Ilikuwa ni
ngumu sana kwa juma kuamini kuwa katika chuo cha CBE mwaka wa tatu wa masomo kuna uwezekano wa
kuwepo mwanafunzi bikira .lakini siku moja kitabu kidogo kiitwacho diary ya
mrembo wa chuo joy kilimfanya asitaajabu na kupigwa na butwaa kuu….
Bikira wa
chuo
Simulizi la
kusisimua la kisa na mikasa inamkuta joy katika kutunza bikira yake,je kamtuzia
nani au ni juma rafiki yake mkuu?
SIMULIZI LINAANZA HAPA…
Siku ilianza
poa maeneo ya CBE dodoma wanafunzi wakiendelea na ratiba zao za kawaida na huku
na kule nao joy na juma walikuwa wako bize sana kumalizia assignment waliyokuwa wamepewa na walimu wao week mbili
zilizpota..
Joy:dear
ngoja nikanunue japo maji maana nasikia kiu kweli?
Juma:poa
mama nichukulie na mimi pespi baridi ya kopo?
Joy:poa baba
huna haja ya kutoa pesa wewe endelea kuangalia wapi tunaweza pata material ya
kumalizia hiyo assignment>>>
Juma;poa
boss wangu ndo maana nakupendaga….
Joy;haya
bana nipe hiyo pochi yangu kwanza
Juma akampa
pochi yake na wakati anampa aligundua kuna kijitabu kidogo ambacho hajawahi
hata siku moja kukiona machoni mwake.basi joy alitoa pesa na kuondoka na
kipochi kidogo na simu zake mbili.huku
nyuma juma alibaki na ile pochi kubwa ambayo joy huitumia kuweka
madaftari ,laptop na mtandio na mambo mambo mengine ya kike....basi juma
hakufanya ajizi akaifungua ile pochi na uchukuza kile kijikitabu na kuanza
kukiperuzi…katikati ya kiile kijikitabu alikuta picha ya familia na
alipoangalia vizuri aligundua ni familia ya joy ,joy wenyewe akiwemo na mama na
baba yake pamoja na wadogo zake wawili..
Akataka
kukirudisha maana alihisi kama anaweza kufamaniwa bure na urafiki ukaisha siku
hiyo.moyo wake ukasita na kumfanya asome japo kurasa moja nipo alipokutana na
maneno haya..bikira yangu inazidi kunipa wakati ngumu..God help me pleas……
Juma alipata
na bumbuwazi sana aliposoma hicho kipengele ikabidi asome tena vizuri ..haamini
macho yake hivi hichi kijitabu ni nini?kuchek vizuri ni diary akaanza kuamini
kuwa yawezekana kilichoandikwa hapa ni ukweli mtupu.
Akaamua
kukirudisha na alipokuwa nafunga zipu
joy akawa amefika na kuanza kumuuliza we mwanaume nini na pochi yangu..
Juma:a mama
nilipenda kuangalia keyholder chako tu mama.
Joy:wewe
shauri yako …chukua soda yako …
Joy:umepata
hayo material baba..
Juma: bado
yaani net inasumbua sana.
Joy:net wapi
wakati hujatafuta…
Juma:sasa
mama basi njo niendelee kutafuta usihofu..
Wakati wote
huo juma mawazo yote hayapo kabisa kwenye Assignment alichokuwa anawaza na yale
aliyoyasoma kwenye diary..huku alikuwangalia kwa jicho la umbali..jicho moja
kwenye laptop jicho la pili kwa joy mawazo yote ni hiyo bikira je ni kweli na
nikimuliza itakuwaje…. Du mbona majanga haya sasa…mwaka wa tatu bikira tena
CBE du ..kweli hakuna lisilowezekana..
Ghafla joy
akawita juma baada ya kuona yuko mbali sana kimawazo
Joy:juma
dear…dear….hy juma (ikabidi amshike paja kidogo kumshitua)
Juma:nam
mama…
Joy :
unawaza nini mpenzi mbona sikuelewi..
Juma:hamna
kitu..
Joy: acha
kunidanganya wewe ..mimi nakuja wewe kuna kitu unaweza unaacha tufanye assignment
unawaza waza sijui unawaza nini..’’akamtania””au ndo unamuwaza wifi nini?
Juma: acha
maneno yako mama… sema najihisi siko poa tu wangu.
Joy: sasa
tufanyeje na assignment ndo hiyo hata
nusu bado..
Juma: kama
vip tuifanye kesho asubuhi unaonaje…
Joy:acha
kabisa hizo habari kesho naenda zangu kusuka ..
Juma:mbona
hizi nywele umesuka juzi tu wangu…
Joy; mambo
ya kike baba..hii staili sijaipenda nataka akanisuke stail nyingine..
