NIMEKUKOMESHA FULL STORY

Samahani sana kwa nitakao wakwaza ka simuliz yangu hii klakini lazima nisimulie ili mjue na mnisaidie kutoka hapa nilipo na nyie muweze kutoka hapo mlipo..
Nusu ya simuliz yangu nitaiuza kwa elfu 2000 tu..na naomba kama unataka kujifunza kweli na unataka ujue kila kitu kilichotokea nakuomba usome sehemu nitakayoituma bure na usome pia sehemu nitakayo kuomba uchangie…

Mmmmmmmh ok karibu..





















Nakumbuka   ilikuwa jumamosi siku niliyotoka babati na kutua dar mimi pamoja na mama jack ambaye niye muajiri wangu aliyenileta dar kwa mara ya kwanza nilikuwa na furaha sana nilifika nyumban jioni maeneo ya mikocheni na maisha yanianza kwa kutambulishwa na baba wenye nyumba baba jack alikuwa mtu poa sana najack pia toto..toto tooto  mtoto wa mama jack nakaletwa chakula ikala nikaoga nikalala na kesho yake siku ya jumapili mama jack hakuenda kazini siku hiyo aliniweka chii na kunipa husia kidogo na kunionyesha jinsi ya kufanya kazi za msingi kasha akaipeleka sokoni na kuionyesha vitu vyote muhimu na marafik wa kwaza wa kuwa nao wote hao walikuwa mahausegale nyumba za jirani na wake za watu wambao tunakao jirani hapo.
Maisha yalianza jumatatu mama jack kazini jack shule ni baba jack kazini mimi na nyumba nakaa na kufanya kazi na kasha nikimaliza kazi zangu nakaa zangu naangalia zangu tv siku zima nawasubiri wa rudi na wanawandalia chakula cha usiku na siku nyigine wanakula huko huko basi muda wingi nilikuwa nipo nipo tu nyumbani.na angalia tv…
Muda mwingine naenda zangu nyumba za karibu kusuka na kuongea na mashoga zangu wasaga na rumba wezangu hatu jipya zaid ya kupeana stori za kuosha vyombo tu na stori za kijijini.

Hivyo ndo maisha yalikuwa yanaenda na muda wa mchana jack akirudi kutoka shule nilikuwa namuogesha kisha namlisha…a nahakikisha analala..
Baada ya hapo muda wangu wa kula bata mtoto wa kike na ushamba wangu ulikuwa unazidi kupumgua taratibu ..
Vijana na wababa watu wazima walikuwa wananitongoza na wakatalia maana mama jack aliniambia wanaume wote wa nje wanaumwa ukimwi wakinitongoza niwakubalie kabisaaaa na wakinisumbua niwambie akwawatolee uvivu ..
Basi kuna muda nilikuwa namwambia na alikuwa anenda kuwapasha kweli kweli basi nikipita kesho heshima inakuwepo..
Maisha yalizidi kuendelea na mimi nilikuwa sina tatizo kabisa na watu na hat a bos wangu mama jack alisifu utendaji wangu wa kazi na ukarimu wangu kwa wageni na ndugu na jamaa zake waliokuwa wanakuja pale nyumbani kumtembeleaaa…

