Siku nilipotongozwa na baba yangu
facebook
Ni visa juu ya visa mikasa juu ya mikasa mrembo
fetty ajikuta akitongozwa nababa yake mzazi wa kumzaa ndani ya facebook wapeana mapenzi mazito.
.huku baba fetty akijiandaa kufungua mlango wa
chumba cha guest aliyofikia fetty nchini malawi ndipo fetty alipogundua kumbe
aliyekuwa anachat nae ni baba yake mzazi
kabisa……
Je fetty alifanyeje????ni kisa kizito..
Ilikuwaje ,na itakuwaje ndani yah ii simuliz ya
kusisimua….
SIMULIZI INAANZA ….
Fetty mtoto wa pili wa
familia ya watoto wawili ,Baba na mama yake wameshatengana muda mrefu na fetty
muda wote alikuwa anaishi na mama yake huku kaka yake akiishi na baba yake
mzazi.Fetty ali alijiunga na facebook mwaka 2012 na kuanza kuutumia mtandao wa
facebook kama mtandao wake wa kujumuika na watu na marafiki zake.fetty ali
mrembo wa uhakika alikuwa akipost picha zake za mapozi mbali mbali kitu ambacho kiwavutia wavulana na
wasichana kuomba urafiki nae.katika muda mfup tu fetty alijikuta ana
marafiki 3000 na kitu kilichompa furaha
na faraja sana kila siku… msg za INBOX zilikuwa hazipungui kwa siku 50 kutoka kwa
marafiki mbali mbali wa kiume na wakike ingawa wakiume walikuwa wengi na
wengi wao walikuwa wanamtaka kimapenzi na kusababisha kuwa kero kwake muda
mwingine walikuwa wanatuma mpaka picha zio za utupu kumshawishi awe nao
kimapenzi..
Siku ya siku fetty
alikutana na rafiki yake pendo na kupata wazo la kufungua akaunti bandia ya
facebook,pendo alimshawishi sana fetty afanye hivyo na atapata pesa nyingi
ssana kama yeye alivyofanikuwa kula pesa za wanaume wengi wengi wakiwa wanaume
za watu wenye pesa nyingi huku akimpa mfano wa hussen mume wa msanii maarufu
alivyomlia pesa zake kwa kukubali kuwa atakutana nae kimwili kama atamtumia
milioni1,..fetty aliogopa sana na kumwambia upendo hizo ishu ni hatari sana na
kwanza hajazoea wizi wala utapeli.pendo alikuwa amekubuhu sana katika hiyo
biashara kiasi cha kuacha na shule kabisa na kujikip buze na simu yake
kutengeneza pesa.
Fetty alitamani maisha ya pendo simu ya milioni
mbili mkononi,nguo za bei mbaya na nje alikuwa amepaki kigari chake cha
kutembelea nje..
Fetty akaamua kukata
shauri na kuchukua laptop yake na kuunda
akaunti bandia kwa jina la Luc ali,na kutafuta picha mrembo wa ulaya
black amerika mmoja na kuwa anazitunia kama zake kwenye account hiyo
aliyojifanya kasoma chuo cha tumaini iringa kitivo cha sheria mwaka wa pili.
Baada ya account hiyo
kukamilika aliachie hewani na kuendelea na mabo yake ya kawaida na pia
alijiomba urafiki kwenye akaunti yake ya ukweli nay a pendo shoga yake..
Pendo baada ya kujua
huyu ndo feety anakuja kivingine akamuombea na marafiki wenye pesa yaani
akaomba marafiki zake wamkubali na ndani ya muda mfupi akaunti fek ikafikia
watu 1500.na msg zilikuwa haziishi kuingia wanaume wakimtaka kimapenzi na fetty
akawa kazi yake kutengeneza appointment hewa na kujiingizia kipato ,kwa wiki
fetty alikuwa navuna si chini ya laki 8,kutoka kwa watoto wa matajiri
wanaojifanya kumenda mpenda kwenye hiyo akaunti yake fek ya aliyoipa jina la
luc ali, fetty alikuwa buze kutafuta picha za nusu uchu zinazoendana umbo na za Yule msichana mmarekani mweusi
alizoweka kweye profile yake ya luc..na pindi akizipata alikuwa nazitupia
kwenye profile yake ili kuwavutia wavulana wengi zaid..
Huku nyuma sasa.
Si unajua tena wazee wetu
wa kisasa nao wamo ndani ya facebook wanafanya yao basi..mzee ali alikuwa na
harahati zake za chini chini ndani ya mtandao wa facebook kusaka wasichana
wadogo umri sawa na mtoto wake na kuwarubuni
na kisha kufanya nao mapenzi,huku nae akijita Julius ilikuwa ni vurugu
maana waliweka picha ya kijana handsome na alikuwa aki upload picha hizi mara
kwa mara na kujifanya yeye ni IT, na hajaoa na hana hata mtoto.baba fetty siku
ya siku alisema ngoja apite kwenye account za watoto wake kusaka mrembo wa kufanyanee
ufilauni wake. alipofika kwa fetty
alikuta ana marafiki wengi sana na aliyemvutia ni huyo luc ali kwanza
kwa kuwa alikuwa ameweka picha ya kikahaba kahaba mno na pia alikuwa ana jina
la mwisho ali.baba fetty akomba urafiki na luc na baada ya muda si mrefu luc
akakubali na wakaanza kuchati..
Julius:hy…
Luc:Hy
Julius:uko poa
Luc:k
safi sana mkuu Kda
ReplyDeletesafi sana mkuu Kda
ReplyDelete