SIKU SABA ZA KISASI ( SIMULIZI FUPI)..ISOME SASA..

SIKU SABA ZA KISASI..
PART 1:
(VIDEO MOVIE INAKUJA SOON>>)

Niliyaweka moyoni..
Uliniweka moyoni…
Kisasi ndani ya roho ….


SIKU YA SABA..
Dear .. umeniumiza mwenzio sitoweza kufanya kazi yoyote leo..ulichokifanya sio haki kabisa mpenzi wangu umebadili maisha yangu  kabisa umeziuwa ndoto zangu ilizokuwa naota kila siku kuwa ipo siku nitaishi maisha bila hofu ya wanaume baada ya kukupata wewe ..leo umeniumiza na nashindwa kuamini kama ni wewe kweli uliyenifanyia hivi kweli ni wewe ,uliyefanya unyama huu ..kwenye mwili wangu nilioutunza kwa miaka 23 bila kuutumia leo hii umetumika hivi kweli hautamaniki ..hauna tena dhamani..
Mpenzi huna tofauti na muhalifu mbele yangu umaniuwa na sitokusahau hakika umeharibu kila kitu wangu ..kwa nini lakini dear…kwanini baba umefanya hivi … I wish ungekuwa mimi ungeona jins ninavyojisikia moyoni wangu..umekula moyo wangu umesimamisha ubongo wangu..

Umenivunja nguvu sasa nifanye nini mimi..mtoto wa mwanamke wenzio ..lati angekuwa mtu baki..lakii ni wewe niliyekusave husband to be kwenye simu yangu ni  wewe ninayepokea simu yako hata nikiwa darasani..najibu msg zako hata kama ni za kawaida tu..ni wewe ambaye nijipiga picha na kukutumia..nakujulia hali kila siku ya mungu..
Leo imefika mwisho umelipa fadhila zangu zote kwa hili baba..asante sana naona hiki ndo kilikuwa kinanifanya nibaki na wewe siku zote..sweet love never end leo na experience difference wangu umenipa upate wa pili wa raha……kweli dunia ina mambo na kuwa uyaone…
Mimi si mtu tena na wakulaumiwa ni wewe…..
Ila nimekusamehe mpenzi wangu..asante kwa kunifanya ni experience hii hali sasa…..
JOHN



 Baaada ya john kuisoma ile barua aliichana chana na kuendelea na shuhuli zake kama kawaida bila kujua kipi kinaweza kuja kumtokea siku hiyo ya saba ..akiwa mitaa ya chuo akiperuz na kutafuta msichana mwengine wa kutoka nae alikutana na mzee mmoja mtu mzima kidogo makamu ya baba yake na alijitambulisha kuwa anasoma masters hapo chuo kwao akamuomba wawe marafiki na ikiwezekana watembeleane john akakubali na urafiki ulianza maramoja kwa kubadilishana namba ..na kila mtu akanendelea na mishe zake hapa na pale watoto sikuhiyo walikuwa hawapatikan kabisa kitu kilichomfanya john aondoke mitaa ya chiuo na kwenda zake sinza kutafuta wale wa bei..poaa..kama unavyojua wazoefu huwa hawaachi kirahisi ..akampata dada mmoja umri ka miaka 26 hiv akamaliza fasta fasta na kumpa 20000 na kasha kurudi chuo akiwa amchoka mbaya..alipofika tu chuo alipigiwa simu na yule jamaa wa master na wakakkutana cafeteria na huko walizungumiza mambo mengi kuhusu chuo na masomo kibaya Zaidi walichozungumiza ni idad ya wanawake wanaokufa kila siku hapo chuoni kwako..
Katika ya hayo maongezi likagusiwa jina la JACK Mpenzi wa john aliyemuandika barua siku hiyo kuwa amukutwa amekufa usiku wa leo bafuni..na inasemekana ameuliwa na mtu asiyejulikana..
Kitu hicho kilimshangaza na kumshitua sana john kiasi cha kukatisha maongezi yake na kuwasha simu yake na alikuta msg zaid ya mia na missed call za kutosha toka kwa watu mbali mbali..
Na nyingi za masg hizi zilikuwa kuhusu hilo tukio kwa kuwa john alikuwa anakaa peke yake na kipindi hicho kilikuwa cha sikukuu taarifa zilikuwa ngumu sana kumfikia kwa wakati ndo maana toka narud sinza hakupata mtu wa kumweambia kabla ya huyo jamaa wa masters kumtonya…
John aliwakimbia na kuenda chumbani kwa akina jack walikuwa wanaishi campus nyingi na huko alikuta mapolisi na watu wengi ,pamoja na wanafunzi wenzake kibao,john kuona vile alikimbia na kutoroka chuo kabisaaaa..na kwenda sehemu siyojulikana…

