NDUGU LAWAMA KWANI LAKINI?? FULL STORY

Ushawahi kukutana na ndugu lawama
Hebu tafakari kama ndugu yako akageuka lawama kwako
Kwa mpenzi wako na kwa watoto wako..
Mmmmmmmmmmmmmmgh hii ndo dunia bana
Soma kisa cha dada jack kilichomkuta baada ya kuolewa
Ndoa ndoano ndugu zangu usiombe yakukute  yaliyomkuta jack ndugu hawa acha kabisa
Ni shidaaaah kila kitu kimehariika
….twende pamojaaaa
Inakuja soon hapa hapa






















Mmh jaman mume wangu cha mwisho basi…
Aaah uchoki mama muda wa kulala huu kesho kazini nisije nikasinzia bure..
Acha hizo ngoja nifanye kazi yagu wewe lala…
…haya fanya uachotaka…
Lakini mume wangu hivi unahisi hawa ndugu zako wanataka nini..?
Mmmh m sijue wangu ila ni ujinga wao tu…
Jamani mimi naumbuka mwenzio hali si hali kabisa …
Hii ndoa hii ni shidaaa.
Kwa nini lakini ..
Mama mimi sijui ndugu wote wanamatatizo so hapo ni shida hakuna wa kumshika mkono mwezake..
Hebu wewe fikiria mke wangu kwenu mpo wane wewe wa kwaza …sisi tupo watano mimi wapili ila
Sasa hawa ndugu toka tumewatambulisha kuwa nyie ni ndugu kwa nini wanashindwa kuheshimiana..

Mmmh mama tulale banaa hao ndo ndugu lawama huwanakwambia unabisha eti wako kwenu tu kumbe umejionea wenyewe mke wangu huku kwenu pia wapo..



SEHEMU YA KWANZA
Jack na mumewe peter walikutana chuo na kupendana kisha kwenda kutambulisha makwao na kufanikiwa kuona..
Tatizo lilianza pale tu baada ya kutambulishana kwa familia ndugu wa jack ni wenye pesa nyingi na wadogo wa jack ni wanaume na ndugu wa peter ni watu wa dhiki na wadogo zake wote ni wakike ukitoa kaka yake aliyetangulia kabla yake..huku baba na mama wa jack ni watu maarufu sana mjini…tofauti ya kipato ilikuwa kikwazo kikubwa katika uhusiano wao jack alijitahidi kuwalea wadogo wa mumewe na peter alijitahid kutafuta kaz na kumsaidia jack katika kupambana na maisha waliyokuwa nayo ..
Mugu si asumani peter alipata kazi na maisha yakawa nafuu kidogo..
Tukianza na ndugu wa jack …wadogo zake ni mahandsome wote na wenye elimu ulijumlisha na pesa waliyokuwa nayo basi ukiwaona tu laZima utavutika nao..huku wadogo wa peter walikuwa masikini sana ila mungu waliwajalia sepu za uhakika sura za kuvutia …mtaani ilikuwa shida tu
Tatizo lilianza kwa wadogo wa peter kuwaomba pesa wadogo wa jack kila siku wanatuma msg za kuomba pesa ..ilikuwa utaratibu wao wakila siku na wadogo wa jack bila hiyana waliwapatia pesa na walianza kupendeza na kuwa watoto watamu ……kwa kutupia vitu vya uhakika na kuwa na vitu vya dhamani..

Ilikuwa balaa mtaani hasa ushwalini wanapokaa wakina peter kwao kwa wazazi wake maana walinaza kubadilika baada ya muda mfupi …na kuwa watu wa starehe na vitu vitamu tamu..
Huku ndani ya ndoa mambo yalikuwa sio shwari kwa peter maana jogoo alikuwa hawiki vizuri walikuwa wanasumbua sana jack kutokana na tatizo hilo ….mmmmh mzee wa kazi alikuwa anasumbua hawezi kazi..
Asubuhi akiamka jack anakutana na mesegi kibao za wadogo wa peter na familia yao wakitaka pesa..mm masikini jack na hamu zake hana pa kupeleka maana peter kaaza kuzingia na kitendea kazi chake huku pesa  zinahitajika akipigiwa simu anawamambia wako poa…wanauliza mtoto lini anawajibu hivi karibuni wapendwa…..huku akijua kwa hali ile iliyompata juma ni ngumu sana kupata mtoto kwa sasa…
Maisha yalikuwa hivyo…
Peter alijitahidi sana kuwafundisha wadogo zake na wazazi wake jinsi ya kujitengemea na kuachana na kuomba omba wanawachosha wezao lakini wadogo zake walimwambia familia ya kina jack imekuja kama bahati toka kwa mungu huu ni wakati wao wakula huku wamekaa maaana zamani walikuwa wanakula huku wamasimama na wanambinu mpya za kuomba so awaache …
Moja ya mdogo wake alisisitiza  ::kaka  fanya  mpe shemu vitu vitamu na sisi huku tutapata tunavyotaka..si jui umenisoma changamka kaka

