KIMYA
KIMYA
YALIYOMO
NDANI YA KIMYA KIMYA: VIDOKEZO
sawa bana
wewe si moto wa mjini m wala sina shaka maana nikiomba pesa unanipa ingawa
nakuona tu upo upo”
Aaaaaaahh
pole pole…ilikuwa mwimbo wa taifa kipindi hicho so mtu mzima nikampa motto dozi
kamili ka ile ya dawa mseto ya maralia kila kona ya chumba nusu tuvunje laptop
maana ilikuwa kila staili 3-5-2 ndo staili yangu kubwa kwa wale wataalamu wa
wanajua huwa inakuwaje mtu ukimpiga kwa kutumia mfumo huu wa maangamizi.
“Utakaa sawa
dear”
Usingizi wa ghafla.nikamuacha amelala nikatoka zangu
nje..
Kama kawa alifanya Kama aliyoagizwa na bosi mkuu na
kweli baada ya dakika kazaa simu ikaita na namba za Kenya maana boss wetu
alikuwa anatumia mtandao ya Kenya.
je eva akijua kuwa m huwa nauza madawa itakuwaje?
Kumbuka baba yake eva ni afisa usalama mkuu wa kikosi.
FWATILIA KISA HIKI
CHA KUSISIMIA,MAPENZI KATI YA MTOTO WA AFISA USALAMA MKUU NA KIJANA FRANK MUUZA MADAWA YA KULEVYA..NI
TUKIO NDANI YA TUKIO,VISA NDANI YA VISASI)….
Simulizi
inaanzia Hapa:
Eva:sasa
itakuwaje dear?
Mi:nni shida
mama?
Eva:si hayo
mambo yako ya chuo.
Mi:mama
situshaongea jamani mbona unataka nirudie jambo lile mama.tatizo nini?
Eva:we huoni
tatizo wenzangu eeee?
Mi:tatizo
lipo lakini litaisha mama nipe muda pleas.
Eva:mmmmmmmmmmmmmmm
Sasa mama
bora jiandae nikusindikize mama mida inazidi tembea tusije tukakosa gari si
unajua kule kwenu magari yanazingua?akajibu “poa niletee poda.”tukatoka pale nyumbani
mida ya saa moja na nusu tukaenda standi kibo nikamsindikiza mpaka mwenge kwa
kweli alikuwa amenunu kiasi sikujua kwa nini?nikijaribu kumdadisi alijibu “dear
sina shida nipo poa” lakini chako utakijua tuu man kweli mama alikuwa hayuko
poa kabisa jambo hili lilinikosesha raha hata mimi?lakini nikajiapa moyo labda
uchovu tu ndo ulikuwa unamsumbua. Magari ya bahari beach siku hiyo yalikuwa
yanazingua mbaya kitu ambacho kilimzidishia hasira so ikabidi apande la tegeta.akanihagi kiaina gari lilipoondoka nikaona
ni bora nitafute sehemu nipate ndovu mbili nirudishe mudi yangu.hivyo nikasigea
mpaka mlimani city nikakaa pale nje nika bia zangu mbili taratibu huku
nikitafakari nitaishije maisha haya bila kazi ya kudumu.
Kweli moja
huazisha nyingine maana ilibidi nipige tatu hivyo buku sita yangu iilitembea
pale nikaingia ndani na kuchukua maziwa tanga mtindi kwa ajili ya kesho.kabla
sijatoka pale mlimani nikampigia mpenzi nikamuuliza kama kafika:
Mi:rrrrrrrrrrrrrrr
ilikuwa inaita (akapokea)
Eva:hello?
Mi:niaje
mama umeshafika?
Eva:hapana
dear nipo hapa corner nachukua bajaji?
Mi:pole
Eva:asante
uko wapi sasa.
Mi:mlimani
city mama?
Eva:hongera
unazo wenzangu?
Mi:hamna
mama kawaida?
Eva:poa bana
nikifika nitakwambia ila usisahau kuweka akiba baba sawa?
Mi:worry not?
Eva:sitani?
Mi:nimekuelewa
mama.
Simu ikakata
nikahisi kuna kitu huyu mama ananificha maana leo anataka niweke akiba kwa
nin?lakini kijana sikujali sana maana ilikuwa siku ya kwanza kuambiwa hivyo so
nikapotezea.nikatambaa zangu sikani.
