MASKINI MIMBA YANGU

MIMBA YANGU..
Sijawahi toa mimba,sijawahi tumia dawa za kukinga mimba..
Sijawahi wazaa kuzaa,lakini gafla nilijikuta nimezama kwenye dimbwi..
Dimbi la uzazi,ndimbo hapo mateso na raha vilichanganyikana,
Nani wa kuniokoa,…..eeeeeh mungu nitazae mwanao naangamiaa..
FWATILIA SIMULIZI HII YA KUSISIMUA




















Katika usichana wangu sikuwahi fikiria kabisa kama nitaweza kupata changamoto kama nilizozipata niliposhika mimba bila kutegemea baada ya kubakwa  na  wanaume watatu siku nilipokuwa natoka shuleni mwaka 2011,sikuwahi fanya mapenzi na mwanaume yeyote nilijikuta niko katikati ya wavamizi na walinibaka na kunisababishia maumivu makali sana na nilishindwa kuelewa kwa nini waliamua kunibaka mimi na sio wengine..wanaume hao walinimwagia maji kwanza yaliyoonekana kama ni dawa vile na kisha kuniingilia kwa nguvu huku wakiwa wamenifunga mdom,mikono na mguu,sikuweza kufurukuta kabisaa nililia sana na hakuna aliyeweza kunisika ,au kusikia kilio changu..masikini mimi waliniaribu na kuniacha nikiwa imezimia…baada ya masaa kadhaa nilishitukaa na kujitahidi kuamka lakini nikashindwaa ilibidi nilale hapo hapo mpaka siku iliyofuata ndipo wasamaria wema na wanakijiji walipata taarifa ya kupotea kwangu toka kwa wazazi wangu waliponikuta kwenye lile pori nikiwa nimelala na sina nguvu kabisaa…
BAADA YA MWENZI
Niliendelea vizuri na masomo lakini nikiwa sina raha kabisaa na hakuna mtu aliyekuwa amekamatwa kutokana na tukio lile lililonitokea..siku moja naenda kukojoa nikiwa shuleni nilishituka kuona nakojoa mkojo usio wa kawaida ..ulikuwa mwingi na wenye arufu kama pafyumu vile nilishangaa sana..nikajitahidi kuuminya usiedelee kutoka lakini wapi..ilishindikana kwa mara ya kwanza nilikojoa kwa muda wa dakika 4 bila mkojo kupungua..
Baada ya kurudi darasani sikuweza elewa kile ambacho anafundisha walimu mawazo yangu yote yalikuwa kwenye ule mkojo niliokojoa na ile harufu  iliyokuwa inatoka kwenye ule mikojo..
Baada ya kutoka shule ilibidi nikamsimulie mama lakini hakuweza kunielewa kabisa ...basi ikabidi nijinyamazie tu..
Usiku ulipofika nilikula na kusoma kidogo kisha nikaenda kulala..nilipokuwa nimelala niliota ndoto nikiwa nipo hodi na wamama wajawazito pia kuna baadhi walikuwa na watoto ingawa watoto wao walikuwa mapungufu yakiwemo moja ya mtoto alikuwa hana jicho ,mwengine hana masikio ,wengine hawana miguu,na wengi wa watoto hao walikuwa wakifanana sana na nguruwe,mbuzi,na ngombe,..
Ghafla nilishituka na niliwaza sana ndoto hii ina maana gani kwangu.nililia sana siku hiyo sikuenda hata shuleni nilisingizia naumwa..muda wa mchana niliondoka nyumbani na kwenda mpaka pale ambako nilibakwa siku ile na nilikuta eneo lile lina hirizi tatu na pembeni zile hirizi kulikuwa na maandishi ya kaarabu yaliyokuwa yameandikwa kwenye kitaambaa chekundu..niliogopa sana na sikuwahi waza kama pale kijiji kuna watu wanaojua kiarabu kweli..
Ndipo nilipoamua kurudi nyumbani na kuenda kulala nikisingizia naumwa..ilipo fika sasa kumi na mbili join tumbo la uzazi liliaza kuuma na nilikunywa dawa lakini wapi halikupona na kila nilipoenda kukojoa nilikojoa damu jambo hili pia lilinishangaza sanaa kwa kuwa sikuwa katika siku zangu.
Nilivumilia hali kwa siku tatu mwisho iliamua kwenda hospital na  baada ya mapimu walisema hawaoni kitu zaidi ya kuona mimba ya miezi miwili.hivyo yawezekana damu hizo zinatoka kutokana na mimba hiyo kuharibika..lakini vipimo havionyeshi kama mimba ina tatizo lolote..
Nilipewa dawa lakini hakuna matumaini niliyopata ilibidi nihamie kwenye hosptali mbali mbali lakini sikuweza pata nafuu.

Ndipo mama na baba yangu waliponipeleka kwa wakunga wa jadi nako huko walisema wameona mimba ya ajabu tumboni mwangu na ni zaid ya mimba kwa kuwa imeingia kwa njia isiyo ya kawaida.maelezo ya wakunga wa jadi yalinifanya nilie sana na kuona kabisa huu ndo mwisho wangu cha kusangaza usiku nikilala nilikuwa nasilikia sauti ya mtoto akilia kwa nguvu akiita mama…maamaaaaa na kufaaaa…
Nikishituka shioni mtoto. Mimba yangu ilizidi kukuwa kwa kasi ya ajabu ndani ya miez miwili na nusu mimba ilikuwa inaonekana kama ina miezi saba na nusu.cha kuushangaza kingine ni uzito wangu ulizi kupungua sana kadri mimba ikikuwa uzito wangu ulikuwa unapunguaa..
Siku moja nikiwa natoka kwenye shuleni nilikutana tena na wale wavulana walionibaka na kuniuliza mtoto wao  vip mzimaa..
Nilishindwa kujibu nikakimbia …..na kuelekea nyumbani….
Jioni wakarudi tena wakaniulizia mama akasema nimelala basi wakaondoka na walirudi tena usiku kuniulizia tukiwa tunakula sebuleni na baba aliwauliza maswali  hawakujibu wakaondokaa..
Siku iliyofuata wakaja tena na ndipo baba alipowakimbiza na panga ingawa walipofika kichakani baba alishangaa sanaa kutowaona tenaa..
Mimba ilipofika miezi mitano ilitoka na mtoto alikuwa amekufa na madaktar waliamua kunisafisha cha kushangaza jioni niliona tumbo langu likikuwa taratibu na ilipofika sasa saba usiku  tumbo  langu lilifikia ukubwa wa kutoweza kutoka kwenye mlango wa chumba changu..
Nililia sana na usiku ule,..na wakati n alia baba alisikia watu wanagonga hod majira ya saa 8 na nusu usiku na alipofungua mlango aliwakuta wale vijana watatu wakamuuliza bado wanao hajajifungua..
Baba akawajibu ::bado ajazaaaaa
Kijana mmoja akauliza:atazaa lini mzee..



BONYEZA HAPA  "CLICK HERE" KUPATA FULL STORY.


No comments:

Post a Comment