KIMYA KIMYA

                                                                   KIMYA KIMYA
YALIYOMO NDANI YA KIMYA KIMYA:  VIDOKEZO
sawa bana wewe si moto wa mjini m wala sina shaka maana nikiomba pesa unanipa ingawa nakuona tu upo upo”
Aaaaaaahh pole pole…ilikuwa mwimbo wa taifa kipindi hicho so mtu mzima nikampa motto dozi kamili ka ile ya dawa mseto ya maralia kila kona ya chumba nusu tuvunje laptop maana ilikuwa kila staili 3-5-2 ndo staili yangu kubwa kwa wale wataalamu wa wanajua huwa inakuwaje mtu ukimpiga kwa kutumia mfumo huu wa maangamizi.
“Utakaa sawa dear”
Usingizi wa ghafla.nikamuacha amelala nikatoka zangu nje..
Kama kawa alifanya Kama aliyoagizwa na bosi mkuu na kweli baada ya dakika kazaa simu ikaita na namba za Kenya maana boss wetu alikuwa anatumia mtandao ya Kenya.
je eva akijua kuwa m huwa nauza madawa itakuwaje?
Kumbuka baba yake eva ni afisa usalama mkuu wa kikosi.
FWATILIA KISA HIKI  CHA KUSISIMIA,MAPENZI KATI YA MTOTO WA AFISA USALAMA MKUU NA  KIJANA FRANK MUUZA MADAWA YA KULEVYA..NI TUKIO NDANI YA TUKIO,VISA NDANI YA VISASI)….






Simulizi inaanzia Hapa:
Eva:sasa itakuwaje dear?
Mi:nni shida mama?
Eva:si hayo mambo yako ya chuo.
Mi:mama situshaongea jamani mbona unataka nirudie jambo lile mama.tatizo nini?
Eva:we huoni tatizo wenzangu eeee?
Mi:tatizo lipo lakini litaisha mama nipe muda pleas.
Eva:mmmmmmmmmmmmmmm
Sasa mama bora jiandae nikusindikize mama mida inazidi tembea tusije tukakosa gari si unajua kule kwenu magari yanazingua?akajibu “poa niletee poda.”tukatoka pale nyumbani mida ya saa moja na nusu tukaenda standi kibo nikamsindikiza mpaka mwenge

kwa kweli alikuwa amenunu kiasi sikujua kwa nini?nikijaribu kumdadisi alijibu “dear sina shida nipo poa” lakini chako utakijua tuu man kweli mama alikuwa hayuko poa kabisa jambo hili lilinikosesha raha hata mimi?lakini nikajiapa moyo labda uchovu tu ndo ulikuwa unamsumbua. Magari ya bahari beach siku hiyo yalikuwa yanazingua mbaya kitu ambacho kilimzidishia hasira so ikabidi apande la  tegeta.akanihagi kiaina gari lilipoondoka nikaona ni bora nitafute sehemu nipate ndovu mbili nirudishe mudi yangu.hivyo nikasigea mpaka mlimani city nikakaa pale nje nika bia zangu mbili taratibu huku nikitafakari nitaishije maisha haya bila kazi ya kudumu.
Kweli moja huazisha nyingine maana ilibidi nipige tatu hivyo buku sita yangu iilitembea pale nikaingia ndani na kuchukua maziwa tanga mtindi kwa ajili ya kesho.kabla sijatoka pale mlimani nikampigia mpenzi nikamuuliza kama kafika:
Mi:rrrrrrrrrrrrrrr ilikuwa inaita (akapokea)
Eva:hello?
Mi:niaje mama umeshafika?
Eva:hapana dear nipo hapa corner nachukua bajaji?
Mi:pole
Eva:asante uko wapi sasa.
Mi:mlimani city mama?
Eva:hongera unazo wenzangu?
Mi:hamna mama kawaida?
Eva:poa bana nikifika nitakwambia ila usisahau kuweka akiba baba sawa?
