YALIYOMO
UTANGULIZI
KILELE CHA UBEPARI TANZANIA NA AFRIKA
Hasara za kuukana ujamaa nakujitegemea
Afrika
Tafakari
Fedha zetu kushuka dhamani?
Ajira
Lengo la kuleta ushoga afrika ni nini?
Athari za ushoga kwa bara la afrika ni zipi?
We umefanya nini?
SHUKRANI
Shukrani za dhati kwa Mungu baba aliye juu kwa kunipa uhai na kuniwezesha kufanikisha kutoka kwa kitabu hiki ingawa ilikuwa kazi ngumu bila msaada wako Mungu nisingeweza kufanikisha hili.
Pia shukrani zangu ziwafikie familia yangu na marafiki zangu kwa kunipa ushirikiano wa kutosha Mungu awabariki nyote.
Bila kukusahau wewe uliyechukuwa muda wako kosa kitabu hiki Mungu akubariki sana na kukutia nguvu katika maangaiko yako ya kila siku.PAMOJA TUNAWEZA.
KILELE CHA UBEPARI NA TISHIO LA USHOGA AFRIKA
Kitabu hiki kinaelezea maisha halisi ya mwananchi wa hali ya chini katika bara la Afrika,ususani chini ya ya jangwa la sahara.
Harakati zao za kujinasua katika umasikini uliokisiri?
Ni kwa nini umasikini unazidi kuongezeka ndani ya bara letu lenye kila aina ya rasilimali?.Je ni kwa nini wanasiasa wamekuwa vigeugeu?.
Nani anayeanzisha maandamano ya ukombozi katika nchi nyingi za Africa?
· lengo la kuleta ushoga Africa nini?
· ni nani wa kulaumiwa katika hili?
Kitabu hichi kimechambua kwa undani nini cha kufanya ili kujikomboa katika hili janga lilokumba bara letu la africa.
hapa tulipo sasa ni KILELE CHA UBEPARI KATIKA BARA LETU.(KILELE CHA UBINAFSI WA MALI)
No comments:
Post a Comment