Akiwa jiani alipokea msg:::asante john mwanagu kafaa umefurahi sasa….wait for me…..bitch…
                                                                                                                 
Polisi walikagua simu ya marehemu  jack,laptop na vitu vyake vingine wakagundua vingi ikiwemo uhasiano wake wa karibu sana john ..hivyo walianza uchunguz na kufanikiwa kumkamata john baada ya siku 15…
Akiwa mkoani kigoma ..na wakamrudisha jiji dar es salaam kusaidi polisi kuhusu kifo cha jack aliyekufa baada tu yao wawili kuchana na usibitisho wa awali ulionyesha john alikuwa anahusika moja kwa moja kwa moja na kifo cha jack…
John alijitete kuwa  hakuwepo chuo alikuwa mtaa ya sinza na huku alikuwa na chagudoa tatizo je anaweza kwenda kuwaonyesha polisi huyo change je ananamba yake ya simu je anajua anakaa wapi.. maswal  yote hayo john alishidwa kujibu akabaki kusema tu sihusiki jamani …lakini usibitisho ulikuwa mgumu kupata ni kwa namna gani hausiki..
 Polisi walimuhoji juu ya uhusiano wake na jack na john nipo alinaza kuelezeaaaa
Uhusiano wao ulikuwa na  wa siku saba tu…na siku aliyokufa jack ilikuwa ya saba.
SIKU YA SITA..
Ndo siku ambayo nilitembea na jack bila kutumia kinga na pia nilinywesha pombe na kuhakikisha amelea chakali jack alikuwa hajawahi kunywa pombe kabisaaa na nilifanya hivyo kwa wenzake watatu waliokuwa chumbani kwangu kunitembelea niliwanchanganyia na coceni na walizima na mimi nilitembea nao wote laki jack alikuwa bikira hivyo nilitumia muda mwingi kwakwe kwa kuwa nilikuwa sijatembea na mwanamke bikira muda mrefu…
Kibaya Zaidi nilitembea nao sehemu zote mbili….
Na niliita na jamaa zangu wakaendelea nini niakondoka na kuenda zangu kukutana na mama moja ambaye alikuwa jimama langu huko tulenendelea  nmchezo wote kwenye gest moja ilipo mtaa ya sinzaa

Lakini baada ya kumaliza kufaya yangu yule mama aliniambia kuwa ana mwanae anasoma chuo kitu hicho hakuwahi niambia hata siku moja na siku hiyo alipa jina lake anaitwa jack na aliponieleza nilingundua mwane ndo huyo nilyetoka kulala nae muda sim mrefu..jimama lilikuwa linajisifu kuwa mwane bikira bila kujua mimi nilishafanya yagu muda mrefu…
Wakati anaendelea kunielezea nilitoka nna kuenda zangu chooni huku nyuma jimama lilikagua simu yangu na kukuta picha za mwanae akiwa na mimi na video ya mechi zima.. ghafla presha ikapanda na niliporudi nilikuta kazidiwa nikaita wahudumu wampeleke hospital kimya kimya nini nikakimbia na kurudi zangu chuo….
Nakuridi zangu chuo..sikujua kama ameangalia simu yangu..huku chuo nilikuta mademu wote wameshaondoka na masela wangu wako hoyi kwa kuwa walipiga round za kutosha …kesho ikawa stor chuo kizima chini chni kuwa kuna mademu walipigwa mtungo…
Maisha yalendelea na siku ya sita iliishia hivyo….

SIKU YA TANO::
Siku ya tano ndo



BONYEZA HAPA KUSOMA FULL STORY...  HAPA HAPA..





1 comment: