BLANDINA SEHEMU YA TATU.

BLANDINA SEHEMU YA PILI 0713592224 SIMULIZI ZA KWELI www.simulizizakweli.blogspot.com Siku mmoja blandina alijaribu kwenda na sai lodge lakini njia walikutana na foleni kubwa ambayo hawajawahi kuiona dar.ikabidi washauriane wafanyaje na wakaamua waingie kwenye kigest bubu maeneo hayo ya karibu hata kama kina kunguni poa tu .bora kidogo kuliko kukosa kabisa.walipo fika tu pale wakamkuta muhudumu na tangazo linaonyesha vyumba vipo kwenye kibao lakini muhudumu aligoma kata kata kuwapa chumba kisa ima anaonekana mtu mzima sana na blandina wanafunzi tena wa msingi..blandina alishangaa kauli za muhudumu kumtusu ima kwa kusema,baba zima kubeba kitoto cha msingi ,utakauwa katoto ka watu ,mtoto hata hajakuwa jamani..,kweli dunia imeisha ,tokeni hapa msinitilie shombo zenu..na wewe katoto unende kwenu acha kutembea na hawa wazee wazee wengine wagonjwa hawa shauri yako.. Basi ima na blandina wakaamua kuondoka huku ima akimuuliza blandina hivi mbona huu uhusiano wetu una mambo ya ajabu ajabu mno mama…kuna nini lakini.blandina akasema sijui mpenzi kuna mtu amatuchezea hapa lazima.. Imma:sasa dear m naona dawa ya haya mambo ni kwenda kanisani kuombewa na tufunge ndoa kabisa na tuone kama noma na iwe noma au unasemaje mpenzi..


Blandina:sawa sawa dear… Wakatoka zao mpaka kwa mchungaji na mchungaji alipomuona tu blandina akaanza kutokwa na jasho jingi na kumuamru blandina aondoke pale kanisani,basi huku nyuma ima aliambiwa na mchungaji siwezi kufungissha ndoa ya blandina kwa sababu blandina ni bos wangu sasa tangu lini mfanyakazi akafungusha ndoa ya boss..imma hakuelewa lakini akasema tu sawa na kuodoka zake nje akamkuta blandina na kumwambia aliyoambiwa na kumtaka blandina amwambie kila kitu.. Blandina alimweleza mpezi wake ishu nzima na imma akamshauri aanze kuvaa suruali kama alivyambiwa na mganga hivyo blandina akanunua surual za kutosha na kuaza kuvaa kila siku mchana hadi usiku ingawa fangas walikuwa wakimsumbua sana lakini hakujali hilo.na kwakipindi chote alichovaa suruali hakuweza kuwa na nguvu za kichawi na hata aliporudi kwa Yule mchungaji mchungaji alikubali kuwafungisha ndo lakini kwa shart kuwa blandina lazima avae suruali siku ya harusi yao ili lile jinni alilo nalo lisiweze kumzuru mchungaji…

ISOME  SIMULIZI YOTE HAPA.


No comments:

Post a Comment