Mi:worry not?
Eva:sitani?
Mi:nimekuelewa mama.
Simu ikakata nikahisi kuna kitu huyu mama ananificha maana leo anataka niweke akiba kwa nin?lakini kijana sikujali sana maana ilikuwa siku ya kwanza kuambiwa hivyo so nikapotezea.nikatambaa zangu sikani.
Siku zikazidi kwenda mawasiliano na mama eva yalikuwa kama kawaida yaani kwa siku mara tatu hivi au zaidi ilikuwa poa  lakini maneno yalikuwa yanabadilika sana demu alikuwa hataki kabisa kuzungumzia ishu za mapenzi.alitaka mada za biashara tu na jinsi ya kubana matumizi maswali yalikuwa mengi na mengi nilijitahidi kuyajibu.lakin mengine da yalinishinda kabisa kuyajibu?ilibidi  nimuulize mama hivi haya maswali unaniuliza kwa sababu zipi ?maana nasihindwa kukuelewa mama?
akajibu “utakaa sawa dear”
Mi:du hilo ndo jibu mama.
Eva: hapana dear nakutania mpenzi m nilikuwa natakakujua uwezo wako kwenye mambo ya biashara.
Mi:ok so tuendelee?
Eva:maswali ee?
Mi:sio maswali mama maswali yameshatosha..?
Eva:aaaah hapana baba leo ni jumatatu siku ya kazi.umesahau tarehe nini?
Mi:da  kweli da siku zinatembea,, mama poa leta stori..stori sio maswali?
Unajua frank hamna mapenzi bila pesa.m nakupenda kweli dear ila wewe wenzagu kazi sasa huna na hao wa chuo huko hawajawaita hadi leo so unafiki utafanya nini town hapa baba?nikajibu da ushaanza maswali mama ?wewe unakikumbuka chuo kuliko hata mimi wenyewe niliyesimamishwa asante sana.sikia dear nilisha make one time so hapa mjini hapanipi shida nilizaliwa sinza dear umesahau.kila kukicha nasugua kichwa hapa sikani nifanye nini cha muda mrefu so usihofu mama siwezi kosa shughuli town hapa.
Akajibu “sawa bana wewe si moto wa mjini m walas sina shaka maana nikiomba pesa unanipa ingawa nakuona tu upo upo”
Mi:hivyo ulitaka unikute barabrani napigwa na jua sio.
Eva:eeeh ndio mkaa bure si sawa na mtembea bure.,tuachane na hayo ile assignment uneshanisaidia dear?
Mi:iko poa mama so umekuja na flash.
Eva:hapana nitumie kwenye e-mail.
“sikumtumie assignment yake hivyo ilibidi aje fasta  ghetto kuichukua mwenyewe na mambo yalikuwa hiv”:

Mi:assignment yako hii hapa mama samahani sana wangu..
Mi:..,so unakula nini?
Eva;chochote mpenzi?
 tulipotoka hapa nilimsindikiza mpaka ubungo akachukua gari la posta moja kwa moja mpaka chuo.
Niliporudi ghetto::-
Nilikuwa nimetembelewa na rafiki yangu Gabi (G) na mazungumzo yalikuwa hivi:
G;sasa kwa nini hukumsindikiza mpaka chuo kidume?
Mi:da nilikuwa na ndala tu arifu halafu  hata pesa sikubeba yaani nilitoka bila hata simu.
G:sasa dogo atakuja tena lini jombaa?
Mi:labda jmos maana kitabu kinambana sana si unajua mwaka wa pili sasa.
G:so nipe full mkanda jomba ilikuwaje chuo mwana?
Mi: Daaa long stori jomba ila nitajitahidi kuifupisha au unasemaje?
G:wewe nipe full mkanda kwanza tukanunue vipoozeo au unaonaje?
Mi:itakuwa mzuka mbaya jomba?
G:cheki na ten hii,m castle.