Siku
zikazidi kwenda mawasiliano na mama eva yalikuwa kama kawaida yaani kwa siku
mara tatu hivi au zaidi ilikuwa poa
lakini maneno yalikuwa yanabadilika sana demu alikuwa hataki kabisa
kuzungumzia ishu za mapenzi.alitaka mada za biashara tu na jinsi ya kubana
matumizi maswali yalikuwa mengi na mengi nilijitahidi kuyajibu.lakin mengine da
yalinishinda kabisa kuyajibu?ilibidi nimuulize mama hivi haya maswali unaniuliza
kwa sababu zipi ?maana nasihindwa kukuelewa mama?
akajibu “utakaa sawa dear”
akajibu “utakaa sawa dear”
Mi:du
hilo ndo jibu mama.
Eva:
hapana dear nakutania mpenzi m nilikuwa natakakujua uwezo wako kwenye mambo ya
biashara.
Mi:ok
so tuendelee?
Eva:maswali
ee?
Mi:sio
maswali mama maswali yameshatosha..?
Eva:aaaah
hapana baba leo ni jumatatu siku ya kazi.umesahau tarehe nini?
Mi:da kweli da siku zinatembea,, mama poa leta
stori..stori sio maswali?
Unajua
frank hamna mapenzi bila pesa.m nakupenda kweli dear ila wewe wenzagu kazi sasa
huna na hao wa chuo huko hawajawaita hadi leo so unafiki utafanya nini town
hapa baba?nikajibu da ushaanza maswali mama ?wewe unakikumbuka chuo
kuliko hata mimi wenyewe niliyesimamishwa asante sana.sikia dear nilisha make
one time so hapa mjini hapanipi shida nilizaliwa sinza dear umesahau.kila
kukicha nasugua kichwa hapa sikani nifanye nini cha muda mrefu so usihofu mama
siwezi kosa shughuli town hapa.
Akajibu
“sawa bana wewe si moto wa mjini m walas sina shaka maana nikiomba pesa unanipa
ingawa nakuona tu upo upo”
Mi:hivyo
ulitaka unikute barabrani napigwa na jua sio.
Eva:eeeh
ndio mkaa bure si sawa na mtembea bure.,tuachane na hayo ile assignment
uneshanisaidia dear?
Mi:iko
poa mama so umekuja na flash.
Eva:hapana
nitumie kwenye e-mail.
“sikumtumie
assignment yake hivyo ilibidi aje fasta
ghetto kuichukua mwenyewe na mambo yalikuwa hiv”:
Mi:assignment
yako hii hapa mama samahani sana wangu..
Mi:..,so
unakula nini?
Eva;chochote
mpenzi?
tulipotoka hapa nilimsindikiza mpaka ubungo
akachukua gari la posta moja kwa moja mpaka chuo.
Niliporudi
ghetto::-
Nilikuwa
nimetembelewa na rafiki yangu Gabi (G) na mazungumzo yalikuwa hivi:
G;sasa
kwa nini hukumsindikiza mpaka chuo kidume?
Mi:da
nilikuwa na ndala tu arifu halafu hata
pesa sikubeba yaani nilitoka bila hata simu.
G:sasa
dogo atakuja tena lini jombaa?
Mi:labda
jmos maana kitabu kinambana sana si unajua mwaka wa pili sasa.
G:so
nipe full mkanda jomba ilikuwaje chuo mwana?
Mi:
Daaa long stori jomba ila nitajitahidi kuifupisha au unasemaje?
G:wewe
nipe full mkanda kwanza tukanunue vipoozeo au unaonaje?
Mi:itakuwa
mzuka mbaya jomba?
G:cheki
na ten hii,m castle.
Mi:ngoja
niongezee hapa tupate nne na nichukue na kitu cha kiepe yai.siunajua itakuwa
ngumu kupika mida hii.
G:
itakuwa poa yangu asiweke pilipili..
Mi:poa
mkuu wa kazi.
(Baada
ya muda kidogo nikarudi na msosi pamoja na gambe zikawekwa mezani na mambo yakawa
hivi)
G:so
leta info jomba?