Juma:sasa
sikia tufanye usiku unaonaje tukifanya leo saa tatu usiku pale kwangu..
Joy:we koma
kwa watu usiku sitaki juzi niemeenda discussion kwa kina peter wala hatukusoma
tuliishia kuchezeana tu na kuangalia movie usiku baba ….mmmmm …big NO……
Juma:basi
poa sema wewe wangu ..maana mimi leo sijui nikoje …
Joy:uko poa
kujichetua tu ili nikuanche hapa uendezako kwa vichemchede vyako….
Juma¨wewe wa
sema mama…
Joy: kama
vip nipe mimi hiyo laptop wewe kaa upande huu..nifanye wenyewe…
Juma:kweli
wanawake na maendeleo…waaribie mama.
Joy:
waaribie wenyewe lione umefurahi mimi kufanya wewe unakaa tu mwanaume mzima..
Juma:mambo
kusaidia wangu asante kwa kuliona hilo.
Basi wakati
wote juma alipokuwa amekaa pembeni akimcheki joy akiperuzi material kwenye net
wazo lake lilikuwa moja tu..bikira wa chuo nipo nae hapa meza moja kiti
kimoja..du..wakati kuna wanawake hapa hapa washatoa mpaka mimba tatu huyu mama
hamjui mwanaume..mtoto mzuri kama huyu
du..mbona majanga haya sasa…CBE tupu juu hakika ..tupo juu sana …kuanzia sasa
kimoyo moyo nitakuwa na kuita bikira wa chuo au mwanachuo bikira…
Wakati juma amawaza na kuwazua huko joy alikuwa
ananedelea kupata material mabali mbali kwenye mtandao yanayoendana na
assignment aliyopewa na walimu wao..
Ghafla
Jack akaja
kwenye meza yao:jack ni rafiki wa joy na
wanasoma waote darasa moja..
Jack:mambo
zenu..
Joy:poa
Jack :wewe
juma mambo….
Juma:aaaaah
jack poa mama za kwako…
Jack:muone
kwanza kazi kutegea tu ….
Joy: bora
wewe useme mama maana huyu juma kimeo kweli bora ningekuwa na wewe group moja
Juma:mmmmmmmhhh
Jack :we
guma tu …mwenzako anafanya kazi..
Joy: nipe
habari shoga…
Jack:mama
najisikia kwenda disco mwezio
Joy: majanga
sasa..disco kesho tunakipindi mama…
Jack:kipindi
chenyewe saa sita na mwalimu anaweza asije sasa si bora tukajirushe tu leo…
Joy; mama
mimi leo sitoweza kwa kweli na assignment haijaisha na pia kesho naenda kusuka
..
JacK:mmm
basi poa sijui nitaenda na nani sasa…
Juma:m mimi
mama nichagume mimi>>>
Jack:wewe
mmmh nani aende na wewe unategea kufanya assignment..
JUma:mama
assignemt tofauti na disco wangu ,disco nitacheza kwa moyo si unajua ma
assignment haya yapo tu,,,
Jack:any way
nikikosa mtu..juma utakuwa chagua langu la mwisho…
Juma:nakuombea
mungu ukose kabisa…
Joy: wewe
baba yaaani disco roho juu assignment unasema hujisikii vizuri sio…
Jack:achana
nae kama kwenda nae itakuwa kamamlinzi tu..
Joy:mama
naomba uende utuache tumalizie assignment yetu tutaonana room
Jack:poa
wangu..
(jack
akaondoka zake)
Juma:da bora
jack amepita hapa maaana amerudisha japo mudi yangu kidogo…
Joy: mudi
imerudi sio basi malizia kuchanganua haya mafile hapa .
Juma:poa
mama nipe basi hiyo laptop..
Joy:ukimaliza
hapo utanishitua m nataka nilala japo dakika ishirini tu wangu maana jana
nilikesha naangalia muvi
Juma:muvi
gan tena hiyo mama.
Joy:ile ile
season yangu ya AVATAR…
Juma: na
wewe na avatar du watakuja kukupa tuzo wangu..
Basi baada
ya masaa kama mawili hivi walifanikiwa kukamilisha assignment yao na kila mtu
akenda zake rum..kwa siku hiyo kulikuwa hakuna kupindi kabisa kwa course yao
.hivyo ulikuwa muda muafaka wa kila mmoja kufanya ratiba zake atakavyo..
Juma
alipofika rum alikutana na tu akazisha mjadala ..kwa wezake aliowakuta pale rum
na mazungumzo yalikuwa hivi
Juma: niaje
wakuu wa kazi..?
Wezake (ali
na dani):poa jo….