Mi:ngoja niongezee hapa tupate nne na nichukue na kitu cha kiepe yai.siunajua itakuwa ngumu kupika mida hii.
G: itakuwa poa yangu asiweke pilipili..
Mi:poa mkuu wa kazi.
(Baada ya muda kidogo nikarudi na msosi pamoja na gambe zikawekwa mezani na mambo yakawa hivi)
G:so leta info jomba?
Unakumbuka pale nipoishia siku nilikucall jombaa?akajibu “yap”so naendelea nilitoka zangu pande zile mida ya kitisa hivi nikatambaa zangu town fasta na vimizigo kaina.nikafika town nikatafuta sehemu  nikakaa kwanza nikajipunzisha si unakumbuka ile bar tuliyokaa siku ile na yule sista wa masters..(G):ee “nyuma ya stendi”
mia bro kweli unakumbukumbu jombaa pale pale nikaa nikapunguza machungu kiaana na mmoja mmoja nilipotoka pale nikatembea zangu mpaka wajenzi kupiga mboji kesho yake niakaamka na uchovu mbaya maana hizo simu nilizokuwa napokea jomba mpaka cha charge  iliisha simu zote mbili..yaani kila kona mpaka mchizi wako wakongo alitamani hatakulia man kusikia nimetimuliwa..ndo hivyo jomba nikawapoza wasihofu kivile wasije wakapata presha.
So nilikaa Dodoma kwa wiki mmoja hivi na nusu baada ya hapo nikatambaa zangu dar maana dogo alikuwa anakuja alihitaji mtu wa kumpokea..
G:eeh da dogo vipi yuko poa?
Mi:yuko poa mbaya jomba kawa mrefu ka hasim vile na anatembeza buku mbaya.so nikampokea dogo nikamtembeza mji kidogo alikaa hapa town kwa siku mbili hivi.hapo ndo maisha yangu yalianza rasmi town jomba jiji la joto bila pesa ni sawa na kumkonyeza demu gizani.nikapiga sana jaramba town hapa na mchizi wangu Yuda.Ghetto hakueleweki tunapika sometime hatupiki tunanunua mihogo kwa mama muuza.
G:daa hivyo ghetto mlikuwa mtu mbili tu.
G:sasa we jomba ilikuwaje ukapata kazi hapa town.
Daa long stor bro ilikuwa ka dhali vili jombaa siunajua mungu hamtupi mtu wake,kitaa kilikuwa kimenuka mbaya chapa ilikata nilikuwa na mpango wa kuingia mkoa.na kipindi hicho salome alikuwa kashazigua mda mrefu jomba yaani hapa kati bata zilikata kiana zile za foleni zikawa zinanishinda na dogo mambo mengi so dogo akaanza nichunia kiaina huku nyuma ni mambo yanajipa na demu ndo anasepa shua bro nilimwambia mambo yashakuwa poa nusu milioni itaanza kuingia soon lakini dogo hakutaka kunamini daywaka akaamua kutambaa zake na kuniacha single man ilikuwa so hard.

G:da mwanangu kitu s aliamua kusepa..pole sana daa,
M:da kaka siunajua inafika wakati mtu unakuwa hausomeki mazima so mademu wengine wanashindwa kuelewa kuwa vitu hupanda na kushuka.nikaaza kwenda job kwenye shirika moja hapa mjini(jina nalihifadhi kwa sababu maalumu)kwa muda wa miezi mitatu mfululuzo na bata zikaaza kurudi upya maana mambo yangu mengi yalianza kuwa poa jomba.Ghetto siumeona gasi hiyo na ikikata inahitaji 50000 so bila dili inakuwa ngumu kulipa umeme kulipa maji so mambo madogo madogo nikawa nauwezo wa kuyamaliza kimya kimya.
