kimya kimya sehemu ya tatu.

KIMYA KIMYA 
SEHEMU YA TATU
SIMULIZI ZA KWELI
www.simulizizakweli.blogspot.com
0713592224





msg ile ilimpa hasira sana na kuamua kuamka na kutaka kuondoka usiku ule ule kwa wakati ule ilikuwa tayari ishafika saa 3.30 usiku hivyo ikabidi nianze kumsihi asipandishe jaziba usiku ule maana pale sikani hapakuwa natabia ya watu kupiga kele iwe mchan iwe usiku so nikamsihi sana lakini ilikuwa ngumu kunielewa akawa ananganganiza nimtajie huyo mtu aliye tuma hiyo msg dakika 40 zilizopita nikamwambia mama huyo ni bosi alikuwa anataka nimtumia kazi yake ya report ya maralia lakini wapi eva akagoma kabisa basi ikabidi nichukue simu zangu na kuondoka nazo kwenda nazo jikoni maana nilijua tu soon itakuja msg nyingine.
Moyoni nikiwaza je eva akijua kuwa m huwa nauza madawa itakuwaje? Na huku bado ni mwanafunzi da mungu niokoe na hiki kiama sitaki kabisa eva ajue hizi ishu nikapiga pale na ishara ya msalaba ya kizushi nikimwomba mungu aniongoze nisikije nikakamatika maana baba yake eva ni afisa usalama na mi namfahamu sana maana kashakula sana million zangu kadhaa da ilikuwa usiku wa mshike mshike ikabidi nimpigie simu bosi nimpe ishu mazungumzo yalikuwa kama hivi..
Boss:o
Mi:tena?
Boss:we nani?
Mi: oya 666
Boss:dogo vipi uko poa..
Mi:niko poa boss sema ile assignment yako nitakutumia kesho cxk?
Boss:poa dogo akasemaje sasa?
Mi:ndo na malizia conclusion sema page37 ndo ilikuwa inazingua. Baada ya mazungumzo hayo bosi akawa ameelewa kabisa kuwa eva yupo na aliiona ile msg (Cxk ;c inaamisha eva, x msg na k kusoma)hizi ni lugha zetu za kazi na page 37 inamaanisha kakunja uso mbaya na haelweki hagawanyiki ila hajuii nani katuma ile msg.
Hiyo boss alimuita mama shuhuli ambaye muda wote alipo boss na yeye huwepo akamwabia anipigee kwa namba yake na m siku niende nikaisahau chumbani pembeni ya alipolala eva ili aitapo tu eva apokee
Kama kawa nilifanya kamaniliyoagizwa na bosi mkuu na kweli baada ya dakika kazaa simu ikaita na namba za Kenya maana boss wetu alikuwa anatumia mtandao ya Kenya.eva akashituka naalipoona ni ile namba akaogopa kupoke kwa muda.akaanza kuniitaa


We frank we frank simu yako inaita ??
Mi:pokea mama unaogopa  unaogopa nini?
Eva:njoo uongee nae mwenyewe  bwana m sitaki kuongea na wake zako?
Mi:siji huko kama hutaki acha ikate?
Eva:akapokea kwa hasira; “halo we nani”
Mama shuhuli:m lulu mambo.
Eva:poa yaani wewe ni lulu huyu huyu unamtaka na frank wangu eti?
Mama shuhuli:m lulu dada yake na boss wake ,we shemeji gani unakuwa mkali ka pilipili?
Eva:aaah shemu pole mwaya kumbe wewe Nairobi kunasemaje?
Mama shuhuli:kukopaa so akija frank mwambie anipigie sawa shemu halafu usimnyime kaka nyangu sawa?

Eva:tena ushindwe m bado mdogo wa simpi na yeye asinipe sihitaji?

SOMA FULL STORY HAPA

No comments:

Post a Comment