Unakumbuka
pale nipoishia siku nilikucall jombaa?akajibu “yap”so naendelea nilitoka zangu
pande zile mida ya kitisa hivi nikatambaa zangu town fasta na vimizigo
kaina.nikafika town nikatafuta sehemu
nikakaa kwanza nikajipunzisha si unakumbuka ile bar tuliyokaa siku ile
na yule sista wa masters..(G):ee “nyuma ya stendi”
mia
bro kweli unakumbukumbu jombaa pale pale nikaa nikapunguza machungu kiaana na
mmoja mmoja nilipotoka pale nikatembea zangu mpaka wajenzi kupiga mboji kesho
yake niakaamka na uchovu mbaya maana hizo simu nilizokuwa napokea jomba mpaka
cha charge iliisha simu zote
mbili..yaani kila kona mpaka mchizi wako wakongo alitamani hatakulia man
kusikia nimetimuliwa..ndo hivyo jomba nikawapoza wasihofu kivile wasije
wakapata presha.
So
nilikaa Dodoma kwa wiki mmoja hivi na nusu baada ya hapo nikatambaa zangu dar
maana dogo alikuwa anakuja alihitaji mtu wa kumpokea..
G:eeh
da dogo vipi yuko poa?
Mi:yuko
poa mbaya jomba kawa mrefu ka hasim vile na anatembeza buku mbaya.so nikampokea
dogo nikamtembeza mji kidogo alikaa hapa town kwa siku mbili hivi.hapo ndo
maisha yangu yalianza rasmi town jomba jiji la joto bila pesa ni sawa na
kumkonyeza demu gizani.nikapiga sana jaramba town hapa na mchizi wangu
Yuda.Ghetto hakueleweki tunapika sometime hatupiki tunanunua mihogo kwa mama
muuza.
G:daa
hivyo ghetto mlikuwa mtu mbili tu.
G:sasa
we jomba ilikuwaje ukapata kazi hapa town.
Daa
long stor bro ilikuwa ka dhali vili jombaa siunajua mungu hamtupi mtu wake,kitaa
kilikuwa kimenuka mbaya chapa ilikata nilikuwa na mpango wa kuingia mkoa.na
kipindi hicho salome alikuwa kashazigua mda mrefu jomba yaani hapa kati bata
zilikata kiana zile za foleni zikawa zinanishinda na dogo mambo mengi so dogo
akaanza nichunia kiaina huku nyuma ni mambo yanajipa na demu ndo anasepa shua
bro nilimwambia mambo yashakuwa poa nusu milioni itaanza kuingia soon lakini
dogo hakutaka kunamini daywaka akaamua kutambaa zake na kuniacha single man
ilikuwa so hard.
G:da
mwanangu kitu s aliamua kusepa..pole sana daa,
M:da
kaka siunajua inafika wakati mtu unakuwa hausomeki mazima so mademu wengine
wanashindwa kuelewa kuwa vitu hupanda na kushuka.nikaaza kwenda job kwenye
shirika moja hapa mjini(jina nalihifadhi kwa sababu maalumu)kwa muda wa miezi
mitatu mfululuzo na bata zikaaza kurudi upya maana mambo yangu mengi yalianza
kuwa poa jomba.Ghetto siumeona gasi hiyo na ikikata inahitaji 50000 so bila
dili inakuwa ngumu kulipa umeme kulipa maji so mambo madogo madogo nikawa
nauwezo wa kuyamaliza kimya kimya.
Kitu
cha foleni kilikuwa kinataka kunifanya niache kazi jomba ilanilipokumbuka msoto
wa nyuma nikaamuaa kukoma na kazi.ila unaamka usiku unarudi usiku ni kazi
mtindo mmoja jomba niliandika ripot mpaka vidole vikataka vizame kwenye
keyboard, piga sana kahawa na machapati ila baada ya saa mbili njaa maana ofisi
ilikuwa na baridi ka tuko makambako vile mtu wangu Ac ilikuwa ni kwele.inapuliza
hiyo na meza yangu ndo ipo chini ya kichwa cha ac.hivyo ilikuwa inanipiga
mbaya.
Alafu
G nilipiga madude yako?
G:aaaa
we kaka ni kwele uliwezaje?
Mi:msoto
wa kitaa ulinifundisha kuchezesha akili kaka..nilikuwa na akili nyingi mpaka
nikaaza kujiogopa..
Basi
bwana tuishie hapa maana hizi bia zinaanza kunipotezea kumbukumbu.