Kitu cha foleni kilikuwa kinataka kunifanya niache kazi jomba ilanilipokumbuka msoto wa nyuma nikaamuaa kukoma na kazi.ila unaamka usiku unarudi usiku ni kazi mtindo mmoja jomba niliandika ripot mpaka vidole vikataka vizame kwenye keyboard, piga sana kahawa na machapati  ila baada ya saa mbili njaa maana ofisi ilikuwa na baridi ka tuko makambako vile mtu wangu Ac ilikuwa ni kwele.inapuliza hiyo na meza yangu ndo ipo chini ya kichwa cha ac.hivyo ilikuwa inanipiga mbaya.
Alafu G nilipiga madude yako?
G:aaaa we kaka ni kwele uliwezaje?
Mi:msoto wa kitaa ulinifundisha kuchezesha akili kaka..nilikuwa na akili nyingi mpaka nikaaza kujiogopa..
Basi bwana tuishie hapa maana hizi bia zinaanza kunipotezea kumbukumbu.
G:da ni mzuka,sasa kaka zima hiyo tv leta  laptop tucheki muvi  ndo zina mzuka.
Mi:uko sawa jomba kitu taken tukichek maana hili limovi halinichoshi?
G:mzee wa  Goodluck..huyo huyo taken ndo mpango mzima.
Mi:kumbe unakumbuka kaka dat right.
G:laptop kama hii haikosi mambo yetu yale?
Mi:ja umejuaje jomba ila we mdau maana mlikuwa mnataka kuniuwa mimi na vipindi vyemu vya siku zima.
G:da unamkumbuka mzee rams alikuwa kwele ila sasa ukimuona kwenye ofisi utafikirii mtu wa maana vile…dada yako je?
Mi:nani tena huyo?
G:si matawi unajisahaulisha mzee wa kufukuzia motto..
Mi:acha zako nani alifukuzia Yule demu kama si wewe mzee wa mbuga..ila tuseme ukweli dogo Yule ni mkali ukifikia upande wa mambo yetu.
G:sasa wewe muvi yenyewe  umeiweka wapi sasa….
Mi:we acha hizo search hapo faili linaloitwa salome.
G:sawa baba salome?
Mi:acha mambo yako.
G:sasa nani aliandika hili faili salome ee jomba.
Mi:m memwenyewe jomba
G:pole kaka..komaa huu ndo uwanaume sawa kaka.
Mi:ndio mkuu.so mpigie john asee?
((john rafiki yetu  amechukua gari alilokuja nalo G na kwenda nalo kwa mademu zake wala hatukujua yuko wapi ikabidi G ampigie simu))
G:huyo john kweli ??
Grrrrr grrrrr (ghafla simu ikaita tena akapokea) “sasa we john k…………….. mbona huja hadi sasa hivi wewe dogo…………………..acha hizo fanya fasta ee…………………………….sasa unasemaje……………..poa nusu sawa ..we zingua wakufume huko hakuna atakuja kukomboa sawa….” (simu ikakata)
G: anahoji::huyo dogo hii tabia karidhi kwa mtu hawezekani dogo anaenda kweye mdomo wa simbaa hivi hivi du..
Mi:du dogo tushampoteza kabisa.m ngoja niaze kununua msalaba na sanda kabisa..
G:ila dogo kweli lazima abadilike maana kaka spidi yake ni kubwa mno da ..sijui..
Mi:wewe huwa umewambie jomba.
G:Na Yule mdingi akimshika ataeleza vyote mzee mwenyewe kashapigana sana vita mpaka huko kongo kafika..sijui majanga haya..
 Mi: atakaa sawa kaka worry not..
(ghafla tukaanza kuzungumzia muvi tuliyokuwa tunaiangalia)
G:kaka huyo mzee ni noma aliwaafuta hawa watekaji kweli hii mtu ni FBI ya ukweli?
Mi:da kaka huyu mzee ana vifaa na ujuzi usiochacha kama elimu zemu za bongo unasoma leo unasahau kesho..
G:ila we huyu demu alikuwa mwanae wa kumzaa kweli?maana hapo sikupapata freshi?