Zilipita siku mpaka ilipofika miezi sita hivi nakumbuka ….nilikuwa zangu nyumbani naendelea zangu na kazi za wikiend ndipo mama jack alitoka saloon na kujilemba na siku hiyo alikuwa na sendoff  hiyo  aliwapitia marafiki zake wakaja pale nyumbani na wakakaa na kuazna kupiga umbea kidogo kabla ya kwenda kweye hiyo sendoff yao  niliwafungulia get wakaingia na nikawakaribisha sebuleni na hapo ndipo umbe ukaanza…
Mimi siku hiyo siku cheza mbali nilikaa karibu na sebuleni dirishani kwa nje niwasikie wanazungumza nini..mtanisamehe kwa hilo labda hilo ndo liliniponza na kusikia vitu ambayo vilikuwa vinanihusu..
Wakaanza mchapo mmoja baada ya mwingine maraa huyuu…
Ooh mimi mume wangu kiboko ansimamia show balaa hivyo huwa nampa ratiba maana bila hivyo naweza kukonda bure mtoto wa mwanamke mwezie
Wengine oooh bora wewe mimi nalazimisha show …si unajua tena wanarud wamechoka sana sasa hapo sikubali kuchoka kazini nyumbani kazi kama kawaaaa.
Wengine mimi mume wangu hapikiwi na hause gellazima nimpikie mimi mwenyewe..basi mi nasikiliza tu nasema moyoni wanaume wa da rah asana…
Huku naendelea kusikiliza nikasikia dada aniita sikuitika mpaka nilipo toka pale dirishani na kwenda mbali kidogo ..kisha nikaenda na wakasema wanataka bia nikaenda kuwanuulia na waliozinywa  si unajua wanawake wakilewa mara huyu ake vibaya chupi nje nje titi nje nje et wanajiachia …ladies free mimi niko dirishani nachubnngulia …na wakiendelea kuongea maneno yao ya hovyo hovyo pale mimi nasikiliza tu…

Baada ya muda wakaaza kuonyeshana style pale wakijua hakuna anaye waona kumbe mimi nipo na waangalia kwa makini kabisa..
Wanakamaliza na kuanza kuwasema dada wa kazi ndipo hapo kisa kizima xha stor hii kilianzia..

Mara ,,,oooh mama jack unajua kuachagua shoga mfanyakazi wako kama amod shoz niga..anavigimbi mchafu mbaya kama pildeta au majengo ya makumbusho ya kale yaani alipo kuja hapa nilitaka kukumbia wanyaaa wewe noma hapo hata mumeo awe na ukame vipi haguzi taka ngumu hiyo…
(niliyasikia hayo tu nikatosheka machoz yakaza kutoka nikawa nalia nyuma ya dirisha bila kutoa sauti)..
Basi bila kuja wao wakazi endelea kibaya zaid boss akadakiaaa
Mimi nom asana hukumbuki yule wa mwazo nilimleta toka Malawi mtoto sura kama pango la kale alikuja hapa mume wangu hakumuangalia mara mbili nikasema yes yatosha  kweli huyu ni komesha ..basi hakuguswa na mtu hata wa mtaani mpaka anaondoka zake ..
Huyu sasa kidogo mzur sema bado type zile zile za wagumu kwa ajili ya kulinda mume wenzagu lazima uwe makini mimi navigezo vyagu mama..
Wakadakia wezake …eeeh tuambie vigezo vyako…

Kwaza …maangalia kiuno tako liko…kama liko nooooo hukanyagi kwangu..
Macho jee yapo kama yapo…noooo
Rangi ipo….weupe sana…noooooooo
Sauti kama ipo nyororoooo noo
Pia nangalia kama kasafi safi sana…noooo
Sasa huyo si unamuona nililetewa wa morogoro mashalala mtoto anatako nikasema noooo
Akajia wambeya mtoto anatako balaaa nikasema mbaya kwa mumeee
Akaja wa tanga huyu nilimkataa pale pale ubungo mtoto mzuri huyo hatakama mimi ningekuwa mwanaume ningetest zali..
Niakaamua niende zangu babati nikaja  na huyu…ni mwisho hakuna anayemtaka san asana walizi na wauza nyanya kidogo wanamsumbua msumbuagaaa..
(kumbuka huku nyuma ya nyumba mimi nasikiliza yote)
Walizidi kuongea utumbo na kila mtu akimsifia mama jack boss wangu kwa kuwa ametia for a kwa kuleta wafanyakazi wabaya kila kukicha na wasipendeza machoni mwa watu..ili kumlinda mumeweeee.
Mada ikaendelea kuchangiwa ,,,
Maraa oohh m mume wangu anapenda sana maziwa housegal nilimbwambilia nikikuta maziwa umeaacha wazi mimi na wewe na sikuizi sichukui wale weye maziwa koz wasije wakatiwa mimba bure..naogopa uke wezaaaa
Mwenzangu..
Kweli mmoja akadakia kumbuka hapo marafiki wa boss wako kama wane hivi wanasambaza ubaya wa mahausigel wao na kuleleza jinsi wanavyonuka hawafui chup,sidiria ,hawana nguo nzur hawaogi,wanakula kama nguruwe,yaaani kila baya ..sijui kama mapenz wajua kweli mmoja akadakia ..wajue wapi hawabwana zetu huwa wanawabaka tu..si kwamba wanajua kit undo maan ni muhimu kulinda mumeo kwa kuleta mahausgel wabaya kama barabara za vijijini vile…zilivyo mbayaa.