G:da
ni mzuka,sasa kaka zima hiyo tv leta
laptop tucheki muvi ndo zina
mzuka.
Mi:uko
sawa jomba kitu taken tukichek maana hili limovi halinichoshi?
G:mzee
wa Goodluck..huyo huyo taken ndo mpango
mzima.
Mi:kumbe
unakumbuka kaka dat right.
G:laptop
kama hii haikosi mambo yetu yale?
Mi:ja
umejuaje jomba ila we mdau maana mlikuwa mnataka kuniuwa mimi na vipindi vyemu
vya siku zima.
G:da
unamkumbuka mzee rams alikuwa kwele ila sasa ukimuona kwenye ofisi utafikirii
mtu wa maana vile…dada yako je?
Mi:nani
tena huyo?
G:si
matawi unajisahaulisha mzee wa kufukuzia motto..
Mi:acha
zako nani alifukuzia Yule demu kama si wewe mzee wa mbuga..ila tuseme ukweli
dogo Yule ni mkali ukifikia upande wa mambo yetu.
G:sasa
wewe muvi yenyewe umeiweka wapi sasa….
Mi:we
acha hizo search hapo faili linaloitwa salome.
G:sawa
baba salome?
Mi:acha
mambo yako.
G:sasa
nani aliandika hili faili salome ee jomba.
Mi:m
memwenyewe jomba
G:pole
kaka..komaa huu ndo uwanaume sawa kaka.
Mi:ndio
mkuu.so mpigie john asee?
((john
rafiki yetu amechukua gari alilokuja
nalo G na kwenda nalo kwa mademu zake wala hatukujua yuko wapi ikabidi G
ampigie simu))
G:huyo
john kweli ??
Grrrrr
grrrrr (ghafla simu ikaita tena akapokea) “sasa we john k…………….. mbona huja
hadi sasa hivi wewe dogo…………………..acha hizo fanya fasta ee…………………………….sasa
unasemaje……………..poa nusu sawa ..we zingua wakufume huko hakuna atakuja kukomboa
sawa….” (simu ikakata)
G:
anahoji::huyo dogo hii tabia karidhi kwa mtu hawezekani dogo anaenda kweye
mdomo wa simbaa hivi hivi du..
Mi:du
dogo tushampoteza kabisa.m ngoja niaze kununua msalaba na sanda kabisa..
G:ila
dogo kweli lazima abadilike maana kaka spidi yake ni kubwa mno da ..sijui..
Mi:wewe
huwa umewambie jomba.
G:Na
Yule mdingi akimshika ataeleza vyote mzee mwenyewe kashapigana sana vita mpaka
huko kongo kafika..sijui majanga haya..
Mi: atakaa sawa kaka worry not..
(ghafla
tukaanza kuzungumzia muvi tuliyokuwa tunaiangalia)
G:kaka
huyo mzee ni noma aliwaafuta hawa watekaji kweli hii mtu ni FBI ya ukweli?
Mi:da
kaka huyu mzee ana vifaa na ujuzi usiochacha kama elimu zemu za bongo unasoma
leo unasahau kesho..
G:ila
we huyu demu alikuwa mwanae wa kumzaa kweli?maana hapo sikupapata freshi?
Mi:dogo
huyo alizaliwa na huyo mother hapo(namuonyesha) sasa kutokana na ishu za
kijeshi mama akashindwa kuvumilia kalenda za mshua akaamua atafute msela
mwingine hivyo waliachana na jamaa ila motto ni wa mchizi..
G:huyu
dingi mnaa kweli sasa anampa zawadi ya farasi apeleke wapi?
Mi:watoto
wa masaki utawaweza wewe wa tandale kweli?
Stori
zikabadilika ghafla :::
G:we
umeacha na salome sawa sawa na alivyoacha huyu mzee wa hii movi?
Mi:acha
ishu hizo ,m salome hajaniacha kanipa mapumziko sawa na
Eva
kaja kupooza machungu sawa..wewe pendo yuko wapi?sio unasema wenzako tu.
G:katembea
na bwana ila hamna shida
We
fikiria :nilimfwata kumtongoza kikauzu akagoma,
nikaondoka na ndinga akagoma
nikaenda
na baskeli akagoma
sasa
nifanyeje inaonekana upendo hanipendi kabisa.