Mi:dogo huyo alizaliwa na huyo mother hapo(namuonyesha) sasa kutokana na ishu za kijeshi mama akashindwa kuvumilia kalenda za mshua akaamua atafute msela mwingine hivyo waliachana na jamaa ila motto ni wa mchizi..
G:huyu dingi mnaa kweli sasa anampa zawadi ya farasi apeleke wapi?
Mi:watoto wa masaki utawaweza wewe wa tandale kweli?
Stori zikabadilika ghafla :::
G:we umeacha na salome sawa sawa na alivyoacha huyu mzee wa hii movi?
Mi:acha ishu hizo ,m salome hajaniacha kanipa mapumziko sawa na
Eva kaja kupooza machungu sawa..wewe pendo yuko wapi?sio unasema wenzako tu.
G:katembea na bwana ila hamna shida
We fikiria :nilimfwata kumtongoza kikauzu akagoma,
 nikaondoka na ndinga akagoma
nikaenda na baskeli akagoma
sasa nifanyeje inaonekana upendo hanipendi kabisa.
Mi:ila nasikia kunajamaa anakula pale kitaa.
G: yawezekana mkuu maana Yule demu sina hamu nae kabisa.
Tukiendelea kuchati pale mara tukasikia honi tukajua lazima atakuwa john..
Mi:ngoja nikamcheki huyu mnaa?(kweli alikuwa mwenyewe)sasa wewe si hushuke kaka..
John:oya nia aje nyokaa
Mi:poa jomba.
John: mwanangu kweli ngoja nipark vizuri maana njaa inaniuma mbaya kaka yaani huko kote nikotoa tulikuwa tunakunya soda tu mtu wangu?
Mi:poa kuna vitu kwenye frigid itabidi upashe?
John:ni mzuka..(akafika sebuleni) daaadaaa haiwezekani maze mmepiga bia zote hizi da kweli nimekosa bahati daa..
John anamuhoji G:::: sasa na we dereva ulikuwa unakunya bia za nini?
G: akajibu: kaa hapo una kesi ya kujibu?
Mi:sasa we kapashe huo msosi uje hapa na chukua kuna soda huko kwenye frigid wewe si hunywe kilevi.
John:da itakuwapoaa maana na kiu mbaya hapa nilipo..
 Mi:umeona hapo,yaani hiyo mashine ya shoti wakikufungia tu lazima ujikojolee.(mazungumzo yakahamia kwenye movi kidogo)
G:sure bro hii mashine ni moto wa kuotea mbali jomba mpaka jamaa wa goodluck akasema yote we unafanya mcchezo nini? (jambazi mmoja ndani ya movi G kampachika jina la goodluck)
Mi:hiyo kitu ni soo
G:sasa hapa inabidi tutoke hapa moja kwa moja mpaka sikani maana mother anataka nimpeleke sehemu.
Mi:kijana sasa hizo bia na mambo ya kumuendesha mama yanaendana kweli kaka?
G:mzoefu mimi bia nne si ishu tunge piga saba ingekuwa soo..ila hizi nitazikabili kakaa worry not…
G:we fanya fasta tusepe mother anasubiria ndinga.
Mi:haya tutajitahidi.
John:wanangu kitu cha futa kinakaribia kukata jomba?
G:we usiniletee us…john ulienda wapi mafuta yalikuwa kibao.
John:foleni mwanangu ilikuwa noma..nilifika bunju tu hapo.
G:aaaaa k………… huyu jaaa kuazia leo simpi gari hata iweje.
Mi:na we jo umezidi umalaya kaka bunju jombaa ulienda kufanya nini?
John:nilimpeleka mama mkewe alikuwa anaenda msibani akaniomba msaada,maana magari yalikuwa ya shida mbaya.
G:haya msamaria huna leseni unafika mpaka bunju wangekudaka nani angekutoa selo.
