SEHEMU YA PILI
BLANDINA
SIMULIZI ZA KWELI
0713592224
Muda wote huu blandina alikuwa anaomba mungu tu na bila
mafanikio,usiku huo usingizi haukuja kabisa blandina alianza kukonda kwa mateso
aliyokuwa anayapata toka kwa baba yake mzazi alikuwa analia muda mwing na kuonekana mwanachuo mwenye uzuni lakini marafiki zake
walijitahid sana kumfurahisha kiasi cha kuwa kumfanya blandina kusahau matatizo
yake pindi alipokuwa chuo.
Siku moja blandina alimuomba mpezi wake ima kulala nae japo
kwa wiki moja hivi na ima alikubali na kuhamia wenge kwa blandina lakini njiani
toka chuo (udsm)mpaka mwenge alikutana na vikwazo kibao maan wanatoka tu chuo
mwakashambuliwa na nyuki wengi sana wengi walimfwata imma na kumgata sana kiasi
cha kwenda kulazwa hospitali ya chuo na baada ya kupona siku mbili baadae
wakaendelea na safari yao ya kwenda mwenge toka chuo waka kod tax ha ilipofika
maeneo ya chuo cha ardhi ikagongana uso
kwa uso na tipa la mchanga na dereva na ima waliumia vibaya inagawa blandina
alichubuka kidogo tu.baada ya ajali hiyo imma alipelekwa muhimbili na kulazwa
wiki tatu ,baada ya kutoka hospital imma akamuomba blandina amrudishe tu chuo
maana anahitaji kukuaa karibu na wezake wamfundishe vile ambavyo ame miss kindi
chote alichokuwa anumwa..
Balndina alikubal na imma alirudi chuo na blandina
akaendelea kukaa mwenge na usiku mmoja baba yake akamtokea tena kumwambia kuwa
kuanzia sasa atakuwa anakuja kulala nae maan inaonekana unahitaji sana mwanaume
wakulala nae..blandina ikabidi aende kwa mganga wa asili na kumuomba mmsaidi na
mganga apongalia aligundia kuwa blandina anamajini ya ajabu makubwa kuliko yote
yanayopatikan hapa Tanzania na kumwambia mama sina uwezo wa kukusaidia lakini
unaweza kuwa unavaa surulia kila siku,..sawa…blandina akashangaa sasa huyu
mganga m namajini na suruali wapi na wapi…na baada ya kusema hivyo mganga
alitikisika na kushika shingo ishara ya kukabwa na baada ya muda wa dakika
kadhaa mganga alikufa mbele ya blandina huku mpovu yakitoka mdomoni..blandina
alikimbia na kurudi zake nyumbani na usiku huu baba yake hakumtokeaaa
…
Usiku aliofwatia pia baba yake alimtokea na kusema umeona
nilichomfanya mganga wako fek ,sasa wewe bado kidogo hako kaima nitakauwa
vibaya nitakakanyanga na treni au nikachome moto..ngoja kaendelee kukufwatilia
kataona mama na leo nakuja kulala na wewe hapa hapa kukulinda mwanangu..
Ingawa baada ya kusema hayo baba yake alitoweka na hakuja
kulala siku hiyo..
Kumbuka blandina alikuwa ni binti mrembo na alikuwa na mguu
mzuri na shape kitu kilichomfanya apende kuvaa sket muda wote kwa kuwa zilikuwa
zinampendeza sana..na usiku alikuwa anajiachia tu na nightdress ukizingatia dar
joto basi nightdress ilikuwa mahala pake..
Usiku mmoja baba yake alimtoke na kulala naye ingawa
hakufanya chochote,zaidi ya kumpa usingizi mzito na alipoamka asubuhi alikuta
msg leo tumelala wote wangu sishange sana kuona shula ka pili limetumika…
Blandina
hakuamini macho yake akampigia simu mama yake na kumuuliza baba yake kama alilala huko nyumbani na mama yake aliwambia ndio ingawa alishangaa kwa nini blandina kamuuliza baba yake…
hakuamini macho yake akampigia simu mama yake na kumuuliza baba yake kama alilala huko nyumbani na mama yake aliwambia ndio ingawa alishangaa kwa nini blandina kamuuliza baba yake…
Alipojaribu kumuuliza blandina kwa nini unataka kujua baba
yako kalala wapi hakujibu kitu ……
Baba yake blandina ikawa ndo mtindo wake wa kulala na mwanae
ingawa ahakujamiana nae na blandina ilifika kipindi akazoea aje alale asilale
shauri yake yeye akawa anfanya yake na huku akimfanyia mpango wa siri wa
kumuuwa kwa risasi au sumu lakini pesa zake nyingi zilirudishwa na aliyokuwa
nawatuma maana pindi tu walipotaka kufanikisha kumuua baba yake alikuwa
anageuka na kuwa mmoja ya wanafamilia ya mtu ambaye ametumwa kumuuwa na kufanya
swala la kumuuwa kuwa gumu sana ..
Huku baba yake akiwa anamiliki utajiri wa kufaa mtu
,blandina alikuwa naishi maisha ya hali duni kias kwa kuwa alikuwa hapendi
kutumia mapesa ya huyo mzee wake mchawi..mara nyingine akiamka alikuwa anakuta
milioni 10 kitandani na yeyealikuwa anenda kuziweka benk na hazitumie hata
shilingi mmoja ..zaid alimtegemea sana mama yake ambaye naye alikuwa na
biashara zake za alali na zilikuwa zinampa vizuri ukichanganya na boom matatizo
madogo madogo aliweza kuyakabili..
Blandina hakusita kuendelea na mpenz wake ima ingawa kwa
mashariti ya kuto kufanya mpenzi mpaka waowane na jambo hili lilimtesa san
ima,kuna muda walikusana na kutaka kuachana baada ya ima kushindwa kuvumilia n
kwenda kutafuta msichana huko barabarani na kutembea nae.na siri zilipofichuka
kulikuwa na ugomvi mkubwa ingawa wakasuluhisha na Kuendelea na naisha yao kama
wapenzi.
No comments:
Post a Comment