YALIYOMO
SHUKRANI
Shukrani za dhati kwa Mungu baba aliye juu kwa
kunipa uhai na kuniwezesha kufanikisha kutoka kwa kitabu hiki ingawa ilikuwa
kazi ngumu bila msaada wako Mungu nisingeweza kufanikisha hili.
Pia shukrani zangu ziwafikie familia yangu na
marafiki zangu kwa kunipa ushirikiano wa kutosha Mungu awabariki nyote.
Bila kukusahau wewe uliyechukuwa muda wako kosa
kitabu hiki Mungu akubariki sana na kukutia nguvu katika maangaiko yako ya kila
siku.PAMOJA TUNAWEZA.
KILELE CHA
UBEPARI NA TISHIO LA USHOGA AFRIKA
Kitabu hiki kinaelezea
maisha halisi ya mwananchi wa hali ya chini katika bara la Afrika,ususani chini
ya ya jangwa la sahara.
Harakati
zao za kujinasua katika umasikini uliokisiri?
Ni kwa nini umasikini unazidi kuongezeka ndani ya
bara letu lenye kila aina ya rasilimali?.Je ni kwa nini wanasiasa wamekuwa
vigeugeu?.
Nani anayeanzisha
maandamano ya ukombozi katika nchi nyingi za Africa?
·
lengo la kuleta ushoga Africa nini?
·
ni nani wa kulaumiwa katika hili?
Kitabu hichi
kimechambua kwa undani nini cha kufanya ili kujikomboa katika hili janga
lilokumba bara letu la africa.
hapa tulipo sasa ni KILELE
CHA UBEPARI KATIKA BARA LETU.(KILELE CHA UBINAFSI WA MALI)
No comments:
Post a Comment