Mi:ila
nasikia kunajamaa anakula pale kitaa.
G:
yawezekana mkuu maana Yule demu sina hamu nae kabisa.
Tukiendelea
kuchati pale mara tukasikia honi tukajua lazima atakuwa john..
Mi:ngoja nikamcheki huyu mnaa?(kweli alikuwa
mwenyewe)sasa wewe si hushuke kaka..
John:oya nia aje nyokaa
Mi:poa jomba.
John: mwanangu kweli ngoja nipark vizuri maana njaa
inaniuma mbaya kaka yaani huko kote nikotoa tulikuwa tunakunya soda tu mtu
wangu?
Mi:poa kuna vitu kwenye frigid itabidi upashe?
John:ni mzuka..(akafika sebuleni) daaadaaa haiwezekani
maze mmepiga bia zote hizi da kweli nimekosa bahati daa..
John anamuhoji G:::: sasa na we dereva ulikuwa
unakunya bia za nini?
G: akajibu: kaa hapo una kesi ya kujibu?
Mi:sasa we kapashe huo msosi uje hapa na chukua kuna
soda huko kwenye frigid wewe si hunywe kilevi.
John:da itakuwapoaa maana na kiu mbaya hapa nilipo..
Mi:umeona
hapo,yaani hiyo mashine ya shoti wakikufungia tu lazima ujikojolee.(mazungumzo
yakahamia kwenye movi kidogo)
G:sure bro hii mashine ni moto wa kuotea mbali jomba
mpaka jamaa wa goodluck akasema yote we unafanya mcchezo nini? (jambazi mmoja
ndani ya movi G kampachika jina la goodluck)
Mi:hiyo kitu ni soo
G:sasa hapa inabidi tutoke hapa moja kwa moja mpaka
sikani maana mother anataka nimpeleke sehemu.
Mi:kijana sasa hizo bia na mambo ya kumuendesha mama
yanaendana kweli kaka?
G:mzoefu mimi bia nne si ishu tunge piga saba ingekuwa
soo..ila hizi nitazikabili kakaa worry not…
G:we fanya fasta tusepe mother anasubiria ndinga.
Mi:haya tutajitahidi.
John:wanangu kitu cha futa kinakaribia kukata jomba?
G:we usiniletee us…john ulienda wapi mafuta yalikuwa
kibao.
John:foleni mwanangu ilikuwa noma..nilifika bunju tu
hapo.
G:aaaaa k………… huyu jaaa kuazia leo simpi gari hata iweje.
Mi:na we jo umezidi umalaya kaka bunju jombaa ulienda
kufanya nini?
John:nilimpeleka mama mkewe alikuwa anaenda msibani
akaniomba msaada,maana magari yalikuwa ya shida mbaya.
G:haya msamaria huna leseni unafika mpaka bunju
wangekudaka nani angekutoa selo.
John:halafu sikuwaza hizo kabisa...ila na buku ten
hapa nitakutoa uweke mafuta kidogo usimaindi chale yangu…
John:oya frank
Yule demu tuliyekuna nae mlimani city siku ile tulipoenda kununua ndovu
za kopo..unamkumbuka
Mi:da nimekusoma suzy au ?
John:ee huyo huyo wezake sasa nimekutanae bungu
alikuwa nakuja mwenge nikampa lifti daa toto linanyama ka bucha la ubungo mataa..ikabidi
nitupe kete fasta.
Mi;sawa sawa bwana mzee wa voko vokolisti…nyoshi el
sadati..
(muda wote G alikuwa nalikagua gari kuona liko sawa au
la )
G;frank asante sana kaka tutaonana unimalizie ishu za
job.
Mi:poa safari njema mazee sasa we john itabidi
umuendeshe huyu mpaka mfike zitakuwa zimepungua hizo pombe…na jmo usisahau uje
tende san cirro jomba maana hapa nilipo sijisikii…
G:poa kaka m siwezi toka night jioni maana father
anaweza nikazingua?
Mi:so kama utaka kuja itabidi uje kulala huku.
Wakaondoka pale wakielekea tabata m kama kawa nikamalizia ndovu yangu mmoja
nikazima laptop na kuenda kupiga usingizi kidogo nikiwa katikati ya usingizi
simu yangu ikaita kuicheki kumbe Eva anapiga so nikajiweka sawa nikapokea
Mi:niaje dear?
