Jack:labda
wa kiume…..
Dani:hapo
umenena labda wa kiume…
Ali:m bikira
wa kiume nilikuwadhani na juma kumbe juma anawatoto na familia du..hawa
mwanaume anaweza kukosekana…
Juma;acha
upumbavu wewe…..
Joy;kwa
kweli swali lako rahisi sana humu ndani hakuna bikira kabisa hasa mwaka wa tatu
wote sisi ni wazazi na tunafamilia zetu…
Jack;kweli
mama wengine ndo magume gume wakimbilia viwafunzi kama dani hapa…
Dani:muniache
na mwanafunzi wangu kanipenda mwenyewe…sasa huu mjengoni hakuna bikira unasikia
baba b…
Juma:baba b
nini ??
Dani:ndo
nakwambia hivyo bi kira hakuna hata joy mwenyewe sio bikira wala nini alikuwa
demu wangu zamani…
Joy:we ukome
usinizeeshe nilitoka na wewe lini na wapi koma…juma wangu m bado bikira mwaya
wasikuchoshe hawa…..
Jack:huyu
joy bikira basi bikira wa kichina….
Ali
;tuachane na hayo sasaa joy fanya mpango ukanipe ile assignment nikakop mchizi
wangu….
Joy:wewe
koma….
Juma:assignment
ya nani ..unataka ali.?
Ali; wewe
joy kwani tulia..?
Juma:mama
naomba hata asione cover page ya assignment yetu dogo kazidi kutegea mno huyu….
Basi baada
ya muda kidogo wakaamua kuondoka café wote na walipofika nje ya café kilajoy na
jack wakaelekea bweni kwao na huku juma ,ali na dani wakarudi zao rum.walipo
fika juma akukumbuka kuwa alikuwa na ofa ya kwenda club na jack ikabid amuandike
msg kwenye whatsapp kumuuliza kama ofa bado ipo au la.na jack akamjibu ofa
inefutwa hatoenda tena na mwanaume wenye familia na watoto wawili..huku kila
siku unamdanganya rafiki yangu kuwa unampenda kumbe huna lolote..mwanaume hovyo
wewe…basi juma akajaribu kijitete na ikashindikana…
Juma:oya
niye kobe mmenipeperushia bahati yangu mbuzi wakubwa…
Ali:nani
kobe?
Dani:bahati
gani tena?
Juma;niliahidiwa
kwenda club na jack sasa ishu ya kuwa
mimi nawatoto imearibu kila kitu..
Dani:aaaaaaaaaaaaaaaaaahh ahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh poleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Ali:poleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
mr bikira
Juma:chekeni
tu ipo siku yenu
Ali:achana
nae kwaza jack mapepe sana…
Dani;kweli
usije ukakutana na Yule ticha anayesemaga anamchukua akakuuwa bure..
Ali: tena
kweli Yule ticha nasikia ana ngoma…
Juma; acheni
zenu mshaaribu msharibu basi tena……
Huku Kwa
jack na joy…
Joy akaanza
kuwaza kwa nini swali la bikira aliulizwa yeye na sio jack na kwa nini juma
aliambiwa unasikia… na dani>>>?akakosa majibu?baada ya kuwaza kwa
dakika 30akakumbuka alimwachia juma pochi yake na kunauwezekano juma akawa
amesoma diary yake..
Ghafla
presha ikaanza kumpanda kunagalia picha yake anayowekaga kama alama ilikuwa
imehamishwa ukurasa akajua kabisa hapa tayari kimeshanuka kuwa mimi bikira..na
sasa kasoma nin kingine..joy presha ikazidi kumpanda..sasa huyu hajasoma
kuhusu wanaume walikwisha
nitogoza,nyumba niliyojenga kwa siri kwa pesa za mwalimu komba..mungu wangu
nimekwisha..mawazo yazidi kumuandama muda wote huo jack alikuwa anaoga si
unajua wanawake wanaoga nusu saa..
Kurud ndani
akamkuta rafiki yake kavimba kwa kuwaza kawa wa blue ghafla..
Jack:nini
tena wewe….?
Joy;hamna
shoga…
Jack:wewe au
ndo hilo tumbo..
Joy:bora
lingekuwa tumbo….
Jack:sasa
nini hilo tumbo dawa yake ni kuzaa tu..
Joy:mama
naomba panadol japo nipunguze haya mauumivu..
Jack;panadol
ya nini chukua castle hapo juu jipige dripu ulale..
Joy:kweli
mama nipe hiyo na glass
Jack; hayo
ndo maneno..
Piga vyombo
mama utulie Leo siwaelewe elewe wewe na juma wako mara huyu alale kwenye
discussion huyu nae katoka kula tu kaanza kuumwa ghafla sasa ndo nini?jack
anajissemesha mwenyewe bila kubapa majibu akajikuta anaropoka..
‘’’mbona
majanga haya jamani”””
Huku
akimishika joy mgongoni asijue
kinachomsibu na kumpoza kwa maneno matamu.
Kkunywa mama
usiogope na klub siendi tena shoga umenunua hivyo club nitaendaje sasa cha
msingi naenda kuleta nyingine nne na kiroba kimoja tunywe tulala au unasemaje bidada…
Joy;hakujibu
kitu…….
Jack;poa
hata m naaza kununuwa tena…du..sumani hii jamani..
Jack:halafu
m nahisi haka katakuwa kajuma tu maana nilishawambia humtaki kanagagania sasa
nikikutana nako huku kwaza ofa ya kwenda naye disco haipo tena na ni matusi
tu…gumeme gume liso na haya mtu anawatoto nyumbani ila bado tu angangania na
huku….baba b bana,,,
Alikuwa
anaonga hayo huku akichukua chupa za bia na pesa ili aende bar akanunue bia za
kutosha kwa ajili ya mama joy nay eye kujipa raha …japo joy apunguze mawazo..
Huku jack
akiyawaza hayo….
Joy naye
anawaza yake sasa ataweza je kutatua hili tatazo kwa wakati kabla halijazua
balaa kubwa..sasa hapa jamaaani mimi naumbuka sasa mama yangu..aaa mgoja
nimpigie pacha wangu japo anipe ushauri mm nisimpigie nichati naye kwenye
whatsapp ..
Joy:hy
No comments:
Post a Comment