John:halafu sikuwaza hizo kabisa...ila na buku ten hapa nitakutoa uweke mafuta kidogo usimaindi chale yangu…
John:oya frank  Yule demu tuliyekuna nae mlimani city siku ile tulipoenda kununua ndovu za kopo..unamkumbuka
Mi:da nimekusoma suzy au ?
John:ee huyo huyo wezake sasa nimekutanae bungu alikuwa nakuja mwenge nikampa lifti daa toto linanyama ka bucha la ubungo mataa..ikabidi nitupe kete fasta.
Mi;sawa sawa bwana mzee wa voko vokolisti…nyoshi el sadati..
John:kashaisha Yule nilikuwa napiga vorco mvululizo kama naimba kwaya vile..
(muda wote G alikuwa nalikagua gari kuona liko sawa au la )
G;frank asante sana kaka tutaonana unimalizie ishu za job.
Mi:poa safari njema mazee sasa we john itabidi umuendeshe huyu mpaka mfike zitakuwa zimepungua hizo pombe…na jmo usisahau uje tende san cirro jomba maana hapa nilipo sijisikii…


G:poa kaka m siwezi toka night jioni maana father anaweza nikazingua?
Mi:so kama utaka kuja itabidi uje kulala huku.
Wakaondoka pale wakielekea tabata  m kama kawa nikamalizia ndovu yangu mmoja nikazima laptop na kuenda kupiga usingizi kidogo nikiwa katikati ya usingizi simu yangu ikaita kuicheki kumbe Eva anapiga so nikajiweka sawa nikapokea
Mi:niaje dear?
Eva:poa tu,wapi hiyo?
Mi:sikani
Eva:oooh so nije?
Mi:da naona ka muda umeenda sana mama au?
Eva:we muda niachie mimi sawa.
MI:sawa mama njoo ur welcome.
Eva:au salome karudi unaogopa nitamkuta?
Mi:hapana nipo peke yangu  now.
Eva:poa nipo hapa sekilango so nipe nusu saa.
Mi:poa. (simu ikakata) nikawaza “sasa na hizi bia leo itakuwaje daa  na dogo hapendi bia kabisa”ikabidi nipege mswaki pale fasta na kupiga maji ya kutosha kupunguza harufu chupa zikawekwa stor fasta na deki ya kiaina ikapigwa pale sebuleni.hapa hali imekaa sawa so niendelee na mboji.nikapiga mboji ka muda wa dakika kama 45 hivi ndo eva akawa amiefika pale sikani nikamkaribisha na makiss kama kawa alikuwa kapiga skinjeans na kitop alitoka poa sana so kijana vazi likanipa mzuka zaidi nikajisemea wenyewe.. ‘”nimejaribu, nimeweza na ninasongambele”so dogo akafanya kassignment kadogo pale kwenye machine baada ya kumaliza ukaniuliza ile khanga la wageni iko wapi?so nikamjibu “hapo chumbani ma”so akaenda kuvaa na kenda msalani..huku nyuma mtu mzima nikafunga mlango mkubwa na kumfwata dogo chumbani..mtoto kaenea kwenye kitandaa kajimwaga mbaya so ile stali aliyokuwa amelala nayo inaitwa wewe tu huku kwetu uswazi.sikufanya ajizi kijana kama kauli mbio inavyosema nikaanza kuperuzi na kudadi.ngozi laini ikaendelea kumpapa taratibu visigino tu kwa dakika 20 hivi napita taratibu kwenye vidole vyake lain vilivyokuwa vimepakwa rangi ya blue huku nikimcheki eva alikuwa akijigeuza geuza nikasema moyoni moyoni “hii dozi inamuingia”nikaanza panda taratibu na magoti mpaka nilipokaribia makao makuu ya mkoa nikaparuka na kupanda juu zaidi na kwenda kumpa pumzi kidogo hivyo nikala ndimi pale huku nikiendelea  kuperuzi Na kudadisi kila kona..eva nifundi jamani acha yaani ukitoa kwake pasi lazima akurudishie pasi kama Barcelona vile hivyo reheso ilikuwa nzuri sana nikajihisi kila siku nikuwa naona eva anazidi kuwa mpya kitu kilichokuwa kinanipa sana mzuza nikapanda juu na zana taratibu huku kitu cha paper loving kikipigwa kwenye laptop yangu niliyokuwa nimeikoneti na spika za ghetto.aaaaaaahh pole pole
