kwa ukali ulikwa umelala mchana …
Salome:ndio mama
Mama mkwe:sawaaaa niandalie maji ya kuogaaa
Salome:sawa mama…
Baada ya suzy kwenda zake mama mkwe alingia ndani ya chumba alichotekea salome akamkuta dani(houseboy)na kuwambia aliona kila kitu sasa kuna haja ya yeye kujua anatakiwa kuacha tabia hiyo haraka sanaaaa…dani aliogopa sana na kumuomba sana mama mkwe amsamehe..
Mama mkwe:usiwe na wasiwasi mwangu nitakulinda ukinilindaaa
Dani:nikikulinda kivipi…
Mama mkwe:utajuaaaaa tu..usijali
Basi mama mkwe akatoka zake akarudi sebuleni na kuendelea na harakati za kuchagua vyumba vingine..
Baada ya kumaliza vyumba vya wageni aliamua kupanda gorofani kukagua chumba cha wanae na mume wake..
Huku alikuta chumba kimefungwa hivyo ikabidi angie chumba cha pili ambacho mara nyingi hutumika kama ofisi ya mkwewe ndipo aliamua kuweka kambi huko na kuperuzi  mafaili na kisha akabonyeza komputa maana alikuwa na ujuzi kidogo wa it na kukuta computa hiyo ikiwa na password hivyo alianza kujaribisha kuingiza majina ya watu wa karibu wa mkwewe mpaka alipoweza kufungua computa kwa jina la mjukuu wake..
Ndani ya komputa alikuta mafaili kibao yakionyesha mwanae na mumewe wakiwa sehemu mbali mbali wakila raha..ndani na nje ya nchi..ndani ya hizi picha pia kulikuwa na short  movie zilizokuwa zikionyesha wakiwa ndani ya 5 kwa 6  wakifanya yao..hapo palimfanya mama mkwe atulie kwa muda huku akiangalia movie hizo kwa makini..
Ndani ya hizo muvi alisikia sauti ya mkwewe akimlaumu mwanae kwa nini yupo slow mno..
Kitu ambacho mama mkwe aligundua kuna tatizo kwa wanae hayajui vizuri mambo yetu kiasi cha kumuachia mwezake mzigo  wote wa kula tunda..
Alitoka huko na kukuta maji ya kuoga tayari yapo bafuni na kabla hajaenda kuoga alimtuma hausegal nje akamchukulie vocha.kipind haousegal anaenda dukani (maduka yako mbali kidogo na nyumbani)mama mkwe alituma fursa hiyo kumuita houseboy na kumuuliza kama anaweza kumuogesha..
Houseboy akasema hatoweza….
Mama mkwe:wewe wewe huwezi kivip ….nisema kwa mwangu…
Houseboy:hapana mama ilaa….
Mama mkwe:ila nini…….
Houseboy:sitoweza mama/…
Mama mkwe:utaweza tu …tende huko…