Ilipo fika saa moja walimpigia dereva tax na akaja kujwachukua wakaenda zao kwenye sendoff mimi huku nilijikaza nikawaaga na walipoondoka tu nikaanza kulia nikikumbuka walichokuwa wanasema nikawa najisikia vibaya najichukia kwa kuwa nilikuwa najiona mzuri kumbe wapi mimi ni mbaya mpaka wabaya wananiogopa maana rafik wengine wa mama jack si wazur hata sasa kama wanasema mimi sina shape wakati wao hawana kabisa basi mimi sina hata kidogo ikawa najiangalia kwenye kioo jikoni huku nalia..
Nikikumbuka kuna siku nikuwa nawachungulia mama jack na mume wakifanya yao.mama jack mweyewe hana hata jipya lakii ananimsema mimi hivi kweli…
Nilipanga malipizi makili zidi yaooo.hakika nilipanga malipizi makali kwanzia dakika hivyo…;chumbani kwangu kulikuwa na mkanda wa mabo yetu niliuchukua na kuanza kuangalia na nikaanza mazoez usiku huo huo..
Kwa kuwa baba jack alikuwa amesafir na jack alikuwa kwa bibi yake wikend hiyo basi nilibak peke yangu nikimsuburi mama jack arud toka wenye sendoff.
Nilijipanga kukaribisha baba jack kiviyingine  kabisa…
Mama jack alirud saa sita akaingia kulala na maisha yakeendelea na mimi nikanedelea na mikakati yangu mbele ya mama jack navaa nguo mbaya na chafu akiondoka navaa nguo za kisasa na nilikuwa nanunua na kuzificha nilikod mikanda na kujifuza kuongea kama wadada wa mjini swag za mjini na huku nikifanya mazoez.baba jack alirudi na alikuwa mtu wa kufanya kazi zake muda wote na kwa kipindi hiki alipata likizo na akawa nampeleka jack shuleni asubuhi nalipokuwa amerudi anakuta mwanamke nimejiandaa utafikiri nasubiria kitu vile ..mara juice kwa baba,soda,ugali maini.,,mara matunda,baba jack akawa anapata raha kubaki nyumbani nikiwa nje najua anaiona kwenye kioo cha dirisha nacheza na jack mwanae huku najirusha mara niachie upaja nje nijikune ziwa lionekane nara nionyeshe nguo ya ndani ..
Nikirudi ndani namuongezea juice na kurid kucheza na jack huku nikimuangalia kwa maahaba kwama wanavyofanyaga kwenye movie za kibongo..
Nianda ndani navua nguo ya ndani nacheendelea kucheza bila nguo ya ndani upepo unapoliza sket kule tako lote nje…


...>>>>>>>


CHANGIA KUSOMA FULL STORY  HII UJIFUNZE KITU. BONYEZA HAPA



UJUMBE KWAKO:usidhani kila umkutae kijijin basi hajawahi fanya mambo mabaya au hayajui mapenzi mapez yapo tu hata kwa wanyama.
Dharau mbaya wadada na wamama wa mjini punguzeni dharau kwa wafanyakazi wenu wa ndani yasije kuwakuta makubwaaa…
Mtoto wa baba jack ana mwaka mmoja hana ukimwi na mimi ndo mama yake …Mungu nisamehe kwa yote ..




No comments:

Post a Comment