GAUNI LA AJABU



ZAWADI YA GAUNI
Sitokuja kusahau siku nilipo letewa zawadi ya gauni zuri ajabu..
Lilinifariji,lilinichangamsha,lilinipa uchungu,liliharibu maisha ya familia yangu..
Gauni hili lilinipoza…?
(kisa cha kweli kilitokea Mwanza)….
Hisani ya simulizi za kweli
















Najua unaopenda sana zawadi dear nah ii ndo zawadi yangu kwako
Ooooooh baby gauni zuri kweli asante…pendo alijibu
Usiwe na shaka wangu nipo kwa ajili yako.
Pendo ;kweli imeamini unanipendajeee..

Dani:nakupenda zaidi y a sana wangu naweza nunua bahari kwa ajili yako..
Pendo;mmmmmmmmmmmh lione ushaaanza swaga zako.
Sasa dear wangu ngoja nikajaribu nikirudi utaniambia nimependeza au laa?
Si unajua wewe ndo kioo changu..
Dani:kweli wangu mimi ndo mirror so no p…
Wewe nenda kajaribishe nije nikupe marks
(wakati pendo akiwa ndani akijaribisha nguo aliyoletewa na dani..dani alibaki sebuleni kwa kina pendo akinywa maji taratibu)
Muda ulifika pendo alitoka ameshaulamba na kapendeza haswaa…
Pendo:::sema dear imeniikaaa vizuri…
Dani:duuuu sina cha kusema umetoka mama….
Pendo akamkumbatia dani kwa furaha huku akimpapasa papasa mgongo…dani nae bila ajizi akamkumbatia kwa nguvu na kumkisi kisha akaenda kupata juice ya bure bure..kwa dakika kazaa
Pendo:dear basi basi hapa nyumbani mwenzio unataka baba aniuwee…
Dani:sorry wangu,…..
Pendo :usijali tunaweza enda sehemu tukaongee vizuri…
Dan:sasa hivi wangu..
Pendo:eeeh m naona uvivu kuvua hili gauni bora twende sehemu labda nikirudi nitakuwa nimepata mudi wa kuvua hili gauni.maana naona tabu mie kulivuaaaaa
Dani;sawa dear wewe ndo bos so tende zetu….
Dani na pendo walitoka nje  na kuchukua bajaji na kuelekea  kwenye logde moja kubwa mjini mwanza huku dani aliweza kupata muda wa kuongea mawili matatu na pendo huku pendo akiobyesha hali ya uhitaji wa kufanya mapenzi na dani ndo dani aliamua kumrizisha kwa kumpa pendo anachokitaka ..
Maskini pendo siku hiyo ndipo bikira yake aliyoituza kwa miaka 21 iliondolewa kirahisi na dani ..
Baada ya masaa masita pendo na dani waliondoka na dani alimrudisha pendo nyumbani kwao..
Kwa bahati zuri siku hiyo wazazi wa pendo walikuwa wamechelewa kurudi nyumbani hivyo kumuwezesha pendo kuingia ndani bila vikwazo..
Baada ya kuingia ndani pendo alilivua lile gauni na kuanza kujiangalia haamini kama dani ameshamtoa bikira bila yeye kujijua vizuri..
Pendo akitafakari;;”hivi kweli mimi pendo nime…,kweli…..,jamani dani ni hili gauni lake mmm..mbona sijielewe elewe…mmh e mungu niokoe…
Pendo akiwa anafakari huku akiwa hana nguo hata moja zaid ya kanga aliyokuwa amejifunika baada ya kuvuaa nguo Zote…
Akaenda kuoga na kurudi kisha akaliweka gauni lile alipewa na dani ndani ya sanduku lake ambalo huwa anaweka nguo asizozipenda kabisaaa…
Baada ya siku hiyo pendo hakuwahi sikia sauti ya dani wala namba yake haikuwahi patikana tena hewani..
(baada ya siku 4)