Eva:poa tu,wapi hiyo?
Mi:sikani
Eva:oooh so nije?
Mi:da naona ka muda umeenda sana mama au?
Eva:we muda niachie mimi sawa.
MI:sawa mama njoo ur welcome.
Eva:au salome karudi unaogopa nitamkuta?
Mi:hapana nipo peke yangu now.
Mi:poa. (simu ikakata) nikawaza “sasa na hizi bia leo
itakuwaje daa na dogo hapendi bia
kabisa”ikabidi nipege mswaki pale fasta na kupiga maji ya kutosha kupunguza
harufu chupa zikawekwa stor fasta na deki ya kiaina ikapigwa pale sebuleni.hapa
hali imekaa sawa so niendelee na mboji.nikapiga mboji ka muda wa dakika kama 45
hivi ndo eva akawa amiefika pale sikani nikamkaribisha na makiss kama kawa
alikuwa kapiga skinjeans na kitop alitoka poa sana so kijana vazi likanipa
mzuka zaidi nikajisemea wenyewe.. ‘”nimejaribu,
nimeweza na ninasongambele”so dogo
akafanya kassignment kadogo pale kwenye machine baada ya kumaliza ukaniuliza
ile khanga la wageni iko wapi?so nikamjibu “hapo chumbani ma”so akaenda kuvaa na
kenda msalani..huku nyuma mtu mzima nikafunga mlango mkubwa na kumfwata dogo
chumbani..mtoto kaenea kwenye kitandaa kajimwaga mbaya so ile stali aliyokuwa
amelala nayo inaitwa wewe tu huku kwetu
uswazi.sikufanya ajizi kijana kama kauli mbio inavyosema nikaanza kuperuzi na kudadi.ngozi laini ikaendelea kumpapa
taratibu visigino tu kwa dakika 20 hivi napita taratibu kwenye vidole vyake
lain vilivyokuwa vimepakwa rangi ya blue huku nikimcheki eva alikuwa akijigeuza
geuza nikasema moyoni moyoni “hii dozi inamuingia”nikaanza panda taratibu na
magoti mpaka nilipokaribia makao makuu ya mkoa nikaparuka na kupanda juu zaidi
na kwenda kumpa pumzi kidogo hivyo nikala ndimi pale huku nikiendelea kuperuzi Na kudadisi kila kona..eva nifundi
jamani acha yaani ukitoa kwake pasi lazima akurudishie pasi kama Barcelona vile
hivyo reheso ilikuwa nzuri sana nikajihisi kila siku nikuwa naona eva anazidi
kuwa mpya kitu kilichokuwa kinanipa sana mzuza nikapanda juu na zana taratibu
huku kitu cha paper loving kikipigwa kwenye laptop yangu niliyokuwa nimeikoneti
na spika za ghetto.aaaaaaahh pole pole
**************************************************************
…ilikuwa mwimbo wa taifa kipindi hicho so mtu mzima
nikampa motto dozi kamili ka ile ya dawa mseto ya maralia kila kona ya chumba
nusu tuvunje laptop maana ilikuwa kila staili 3-5-2 ndo staili yangu kubwa kwa
wale wataalamu wa wanajua huwa inakuwaje mtu ukimpiga kwa kutumia mfumo huu wa
maangamizi unapanga midfield wa kufa mtu..hivyo unatakiwa uhakikishe unaguza
kila pande na unatembea kwa speed kali hii staili inahitaji sana mazoezi kwa
mwanaume, hivyo kama huna mazoezi basi huwezi kuiweza hii staili.katikati ya mashambulizi unatakiwa
kusaidiana na mdomo na vidole kitanda hapa huwa hakina kazi kubwa maana
kinatunika sehemu ndogo tu hasa kwenye kona zake..aaaaaaaah basi baba
imetosha..nilikuwa naenda ya nne sasa dogo akanitoa fasta na kwenda zake kuoga
so nikabaki natoa macho pale hoi kidume na uchu bado ulikuwa unanikabili..(dogo
akatoka kuoga)akaniuliza “kweli frank ulikuwa na mpango wa kuniua eeeeh”.nipakashindwa
na kuvumilia nikamfwata na kumkumbatia nipampaa joto jipya kama kawaida maana
sikenda kuoga nae makusudi maana niliuwa na mpango wa kumaliza la nne.so
nilipomkumbatia na kumpa joto la kutosha doga akajisahau nikamshusha na
kumalizia langu la nne taratibu dogo alanza kulia(oooH fe naumiaaaaaaaaa) maana
kitu kilichelewa kutoka mbaya.dogo alijua kuzungusha alizungusha kwenye ile
hatua ya nne mpaka nikampa pole maana kitu kilipotoka dogo alijikuta amepata
usingizi wa ghafla.nikamuacha amelala nikatoka zangu nje..
