KWA NINI MUME WANGU??

KWA NINI MUME WANGU?
Raha ya ndoa amani…?
Amani imeniponza mimi?mapenzi yamenilevya nikasahau majukumu yangu?
Sikujua kama mtu nimpendaye kwa dhati anaweza kunifanyia hivi??
Kweli usilolijua ni usiku wa giza.najuta kuolewa najuta kuwa muaminifu..
Eee mwenyez mungu unisamehe….



















Nilimaliza chuo na kupata kazi katika halimashauri moja hapa nchi Tanzania na kwa muda wa miaka miwili niliweza kufahamiana na watu wengi na wengi wa wanaume nilikuwa nakutana nao walikuwa wakionyesha dalali za kutaka kunioa..
Kutokana na mavazi yangu ,tabia yangu na busara yangu wengi wa wanaume walikuwa wakija na zawadi na ahadi mbali mbali ili tu niwakubalie nao waweze kuniweka ndani..
Wahenga wanasema ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu..kweli baada ya kukataa sana alitokea kijana mmoja aitwaye sai aliniweza alinitongoza nikatongozeka na nikalegea kabisa…mfanyabiashara huyo alinipa kila kitu sikumbuki ilikuwa ni lini nilienda bank mwisho wa mwezi ku dro mshahara wangu..nakumbuka ilifika kipindi akaunt yangu ilikuwa inasoma milioni 12 kitu ambacho sikuwahi kutegemea kama kinaweza kutoka..labda siku nikistaafu kazi…

Mapenzi matamu jamani ,,,raha ya mapenzi kupeana na kupendana tulikuwa mfano wa kuigwa kila mwanaume na mwanamke alitamani kuwa kama sisi..tulikuwa kama marichui na nikolas …jamani rahaa ilikuwa kwangu wanamke napendwa na mi napenda..basi tukawa kama watoto vile ..biashara za mpenzi wangu zilizidi kushamiri huku mimi kaZi kupandishwa vyeo ikawa kama kawa..bas nikaanza Kunenepa mtoto wa kike…navaa nguo za bei ya juu,natembelea gari la hajaa…na simu sikumbuki lini nilikaa na simu zaidi ya miezi miwili…
Ndugu zangu wote walinipenda na wote walikuwa wanamtakia maisha marefu mimi na mume wangu…jamani kweli pesa nayo inavuta undugu hata wale wanafiki waliweka unafik pembeni na kukubali kwamba niko juu..na niwakati wangu sasa kula raha wabongo wanasema kula ujanaaa…
Kutokana na hilo bas wazazi walizazimisha sai aje ajitambulishe na harakati za harus zianze mpema.kweli sai alifanya hivyo na tuliona kwa mbembe..serena na hakuna alikuwa hatujui kila mtu alisema harusi ile ya serena hotel ilikuwa ni mwisho wa kazi..wanyakyusa wanasema <<mbombo imalike>>basi raha ikazidi kuwa raha honeymoon dubai na marekani tukarudi bongo na nikaanza kushiri kusimamia biashara za mume wangu na mambo yaka utamu …na bata ilikuwa haishi yumbani na maeneo ya kujidai..
Ilipita miaka miwili sijazaa na walasikuwa na wasisi  kwa kuwa wasi wasi wa nini wazazi wa mume hawagombi wazazi wangu wanakula maisha na pesa zangu sasa kwa hilo likawa halinitishi hata mume wangu alikuwa haulizii kwa nin sishiki mimba..
Kazi ilikuwa kula bata na kusimamia kaz za mume wangu na ikafika kipindi nikaacha kazi niakafungua saloon zangu tano na kula bata kila siku kuhusu show za hapa mjini hakuna ninayokosa..mume wangu ananiamini na sikuwahi kulala na wanaume wengine zaid yake na ilikuwa jambio la ajabu rafiki zangu wameolewa ila mchepuo walikuwa nayo kibao tukiwiwa zetu club wezangu wanazamalizana na mchepuo

fasta fasta na mume zao wakipiga simu nawajibu niko nao hapa tunakura raha na walikuwa wananiamini sana na nimewaokoa sana rafiki zangu kwa kuwa walikuwa wanachepuka na mimi ndo kinga yaoo..
Maisha yaliendelea mpaka miaka nne na nusu ilipita bila kupata mtoto na mume wangu akawa hanishitui wala nini mm nikaanza kuweweseka chini chini mashot wangu naweapelekea zawad za nep wanapojifungua watoto wa ndani ya ndoa wengine wakijifungua watoto wa michepuo na kusingizia waume zao kuwa ni watoto wao..basi ikawa sir yetu kama marafiki na kati ya marafiki wote tulikuwa wawili tu ambao tunandoa za muda mrefu na hatujawahi kuzaaa na vipimo vilikuwa vinaonyehsha kuwa tuko poa tu ,,,,hatuna tatizo lolote na mume wangu alipima na kukutwa hana tatizo na akwa uhakika zaidi nilimruhusu mume wangu anzae na mwanamke mmoja wa kizungu na tukawa na mtoto mmoja afukasit na alikuwa anaishi na mama yake austaria na kuna kipind anakuja tunaishi nae Tanzania..
Nilikuwa nawewezeka kila siku usiku hasa nikiota nimeshika mtoto gafla mtoto angeuka kuwa pesa.ndoto hizo ziliendelea kwa muda mrefu sana naota nacheza na watoto ghafla watoto wote wangeuka malundo ya pesa na ndoto inashia hapo hapo..
Sito sahau siku nilipoamua kuondoka na rafiki zangu na kwenda zetu club kula raha na wao wakionekana wato wazima kidogo kwa kuwa wamesha zaa zaidi ya mara moja..mim nikionekana ka bint chuchu zikiwa wimaa na umbo bado limekatika vizur wabongo wanasema namba nane ya uhakikaa..

Siku hiyo pepo la kucheza na kunywa pombe lilikuwa kubwa kweli kwangu nilikunywa na kucheza na mara nyingi nilikuwa na bambiwa na watu maarufu maaarufu tu kwa kuwa walikuwa wanifahamu namimi nawahamu lakini ..siku hiyo alitokeza kijana mmoja mgeni kabisa hapo club na alinibambia na marafiki zagu wakanikonyeza eti tunpendeza tukicheza pamoja basi sikuweza kumfukuza na tulicheza na kunywa pamoja na mziki uliposisha nilimshidikiza kwenda kwakwe na gari yangu na tulipofika kwake sikuingia ndani kwa kuwa ilikwa usiku sana na alishuka na m niliondoka kwa kuwa mume wangu alikuwa amesafiri niliambua kwenda tena casino kunangalia yaliyojiri na kuendelea kunywa kwa muda wa saa moja na nikiwa narudi nyumbani niligundua kijana Yule alikuwa ameshahau saa yake na akili ikanituma nimpelekee nna nilipofika kwake nilipiga honi ..na mlinz alifungua na nikamuelezea na alipoenda kumuelezea bos wake aliniruhusu niingie ndani na nilipoingia nilimkuta amevaa boxer na taulo huku sehemu zake za juu zikiwa wazi..

BONYEZA HAPA KUSOMA FULL STORY SASA





No comments:

Post a Comment