#sitosahau


SITOSAHAU
PART 1;
Hooooooooooooooo
Basi bwanaaa..
Shit…
Huu  ni uwaji dear…??aaah
Hoooo…. God
M sijui kama nitakupa tena.
Hembu nipe nguo zangu niende zangu ,,,mwanyaaaaaa
Mh hivi saa ngapi sasa…?
Saa mbili usiku wangu…
Mungu wangu saa mbili usiku itaingia nyumba ya nani sasa jamani??
Baba si ataiuwa mimi leo …
Mungu wangu imekuwaje ukaniacha nikae hapa mpaka sasa mbili usiku sasa dear…
Hata mimi sikujua kama muda umeenda hiv wangu…
Sasa nifanye mimi…?(akaanZa kulia)
**ghafla**
Mlango ukagongwa …………ngo ngo ngo>>>>>>>>
Mlango unagongwa huu usifungue
Aaaah kwani kuna nini unadhani wanajua Guest tulipo…
Watakuwa wameshajua sasa usufungue dear please…
Mlango unaendelea kugongwa…..
Hebu angalia nje…..kuna gari la polisi limepark…..?
Eeeeeeeeeeeeh waa had mbwa wa polisi…du leo tumeisha dear tunaumbukaa…
Sasa mama na hizo uniform utatokaje hapa guest maana hawa wapo mlango wa nyuma huu yunaoutumiaga kuingilia…
Du wana hadi bastolaa…
Wakati wakiendelea kujadilianaa..
Ghafla wakasilia watu wakikimbia na kisha milio ya risasi ikaanza kurindima guest yote pakawa hapatoshi tena …wateja waakimbia hovyo hovyo…
Polisi wakazidi kumimina risasi huku watu wasio julikana wakitumia wateja walipo guest kama kinga yao ya

kukimbia na  huku wakijibu mashambulizi ya polisi…

Peter na jack mwanafunz wa kidato cha tatu na mtoto wa mmoja wa maafisa wa juu wa jeshi wakiwa bado ndani ya chumba wakilia na kutafakari wanawezaje kutoka kwenye kile chumba bila kuonekana na mapolisi na je mapolisi watakubali kukiacha chumba hicho bila kukikagua,,,?
Nakama watakagua na kumkuta mtoto wa afisa mkuu wa jeshi wakiwepo ndani ya chumba cha kulala wageni akiwa na mwanaume huku mpira ya kiume iwa imetumika.kibaya zaidi jack aliingia hapo gest akiwa amevaa uniform na kujifunga kikoi tu kwa juu…
Mapambano ya risasi yaliendelea kwa saa mbili kisha yakatulia ..na ndipo ukaguzi ulianza chumba kwa chumba kutoa miili ya watu kufa na majeruhi wengi wao wakiwa ni wahudumu wa guest hivyo na majambazi walikuwa wamejificha kama wageni kwenye gest hiyo..
Jack na peter wakiwa wamejifungia ndani ya chumba wakiogopa walisikia polisi wakiongea kwenye korido ya guest …..
Afande hawa jamaa walikuwa wamejipanga sanaa asee…
Ndio chacha lile limoja lilikuwa lihodar sana bila masaada wa afande luis lingeweza kuuwa raia wengi pamoja na maafande wenzetu..
Redio koo
***afande chacha over….ndio mkuu over…operation imeisha sasa kagueni kila chumba over…ndio afande over…
##

Baada ya kupokea order hiyo toka kwa mkuu wao wa upelelez ukaguzi ulianza mara moja huku waandishi wa habari wakifwatilia kwa karibu na kuchukua matukio yote ya ukaguzi…

FULL STORY HAPA BONYEZA




No comments:

Post a Comment