Kitu hicho

kilimshangaza sana pendo kwa nini dani hapatikani hewani na kijiweni nilipokuwa namkuta nikienda hayupo..mbona hanitafuti kwa nini ….?shida yake ilikuwa ni kulala na mimi tu…nahisi..
Wakati pendo akitafakari hilo akiwa chumbani kwake mdogo wake pendo aliingia na kuanza kumtaniaa..
Mdogo wa pendo:Dada mambo??
Pendo :poa wangu nimekumisije…?
m-pendo:hata mimi dada yangu imekumiss sana bado hujapata kazi wangu..
Pendo:bado mama ajira gumu sana siku hizi huwezi amini jana tulienda kufanya interview watu elfu kumi na mia tano wanataka watu 70 tu..
M pendo; mmmmmmh watu elfu kumi…mama mlikaa sasa….
Pendo: uwanja wa taifa ndugu..
M-pendo;mmmh usijali wangu mungu mkubwa atakusaidia sista ..
Pendo:niombee …
M-pendo:sasa dada si unajua mimi ugojwa wangu….nguo nijiachagulie zip sasa…
Pendo;wewe acha kunifilisi ..m sina za kukupa zote bado nazipendaa…
M-pendo:hh haya ngoja niende kwenye lile sanduku letu…
Pendo:aaah tena umenikumbusha kuna gauni moja lipo huko kweye hilo sanduku sitaki hata kuliona lichukue sasa hivi…
M-pendo:daaaaa asante ndo maana nakupendaga sista wangu wa nguvuu..hili gauni ulinunua wapi sista ..mbona zuri hivi…?
Pendo; wewe vaaa tu maswali ya nini tenaaa…?
M-pendo:bas sawa …ila karikoo ilishawahi ulizia gauni kama hili wakasemaa laki 2,
Pendo::mmmh umeona sasa nakupa vaa na wewe ujisikie wangu…
Baada ya hapo mdogo wa pendo aliondoka na lile gfauni na kwenda nalo chumbani kwake…huko mdogo wa pendo ndipo alipolijaribu lile gauni na baada ya kulijaribu tu alianza kujihisi tofauti ..mdogo wa pendo hakuhisi kama ni tatizo kubwa bali waliona raha kutokana na mabadiliko yale yalimchangamisha na kumletea matamano ya kuondoka nyumbani na kwenda matembezi..
Wakati anatoka mama yao alikuwa sebuleni akamuaona mwanae akitoka na kumuuliza wewe suzy (m pendo) unaenda wapi  saa hii..
Suzy (m pendo):mama naenda hapo mbele..
Mama:wewe njo hapa hilo gauni umelipata wapi…?
Suzy:kanipa  dada pendo…
Mama: eeeh pendo…
Mama akaaza kumuita pendo..:pendo…….. pendo……
Pendo:abeee mama…
Mama:njoo hapa….
Pendo akaenda sebuleni kumsikiliza mama yake alipo fika akashangaa kumuona mdogo wake amevaa lile gauni na anamkubaa mkononi..
Pendo:abee mama…
Mama: weee hili gauni ni lako…?
Pendo:ndio mama ….
Mama: we mwanangu wewe umepata wapi ela ya kununua gauni la laki mbili
Pendo: nilipewa zawadi mama…?
Mama:duu sasa  mwangu huyo mkwe yuko wapi???
Pendo:yupo mama (akajibu kwa uzuni)
Mama:sasa wezako umempa lini hilo gauni???
Pendo:leo mama muda si mrefu…
Mama: we suzy sasa nguo umepewa leo na hata kuifua wanangu hutaki unaivaa siku hiyo hiyo na kuaanza kuzurura nayooo…?
Suzy: aaah mama na wewe sasaaaaa.
Pendo:hhh shoga unaenda wapi sasaaaaaa.
Suzy:m wezangu naenda hapo kwa kina lea…
Mama:haya nenda uwahi kurudi….
Suzy: sawa mama….
Suzy aliondoka na kuwaacha pendo na mama yake wakibaki pale sebuleni …jiani alikutana na kijana akaanza kumtongoza taratibu suzy bila kuelewa alijikuta amekubali na kuenda nae ku moja la raha..
Suzy msichana mbichi na mrembo kama dada yake pendo ajikuta akizini na mvulana asiye mjua ndani ya hotel moja jiji  mwanza.
Wakiwa chumbani suzy hakukumbuka hata kuuliza jina la mvulana anayelala hotelini muda huo..
Baada ya masaa manne suzy alijikuta akirudi nyumbani bila kujijua kilichotokeaaaa..huku akijishangaa alishindwa kumwambia mtu kitu alijinyamazia tu na kwenda kulala moja kwa moja.
Kesho
Pendo;suzy mambo??
Suzy:poaa
Pendo:vip jana lea mzimaaa
Suzy:mzimaa anakusalimiaaaa
Pendo:mbona kama umepoozaaa..wangu?
Suzy;wala mama ipo safi…
Wakaendelea kuchat pale sebuleni huku wakinywa chai…suzy alianza kumdodosa dada yake kuhusu lile gauni…
Suzy:dada lile gauni ulipewaaa?
Pendo:eeeh vip kuna nini??
Suzy:hakuna kitu…alikupa nani??
Pendo:alinipa mvulana mmoja hivi…?
Suzy:anaitwa nani?
Pendo:wewe komaaaa jina lake la nini???
suzy:basi ya isheeee?
Pendo:vip umelionaje gauni??
Suzy:mmh zuri ila ….
Pendo:ila nin
Suzy:mmmh nililivaaa ikapendeza likaninitendaaa…?
Pendo:lilikutenda kivipi…?
Suzy:kusumbuliwa tu dadaaaa na wakaka…
Pendo:kawaida mama…ndo raha ya kupendeza hiyo…
Suzy:sawa
Baada ya kunywa chai pendo na suzy waliangania nakila mtu alikwenda kujipumzishaa chumbani kwake..