**************************************************************


…ilikuwa mwimbo wa taifa kipindi hicho so mtu mzima nikampa motto dozi kamili ka ile ya dawa mseto ya maralia kila kona ya chumba nusu tuvunje laptop maana ilikuwa kila staili 3-5-2 ndo staili yangu kubwa kwa wale wataalamu wa wanajua huwa inakuwaje mtu ukimpiga kwa kutumia mfumo huu wa maangamizi unapanga midfield wa kufa mtu..hivyo unatakiwa uhakikishe unaguza kila pande na unatembea kwa speed kali hii staili inahitaji sana mazoezi kwa mwanaume, hivyo kama huna mazoezi basi huwezi kuiweza hii  staili.katikati ya mashambulizi unatakiwa kusaidiana na mdomo na vidole kitanda hapa huwa hakina kazi kubwa maana kinatunika sehemu ndogo tu hasa kwenye kona zake..aaaaaaaah basi baba imetosha..nilikuwa naenda ya nne sasa dogo akanitoa fasta na kwenda zake kuoga so nikabaki natoa macho pale hoi kidume na uchu bado ulikuwa unanikabili..(dogo akatoka kuoga)akaniuliza “kweli frank ulikuwa na mpango wa kuniua eeeeh”.nipakashindwa na kuvumilia nikamfwata na kumkumbatia nipampaa joto jipya kama kawaida maana sikenda kuoga nae makusudi maana niliuwa na mpango wa kumaliza la nne.so nilipomkumbatia na kumpa joto la kutosha doga akajisahau nikamshusha na kumalizia langu la nne taratibu dogo alanza kulia(oooH fe naumiaaaaaaaaa) maana kitu kilichelewa kutoka mbaya.dogo alijua kuzungusha alizungusha kwenye ile hatua ya nne mpaka nikampa pole maana kitu kilipotoka dogo alijikuta amepata usingizi wa ghafla.nikamuacha amelala nikatoka zangu nje..
Mi:. Kurudi zangu ndani nikakuta eva bado kalala so ikapidi nimuamshe maana simu yake ilikuwa inaita..
Eva:eeeeeeeh mama hebu zima hiyo laptop… hallo……………. Ndo………… (akapoke simu) nitakuja mama usihofu…..aaaaa…ok ……miss u..poa ……mpe hy dad…………….kesho basi…………ok..
Mi:hivyo unalala mama..
Eva:eeeh lakini sitakitena usumbufu sawa baba tukila tunalala sawa mzungu wa nne sawa.


Mi:poa mama ila itakuwa ngumu mama bora niseme ukweli.
Eva:koma sitaki usumbufu serious nimechoka mbaya na njaa inaniuma sana so niandalie menyu pleas..
Mi:hilo tu worry not sema lengine ma dear..wakati naenda kuandaa m nenyu eva alikuwa nanaangalia simu yangu yenye line ya voda na akakutana na msg iliyosema  “dear m nimechoka kusubiri?”
********************************************************************msg ile ilimpa hasira sana na kuamua kuamka na kutaka kuondoka usiku ule ule kwa wakati ule ilikuwa tayari ishafika saa 3.30 usiku hivyo ikabidi nianze kumsihi asipandishe jaziba usiku ule maana pale sikani hapakuwa natabia ya watu kupiga kele iwe mchan iwe usiku so nikamsihi sana lakini ilikuwa ngumu kunielewa akawa ananganganiza nimtajie huyo mtu aliye tuma hiyo msg dakika 40 zilizopita nikamwambia mama huyo ni bosi alikuwa anataka nimtumia kazi yake ya report ya maralia lakini wapi eva akagoma kabisa basi ikabidi nichukue simu zangu na kuondoka nazo kwenda nazo jikoni maana nilijua tu soon itakuja msg nyingine.