Juma:wewe
ali umetegea pindi..wezako wako class muda huu…
Ali: acha
kunirusha wewe m sisomagi mapindi ya ule ticha huwa nafanya tu mtihani.
Juma:shauri
yako..
Juma:oya mi
na swali wa kuwa wa kazi hivi unaweza amini kuwa hapa CBE kuna mtoto bikira..?
wezaKe:aaaaaahhhhhhhhhh
aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhh
juma:manacheka
nini hilo nyie ma mbulula……
Wenzake:aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhh ,,,,,,mbona majanga……ee
Dani: labda
salome…..
Ali:salome
huyu huyu mama yangu….mzazi akiwa bikira Yule naacha chuo…
Juma: sasa
tatizo nini hapa chuo kuna wasichana mabikira wengi tu..
Dani:labda
uliwaza wewe jo>>>
Ali:kashaanza
kuachaganyikiwa huyu..mwanangu mwaka wa wisho huu unaaza kuweuka du…
Dani: ngoja
nikwambie juma hapa chuo toka first year
mpaka sasa sijawahi sikia kuna
msela kapata demu bikira…
Ali: wewe
vero demu wangu alikuwa bikira sikuwaambia nini?
Juma:aaaaaaaaaaaaaH
huyu huyu vero demu wa uridhi…kwanza demu mwenyewe umeridhi na unasema alikuwa
bikira du…
Dani:vero
wako kaja hapa chuo kashazaa sasa bikira kaitoa wapi?
Juma:hata
mimi nilikuwa siamini kama kuna demu bikira ila sasa anza kuamini amini
kidogo..
Dan: nani
bikira juma unaemfahamu wewe..mimi na al indo wazee wa chuo hichi tunajua
kuanzia wa certificate mpaka degree na hatujui bikira sema wewe nani bikira ….
Ali:labda yeye
bikira wa kiume….
DaNI:ahaaaaaaaaaaaaa
sasa nimekuelewa bikira wa kiume sawa ali wako wengi sana hapa chuo..
Juma:acha
upumbavu wewe nasema bikira wa kike namjua mmoja..
Ali:tuambie
nani mwanangu……..
Dani;tuambie
basi……
Ali:
nakununulia msosi wiki zima nipe hiyo news tuone….
Juma:subiri
kwaza upelelezi bado haujakamilika..
Dani:
upelelezi wa nini wewe leta maneno hayo tukauze gazeti…
Ali:achana
nae hana jipya labda yeye wenye…ndo bikira …
DaNi:kwaza
tuambie mwaka wa huyo bikira yupo mwaka gani…
Ali:tupe
mwaka sisi tutamitafuta wenyewe..
Juma;mwaka
wa nini chuna wewe kila kitu kitakuwa hewani soon na lazima nitamuoa huyu
mtoto..
Ali:aaaaaah
juma usiwe unatuset hapa kumbe unamaanisha hako kamlupo kako kashida disco joy
ndo bikira…..
Dani:AAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAHHHHHHHHHHHHHHHhhhhhhhhhhhhhhhhh
Dani:
aaaaaah yawezekana alikuwa namaanisha joy ..du we ali kichwa kweli….
Juma: wali
nilikuwa simaanishi joy nyie acheni kunizingua….
Dani:baba
joy demu unamfukuzia kuanzia first year
mpaka leo teeeeeee du…
ALI:alafu
anamdangaya kuwa yeye bikira joy bikira tangu lini..hivi wewe unafikiria kuwa
bikira ni jambo la kitoto huyo demu wako wanayeshida bar kama popo awe bikira
tangu lini…
DAni:unawafahamu
mabiikira wewe mabikira hawapatikani hapa town labda uende huko geza ulole…huko
tena wapo primary siku hizi secondary nehi….
Juma:nyie
wasema ngoja m nikale zangi nije kulala ..
Ali:bora du
ukanunulie menyu baba bikira…
Juma: we
jina gaNI ILO…
DANI: kweli
inabidi tumuite baba bikira linamfaa.
Juma:oya
hilo jina silitaki tutakosana bure..
Ali: sawaa
baba B tumekusikia…
Dani:kweli
baba B upo juu tendezetu tukapige menyu we ali
naomba simu yangu iko hapo kwenye meza.
Wakatoka
wote na kuelekea kwenye mgahawa ulikuwa karibu kabisa na hapo wanapoishi nikimaainisha
mgahawa wa chuo..maana ali alikuwa ma bili yake pale..wakiwa njia walikuwa
wakiendelea na mazungumzo na ali na dani walikuwa wanamuita juma baba B ,ingawa
juma alijitahidi kulikataa ikashindikana..