Peter::wewe acha kuongea upuuuuz hapa utakula vibao sasa hivi…
Basi peter aliachana na ndugu zake hao na kwenda kwa ndugu wa mkewe na kuwaomba wasiwape pesa hovyo hovyo wadogo zake maana wameacha kusoma shule wanawaza shopping tu.
Huku nyumbani jack alikuwa nataka yake ya ndani hayapatikana vizur hivyo peter alikuwa depressed sana hajui afanye nini….?
Usiku mmoja wa kigiza

Jack:jamani jitahidi wangu tupate hata mtoto mmoja wa dawa jamani baba jitahidi pleas naabika mimi wangu jitahidi…
Peter:najitahidi wangu lakini inashindikana sijajua kwanini wangu ..na huko nyuma nilikuwa vizur sana hali imebadilika ghafla..
Jack:aaau ao wasichana wa huko mtaan wamekufanyiziaaaa
Peter;usaanza matusi sasaaa eeeeh
Jack:hapa wangu Napata hofu  mwezio ndo haina mwaka lakini shida imeanza tena eneo nyeti….masikini mimi..
Peter;usinungunike wangu vumilia mambo yatakuwa sawaaaaaa.

SEHEMU YA PILI.
Wadogo wa peter walitolewa out na madogo wa jack kwa kuwa wote umri wanalingana lingana vile wakawa kama couple hivi..mkubwa kwa mkubwa mdogo kwa mdogo hapo ilikuwa ni match kwali sana kwa kuwa wavulana walikuwa ma handsome na wadada wana viuno lawama sura usiombe ilikuwa ni kiama kwa waliowaoma bara baran..kwa kuwa kwanina jack pesa ipo walichua  nissan yao mayai tinted ndiyo iloyotuma kwenye huo mtoko siku hiyo ..
Walienda zao kipepeo kigamboni na wakafanya yao na kurudi jioni …na ilikuwa bonge la fun kwao kwa kuwa maisha yalikuwa kama heaven vile siku hiyo..
Weekend zote ukawa mtindo wao kwa kuzurua pamoja kama vile wameoana na wao kitu ambacho peter na jack hawakukipenda ingawa wazazi wao waliwaomba wawaache kwa kuwa ni watoto na wakikuwa wataacha..huku nyuma jack na peter wealijitahidi na wakafanikiwa kupata mbinu ya kuwezesha kupata mtoto na baada ya miezi kadhaa jack alipata mimba..
Na walifurahi sana na mwisho wa siku akazaa mtoto wa kiume wakampa jina gift.
Baba na mama yake peter walianza visa kwa jack kwa kuwa alikuwa bize sana na familia yake na alipunguza kuwatumia pesa na wakaanza kumzushia vitu kibao kwa mtoto wao na maneno yakawafikia mpaka wanafamilia wa jack na ndipo hapo maisha yalanza kuwa mgumu nay a kuhudumisha kwa peter

Maana alikuwa mtu wa kati kati kusuluhisha wazazi wake na wazazi wake walikomaa wanataka kumkomesha mkewe kwa kuwa hawatumii pesa na hata mtoto aliyezaa hafanani na mtoto wao peter
Mambo yakawa mabaya zaid baada ya kusema kwamba jack alichelewa kuzaa kwa kuwa siku za nyuma miaka imepita alishawahi kubakwa na watatu wanne hivyo kizaz chake kilisogea..
Mameno hayo yalimuumiza sana peter na kuamua kuwatuma wazazi wake na kuwaambia hajawahi ona wazazi wanaokosa fadhila kama hawa..akawambia hamjui mimi sina uwezo wa kumpa mimba jack …
Wazazi wake wakajibu:;wewe kwa nini usiweze wangu wakati uko fiti  kabisaaaa tatzo ni huyo jack mapesa anaringa na pesa zake za umalaya na kuhongwaa..
Peter:jamani wazazi wangu mgejua yanayotokea ndani msinge sema yote haya lakini sawa tu mungu atalipa..


Wakati huo yote yakitokea ndoa ya jack na peter ilikuwa imefikisha miaka miwili tu na nusu…tayari wameshapitia mambo kibao..
Huku nyuma sasa wadogo wa jack walipata taarifa za kuteshwa kwa dada yao kutoka kwa baba na mama yake peter na waliumia sana ukizingatia wao walikuwa wanawachukulia kama ndugu sasa wakaamua kulipiza ili tu kumrizisha dada yao bila kujua kufanya kwao hicho walichofanya watamuuza sana dada yao  na kuvunja ndoa yake na peter..
Mambo yalipangwa na kupangika na wadogo wa jack na walipokamilisha mambo yao waliyatekeleza kama ifwatavyo




No comments:

Post a Comment