SEHEMU YA PILI
0713592224
www.simulizizakweli.blogspot.com
SEHEMU YA PILI
Mzee zero alipomaliza kazi alirudi zake nyumbani baada ya kumaliza kazi na kumwambia mkewe
yaliyomsibu hivyo mkewe aliamua kwenda kumsaidia mumewe kwa kwenda kumuomba
muhindi amsamehe ,,hiyo siku iliyofuata mama zero akiambatana na zero alikwenda
mmoja kwa mmojampaka ofisini kwa mumewe na kukutana na muhindi na muhindi
alipowaona alicheka sana maana nguo tu wazlizovaa zilikuwa ni majanga..matupu…zero
alikuwa wa kwaza kumtetea baba yake na kwa kuwambia muhindi kuwa baba yake
hawezi ishi bila mshahara kwa kuwa
anaugunjwa wa kupoteza ela sasa kama tunampatia matibu na hatutoweza
kujua kama amepona au la kama hatotembea na fedha mfukoni kisa siku,..huwa tunamuwekea
pesa tukikuta amepoteza tunajua hajapona bado sasa kama utamyima pesa tutapata
wapi pesa ya kumuwekea mfukoni..
Mama zero nae akadakia kuwa mumewe sasa anumwa ugonja wa kusahau njia hiyo
hawezi tena kuendesha baskeli maana jana allipotoka huku kazini alipita njia ya
buguruni badala ya morogoro road,hiyo anahitaji kupanda daladala ..amasivyo
atashidwa kufika kazini kwa wakati..
Muhindi aliwasikiliza kwa makini na kisha akatoa maamuzi
kuwa atakubali kumrudishia mshahara wake mzee zero ila itakiwa warudishe
baskeli kwake maana yeye ndo mmliki halali wa baskeli hiyo..
Mama zero alikubali ingawa mtoto zero alikataa na kusema
kuwa hawezi kurudisha baskeli kwa kuwa wanaitumia nyumbani kuziia mlango usiku
wanaolala na huwa wanakonect na kengele hivyo mwizi akisukuma tu mlango kengele
huwa inalia na haiwezekani kabisa wakacha kuweza ulizi maana nyumba yao ina
mali nyingi za dhamani kuliko hata duka lako na yumba yako ndugu muhindi…
Kitu hicho akilimshangaza sana muhindi na kuwambia mtoto zero atafaya dhiara yao ili
anangalie je wanamali inayohitaji ulizi wa kutosha..
Baada ya mjadala huo zero na mama yake waliondoka na kurudi
zao nyumbani.na kumpatia taarifa hiyo baba yake na alifurahi sana kuamua
kwanunua juice ya mia tano na wakaichanga na maji ili iwatoshe wote..siku hiyo ilikuwa kama
sherehe ya kurudishwa mshahara wa baba kazini..mama alimtupia sifa sana zero
kwa utaalamu wa kujitetea na kusema zero alikuwa anaongea kama obama vile…
Siku iliyofuata muhindi alimua kuwatembea familia ya zero….
Je atakutana na mali gani? Na zitakuwa na dhamani?
Fwatilia sehemu ya
tatu>>>>>>>>familia ya zero…
No comments:
Post a Comment