Wakiwa vyumbani kwao housegal alikwenda kuchukua mapazia ya madirisha iliakayafue…na alipo fika chumbani kwa suzy alimkuta suzi akiwa amelala na alichukua mapazia na kisha kuchukua na lile gauni ili akamsaidie kufuaaa..
Wakati anafua mapazia huku lile gauni akiwa ameliloweka maji alikuwa anasikia kama kitu kinacheza cheza kwenye ndoo yenye lile gauni na alikienda kuangalia anakuta maji yanacheza..hakuzingatia sana na akaendelea kufua mapazia kisha alipomaliza kufua mapazia aliamua kwenda kwanza kupika kisha arudi kufua lile gauni la suzy..
Akiwa jikoni anapika alisikia milio kama wa kitu kikijivuta na kuchezea maji…akilipotoka alikuta maji yamepungua kweye ndoo na gauni halionekani na alipoangalia aliliona gauni likiwa kwenye ndoo nyingine yaani ..alijiuliza nani kaliweka huko akakosa jibu akaamua kuendaa kuendelea kupikaa.
Baada ya kumaliza kupika alitoka nje na kwenda kwenye karo na alipofika alikuta gauni limeanikwa na tayari lilikuwa limeshafuliwa.alishangaa sanaaa
Nalipoenda kuwauliza nani kafua lile gauni suzy na pendo walisema hawajui nani kafua labda amuulize mamahaousegal alichaganyikiwa sana lakini hakutaka kuonyesha hofu yake mbele ya suzy na pendo…
Baada ya masaa matano gauni lilikauka na mapazia pia hivyo housegal lienda kuanua na alipofika ndan  alijaribu kulivaaalile gauni ili kuangalia kama lingempendeza..
Alipolivaa tu alilitoka nje ya nyumba moja kwa moja na kutokomea kusiko julikana na aliporudi baada ya masaa kazaa alikuwa nashindwa kutembea vizuri na huku akionekana kachokaa sanaaa..
Mama pendo alimuuliza:wewe dada wa kazi umetoka wapi??
Dada wa kazi:nimetoka kwa bibi nyamagana..
Mama pendo:wewe sema ulikuwa kwa bibi kumbe ulikuwa kwa hao wavulana wako…eeeeeeeeh na hilo gauni la suzy mnavaa wa ngapi siku hizi…
Housegal:hapana mama….
Mama pendo:;sawa banaaaa nyie valianene vizuri…..haya kanitengeneze uji sijala toka asubuhi ..
Housegal:sawa mama…..
Baada ya kukaa kwa muda wa wiki moja haousegal aliamua kumsimulia suzy kilichomkuta pindi alipokuwa anafua lile gauni na alipoamua kulivaa alijikuta ametoka nje ya nyumba na kwenda kuzini na kijana asije mjua na hajawahi muona hata siku moja,,,,
Alipokuwa anamsimulia suzy suzy ..alianza kulia kwa uchungu alipokumbuka yale yaliyomkuta na yeye pindi alichukua lile gauni kwa dada yake pendo..suzy aliamua kwenda kumuita dada yake pendo ili amwambie kilichowasibu yeye na  na housegal …
Alipofika chumbani kwake hakumkuta ndipo alimpigia simu na


                                                BONYEZA HAPA KUPATA FULL STORY



No comments:

Post a Comment