SEHEMU YA PILI
SIKU NILIPOTONGOZWA NA BABA YANGU FACEBOOK
SIMULIZI ZA KWELI
0713592224
Luc:thx
Julius: anyway tutachat
baadae ..
Luc; unasafari
Julius;yap naenda
kumcheki mama hapo selena amesema nimpitie ..
Luc:ooooh ok..
Julius:have nice time
Luc: u 2.
Julius: thx
Baada ya mazungumzo ya
awali baba fetty alikuwa kashajipa marks
za kutosha na nilazima atachukua hicho kifaa haiwezekani kikaruka mtoto toto
toto mama luc…du lazima nipate pale huu mwaka wangu du..hawaruki kabisa..
Huku nyuma fetty nae
Akampigia simu pendo na
kumsukuru kwa kumfumbua macho maana hana haja ya kuomba pesa kwa mama yeye muda
wote wanatumiwa tu pesa kama |M-pesa vile na sasa ameamini kwamba FACEBOOK PEKEE YATOSHA huitaji mtandao mwengine pesa nje nje na muda
si mrefu;
Fetty;shoga hii
biashara yako du mbona faida nje nje mwezangu..
Pendo:si nilikuwambia mama
facebook ndo mpango mzima..
Fetty:ndo habari ya
mjini du..
Pendo:mimi mwezio nampango wa kununua gari nyingine
Fetty:usiniambie shoga
Pendo:ndo hivyo mama…
Fetty:mambo ya fb hayo
pesa nje nje mtoto wa kike
Pendo:habari ndo hiyo
sasa nifanyeje wametaka wenyewe pilipili acha iwawashe
Fetty:mama nikwambie
kitu nimepata kibopa mmoja sasa hivi anaonekana anapesa nyingi kweli.
Pendo:ongeza upendo
ongeza msg mpaka aingie line…
Fetty:ndo nachokofanya
sasa lazima aombe poo mwenyewe…..
Pendo:haya mama m
nataka niende azangu gereg kunafund ananisubiria gari yangu mbovu kigogo
Fetty:mpaka mafund wewe
noma…
Pendo:chezea mimi hata
gari natengeneza bure…sitoi hata sent…
Fetty:sikuwezi
Pendo;utaniweza mama
kazana biashara ndo hiyo mtaji vidole vyako
Fetty:kweli mama…
Pendo:lakini angalia
usije ukaacha chuo bure mtoto wa watu kisa
mapesa ya mtandaon..
Fetty:usihofu wangu
shule mbele kama tai…
Wakati anamaliza tu
kuwasiliana na upendo shoga yake, gafla akaona msg imeingia kwenye inbox yake
ya akaunti fek ikisema:kumbe ndo tabia yako hiyo eeeh…….
Kuangalia jina akakuta
jina la mwanaume ambaye waliahidiana wakutane siku hiyo lakini hakukutana
naye.basi ikabidi ajibu nae msg ;tabia gani?
Mwanaume
huyo:kutudanganya na kutuchulia pesa letu bure na kuja kwenye ahadi usije…
Fetty:we baba
koma..tena koma kama ulivyokomaa kunyonya titi la mama yako sawa..tuliahidiana
na nikakwambia na shida na pesa ziwezi fika huko bila pesa na huwa sipandi dala
dala wewe mwenyewe ukatuma pesa sasa sasa hizi ndo tabia yako eeeHHH…kwanza
nikuulize ulikuwa unanitakia nini mtoto wa watu kiasi cha kukasirika hivyo
,hatujawahi onana,lakini unakasirika na kunitusi ushaniona m hawara yako
sio..sasa kuanzia sasa hata v msg vyako sitaki na ukizidi kunichefua naku block kabisa..
Mwanaume:sikia mama
basi samahani nimekosaa…
Fetty:wewe acha kabisa
hapa sio polisi,wala kanisani kwenye kitubio,cha misingi baba tuendelee
kuheshimiana na pesa zako nakutafutia nikurudishie ili heshima irudi kwetu pesa
ipo sina haja ya kunyanyasika na wanaume njaa ..
Mwanaume:basi poa nita
furahi kama utanirudishia..ukishindwa …
Fetty:nishindwe nini
sishindwi kukurudishia baba ….
Baada ya hapo fetty
alivuta pumzi ndefu kuashiria kwamba alikuwa si kazi rahisi aliyotoka kuifanya
na huwa
anafanya hiyo kwa wanaume wote anaowalagai na wanapoanza tu kumdai huja juu kama kishada vile …
anafanya hiyo kwa wanaume wote anaowalagai na wanapoanza tu kumdai huja juu kama kishada vile …
No comments:
Post a Comment