Huko bafuni houseboy aliambulia penzi la mama mkwe na kuogeshwa juu..haouseboy alichanganyikiwa na nusura azimie..alipotoka bafuni kila mtu alikuwa kinya na muda si mrefu akarudi haousegal na vocha pamoja na mboga ya kupika jioni…
Usiku ulipofika majira ya saa 2 mwanae na mumewe walirejea na mtoto wao..wakazungumza na kila mtu akaenda kulala..kwa kuwa houseboy alikuwa analala chumba karibu na mama mkwe alitoroka usiku na kuenda kwa mama mkwe kuendeleza uflauni wao huko ..huku wengine wakiwa wamelala..
Asubuhi kazi ziliendelea na ulipofika muda wa saa nne ndipo salome na dani walianza kamchezo kao kama kawaida huku dani akionekana amechoka choka na kushidwa kumiliki mpigo ya salome .huku dani akijua kuwa mama mkwe anajua kiachoendelea …na alikuwa anajua kwa sasa yupo mlangoni akichungulia kinachoendelea ndani ya chumbaaa..
Basi ratiba ya dani ilikuwa ngumu sana  mchana salome na jion alikuwa na mama mkwe..huku mama mkwe akiwa na wivu na kitu ambacho kilimpa wasi wasi sana salome maana mama mkwe alianza kumtukana na kunyanyasa nyanyasa  salome..ilifika wakati mama mkwe akata salome aondoke ili aweze kuimiliki dani vizuri…
Jaribu hio liligonga mwamba kwa kuwa mkwewe hakukubali kumuachia salome na kusema kuwa salome ni moja ya wafanyakazi bora waliokwisha wahi kuwa nao.basi baada ya jaribio la mama mkwe kushindikana basi ikiwa na pata shika ndani ya nyumba..pindi wanae na mkwewe wakienda kazini salome na mama mkwe wallikuwa wakishinda na kanga moja tu ndani na muda wote walikuwa wakijipitisha mbele ya dani ..
Kwa kuwa mama mkwe alikuwa na akili nyingi za kufikiri basi alikuwa anapigia simu mwanae na kusema na kumuomba apikiwe hiki mara kile hivyo salome alikuwa akitumwa mara kwa mara kwenda sokoni kununua vitu anavyotaka mama mkwe.
Kipindi salome akienda sokoni mama mkwe akawa anamiliki nyumba na dani  pamoja na kupata fursa ya kufanya yao..huku wakiwa wamefunga geti..
Kwa muda wa wiki mchezo wao uligundulika kwa salome baada ya kutegesha simu yake ya kamera chumbani kwa dani pindi alipokuwa anakwenda sokoni na aliporudi aliweza kuona yote yaliyotokea na ndipo ukweli ukawa wwazi kwake na usaliti wa dani ukawa wazi wazi…
Bifu la salome na mama mkwe lilizidi kuwa kubwa sana kiasi cha kukunjana na kupeana makonde..kitu ambacho kilimfanya dani awe muamuzi mara kwa mara..
Salome alipata hasira sana kwa kitendo cha mama mkwe kutembea na mpenzi wake ambaye kwa salome dani ni zaidi ya mpenzi…kwake salome dani ni mume kwa kuwa walianza mapenzi yao kabla hata ya kuja mjini..kipnd hicho wakiwa kijijni kwao maendeleo wilaya ya njombe..
Hasira za salome zilimfanya aanze mkakati wa kumsaka baba mwenye nyumba.ili atembee nae na kumkomesha mama mkwe kwa kuaribu ndo ya mtoto wake..kwa muda wa wiki tatu salome aliachana na kumfwatilia dani na kuna wakati dani na mama mkwe walikuwa wanafanya yao mbele yake…
Salome aliweza kujitogozesha kwa baba mwenye nyumba na muda mwingi akawa anaondoka nyumbani akisingizia yupo sokon kumbe alikuwa akienda chocho kupeana raha na baba mwenye nyumba..
Salome alijitahidi kwa hali na mali kumrizisha na mbinu zake zilitimia ulikumbuka kuwa baba mwenye nyumba alikuwa na matatizo na mkewe katika swala la kupeana rahaa..
Sasa basi hakuna siri ya watu wawili…na wivu hufichua mengi…baba mwenye nyumba alikuwa karibu sana na salome na kuwapa hofu dani,mama mkwe na mke wa mwenye nyumbaa,na kuwafanya wafanye utafiti na kugundua kuwa baba mwenye nyumba natembea na salome mapenzi yao yamekolea balaaaa…

Mama mkwe akapagawa huku akikumbuka ile video alioina kwenye computa ya mkwewe na pia akikumbuka alipochungulia mechi ya dani na salome…kiwewe kikamjaaa na kupata na kizunguzungu..

Na kuona wazi kuwa salome kaamua kumkomeshaa sasa atafanje kuokoa ndoa ya mwanae>>>>?
Kitendawili kicho na jbu wanae kafurra nataka salome afukuze mumewe hataki na ndipo ugomvi mkubwa ulizuka na  mama mkwe aliamulia na ilibidi salome abaki huku mama mwenye nyumba akiwa hana raha aliwaza na kuwazua kwa nini mumewe ameamua kutembea na salome asipate jibu…
Mama mkwe nae anatamani amwambie mwanae mbinu za kumrizisha mumewe lakini anashindwa aanzie wapi…?nyumba ikawa inawaka moto na hakuna wa kuzima …kila mtu akiwa na maisha ya mashaka ,mashaka..
Dani na mama mkwe ,salome na baba mwenye nyumba..mkewe akibaki akipata penzi la kubp ..tofauti kabisa na zamani..kitendo hicho kilimfanya mama mwenye nyumba kuamua kumfukuzia

                          BONYEZA HAPA KUSOMA SIMULIZI YOTE     CLICK HERE


 

No comments:

Post a Comment