Moyoni nikiwaza je eva akijua kuwa m huwa nauza madawa itakuwaje? Na huku bado ni mwanafunzi da mungu niokoe na hiki kiama sitaki kabisa eva ajue hizi ishu nikapiga pale na ishara ya msalaba ya kizushi nikimwomba mungu aniongoze nisikije nikakamatika maana baba yake eva ni afisa usalama na mi namfahamu sana maana kashakula sana million zangu kadhaa da ilikuwa usiku wa mshike mshike ikabidi nimpigie simu bosi nimpe ishu mazungumzo yalikuwa kama hivi..
Boss:o
Mi:tena?
Boss:we nani?
Mi: oya 666
Boss:dogo vipi uko poa..
Mi:niko poa boss sema ile assignment yako nitakutumia kesho cxk?
Boss:poa dogo akasemaje sasa?
Mi:ndo na malizia conclusion sema page37 ndo ilikuwa inazingua. Baada ya mazungumzo hayo bosi akawa ameelewa kabisa kuwa eva yupo na aliiona ile msg (Cxk ;c inaamisha eva, x msg na k kusoma)hizi ni lugha zetu za kazi na page 37 inamaanisha kakunja uso mbaya na haelweki hagawanyiki ila hajuii nani katuma ile msg.
Hiyo boss alimuita mama shuhuli ambaye muda wote alipo boss na yeye huwepo akamwabia anipigee kwa namba yake na m siku niende nikaisahau chumbani pembeni ya alipolala eva ili aitapo tu eva apokee
Kama kawa nilifanya kamaniliyoagizwa na bosi mkuu na kweli baada ya dakika kazaa simu ikaita na namba za Kenya maana boss wetu alikuwa anatumia mtandao ya Kenya.eva akashituka naalipoona ni ile namba akaogopa kupoke kwa muda.akaanza kuniitaa
We frank we frank simu yako inaita ??


Mi:pokea mama unaogopa  unaogopa nini?
Eva:njoo uongee nae mwenyewe  bwana m sitaki kuongea na wake zako?
Mi:siji huko kama hutaki acha ikate?
Eva:akapokea kwa hasira; “halo we nani”
Mama shuhuli:m lulu mambo.
Eva:poa yaani wewe ni lulu huyu huyu unamtaka na frank wangu eti?
Mama shuhuli:m lulu dada yake na boss wake ,we shemeji gani unakuwa mkali ka pilipili?
Eva:aaah shemu pole mwaya kumbe wewe Nairobi kunasemaje?
Mama shuhuli:kukopaa so akija frank mwambie anipigie sawa shemu halafu usimnyime kaka nyangu sawa?
Eva:tena ushindwe m bado mdogo wa simpi na yeye asinipe sihitaji?
**************************************************************
Mama shuhuli:sasa mbona hapo ulipo chupi huna umeuza au umeanika ee we unanenepa kaka anaconda hiyo si tabia nzuri sawa shemu?
Eva:m nakula kwetu sasa yeye si anajifanya kidume kawakimbia wazazi mwache akonde na umalaya wake umemjaa.
Mama shuhuli:poa mwaya baadae kazi njema.
Eva:na wewe mama mpe hy shem..(baada ya hapo)akaanza kuniita frank dear ni lulu ….
We frank husikii au?
-------------------- (Itaendelea toleo lijalo…) ----------------------------------------
(Je eva ataweza kuligusa box lenye……..)
(Na je box lina madawa, silaha, kichwa cha mtu, .passport, pesa………)
(Je eva atapona kweli… pindi atakapoona kilicho ndani ya box) 
(Baba yake eva akigundua itakuwaje usikose toleo lijalo>>>>>>>?)









No comments:

Post a Comment