Mi:. Kurudi zangu ndani nikakuta eva bado kalala so
ikapidi nimuamshe maana simu yake ilikuwa inaita..
Eva:eeeeeeeh mama hebu zima hiyo laptop… hallo…………….
Ndo………… (akapoke simu) nitakuja mama usihofu…..aaaaa…ok ……miss u..poa ……mpe hy
dad…………….kesho basi…………ok..
Mi:hivyo unalala mama..
Eva:eeeh lakini sitakitena usumbufu sawa baba tukila
tunalala sawa mzungu wa nne sawa.
Mi:poa mama ila itakuwa ngumu mama bora niseme ukweli.
Eva:koma sitaki usumbufu serious nimechoka mbaya na
njaa inaniuma sana so niandalie menyu pleas..
Mi:hilo tu worry not sema lengine ma dear..wakati
naenda kuandaa m nenyu eva alikuwa nanaangalia simu yangu yenye line ya voda na
akakutana na msg iliyosema “dear m nimechoka
kusubiri?”
********************************************************************msg
ile ilimpa hasira sana na kuamua kuamka na kutaka kuondoka usiku ule ule kwa
wakati ule ilikuwa tayari ishafika saa 3.30 usiku hivyo ikabidi nianze kumsihi
asipandishe jaziba usiku ule maana pale sikani hapakuwa natabia ya watu kupiga
kele iwe mchan iwe usiku so nikamsihi sana lakini ilikuwa ngumu kunielewa akawa
ananganganiza nimtajie huyo mtu aliye tuma hiyo msg dakika 40 zilizopita
nikamwambia mama huyo ni bosi alikuwa anataka nimtumia kazi yake ya report ya
maralia lakini wapi eva akagoma kabisa basi ikabidi nichukue simu zangu na
kuondoka nazo kwenda nazo jikoni maana nilijua tu soon itakuja msg nyingine.
Moyoni nikiwaza je eva akijua kuwa m huwa nauza madawa
itakuwaje? Na huku bado ni mwanafunzi da mungu niokoe na hiki kiama sitaki
kabisa eva ajue hizi ishu nikapiga pale na ishara ya msalaba ya kizushi
nikimwomba mungu aniongoze nisikije nikakamatika maana baba yake eva ni afisa
usalama na mi namfahamu sana maana kashakula sana million zangu kadhaa da
ilikuwa usiku wa mshike mshike ikabidi nimpigie simu bosi nimpe ishu mazungumzo
yalikuwa kama hivi..
Boss:o
Mi:tena?
Boss:we nani?
Mi: oya 666
Boss:dogo vipi uko poa..
Mi:niko poa boss sema ile assignment yako nitakutumia
kesho cxk?
Mi:ndo na malizia conclusion sema page37 ndo ilikuwa
inazingua. Baada ya mazungumzo hayo bosi akawa ameelewa kabisa kuwa eva yupo na
aliiona ile msg (Cxk ;c inaamisha eva, x msg na k kusoma)hizi ni lugha zetu za
kazi na page 37 inamaanisha kakunja uso mbaya na haelweki hagawanyiki ila
hajuii nani katuma ile msg.
Hiyo boss alimuita mama shuhuli ambaye muda wote alipo
boss na yeye huwepo akamwabia anipigee kwa namba yake na m siku niende nikaisahau
chumbani pembeni ya alipolala eva ili aitapo tu eva apokee
Kama kawa nilifanya kamaniliyoagizwa na bosi mkuu na
kweli baada ya dakika kazaa simu ikaita na namba za Kenya maana boss wetu
alikuwa anatumia mtandao ya Kenya.eva akashituka naalipoona ni ile namba
akaogopa kupoke kwa muda.akaanza kuniitaa
We frank we frank simu yako inaita ??
No comments:
Post a Comment