Wakiwa café
(mgahawani)
Dani:huu
msosi wa leo hamna kitu kabisa unahitaji kishuhio…
Ali: kweli
jomba msoso kama wa jela vile unauzwa bei ghali:
Ali:juma…aaaah
samahani baba B fanya mpango wa soda basi
JUma:nani
baba b..wewe acha zako m sina pesa ya kuchezea kwanza soda ni anasa….
Dani:baba b
acha hizo faya mpango nakabwa wenzio hapa……
Juma:poa
kacchukueni soda mimi niletee pepsi barid….
Ali:hapo ndo
ninapokukubali baba bikira….
Dani:aah ah
unaharibu sasa ali…
Juma
akaonyesha uso wa kununa na kukasirishwa na alichokisema ali….
Ali:sorry
bro ..ulimi hauna mfupa nisamehe bure…
Juma
hakusema neno,basi ali akaenda kuchukua soda na wakaendelea kula ,wakati
wanamalizia kula ghafla joy akatokea akiwa na jack…ali alikuwa wa kwanza
kumuona…
Ali:mmmmmmh
mtoto nyoyo lote lile awe bikira…sidhani .labda mchina…
Dan:mbona
unaongea mwenyewe wewe……
Ali:huja
waona watoto hao wanakuja…..
Dani:ehhhhhhhhhhhhh
sasa baba b joy huyu hapa ngoja nimuite….
Jum:We
unamuita wa nini muache aende zake..
Dani:we ali
muite kuna kitu nataka kumuuliza….
Ali akwaita
kwa sauti ya juu….joy……….joy……………..
Joy akageuka
akwaona wote akawapa ishara kuwa anachua chakula na atakuja kwenye meza yao..
Huku nyuma..
Juma;mambo
gani unayafanya wewe m nampango wa kwenda kulala sasa unawaita wa nini?
Dani:we
nenda kalale tatizo nini….
Ali:kweli
baba b ukiondoka basi wewe kweli ni baba b ukibaki kuanzia leo jina la baba b
limekisha……
Juma:hapo
sawa….
Dani:unaakili
wewe lakini jina linaisha kwako mimi huyu ni baba b …baba b milele..
Basi joy na
jack walinunua chips na soda na kwenda kuketi meza moja na wakina juma na mzungumuzo yakanza
huku juma aliwa na wasi wasi mkuu..
Ali:mtoto
wewe mbona mzuri hivyo……akimtania joy
Joy; we
nianche kila siku unanisifia tu …
Ali:mama m
nakupenda sema tu nashindawa kukwambia….
Jack:haya
majanga sasa…..
Dani:tema
vorco tema vorco ninja wangu….
Jack ; na
wewe dani nini…
Joy:
ehhhhhhhhh dani vip Yule demu wako dent..
Dani;mtoto
Yule yupo tena nilimkuta bikira asee lazima nitaoa hule…
Juma akaguna
kidogo……
Ali:juma
unaguna nini tuambie…
Joy:labda
nay eye alimkuta bikira wake huwezi jua…
Ali:hapo
umenena joy lazima atakuwa amemkuta bikira
Juma:acheni
kunichengua nyie bana m nimeguna ni usingizi tu ndo unanipa stress hapa…
Dani; sasa
sawa baba b,
Joy; anaitwa
nani ….?
Ali:baba
B….yaani big boss
Joy::aaaah..ok
baba b nimeipata hiyo….
Juma:mmmmmmmmmmmmmmh
Joy:eeeeh
baba b nimeshalidaka jina…baba boke,au baba ben,au baba bet…kumbe wezetu una
mtoto unatuficha…
Ali:mwambie
afunguke wambie ….mtu mzima huyu….
Jack:hapo
sasa….mm sitak mwezenu…upole wote huo kumbe una….litoto nyumbani..
Dani:tena
sio mmoja….
Jack:wangapi….
Ali:wa
wiwili tu sio wengi….
Juma;
eeeeeeeeeeh na mke na watoto tatizo nini
Joy:tatizo
ni kuficha tu baba b….mcha maradhi..kifo….
Jack:humuumbua
shoga….
Ali:eeeeh
joy ngoja nikuulize swali????
Joy:uliza
mwaya…..
Ali:hivi
joyhapa CBE wewe sio mgeni si ndio….
Joy: sasa
ndo swali gani hilo….?
ali: nakuja kwenye swali sasa ..hiv hapa cbe kunauwezekano wa kuwepo mwanamke bikira kweli..?
ali: nakuja kwenye swali sasa ..hiv hapa cbe kunauwezekano wa kuwepo mwanamke bikira kweli..?
Jack na joy
wakaanza kucheka kwanza na kugonga
wenyewe….
Jack;ali
bana ndo maswali gani hayo tena mpaka umenifanya nishibe gafla mwezio..
Joy:Mmmmmmmmmmmmmmh
humu ndani cbe
No comments:
Post a Comment