KADENTI FULL STORY


Kadenti
Usijali dear nitakuja tu nitatorka shule nitakuja saa sita sita hivi.au sio ,..mmmwaaaah usiku mwema.. wakaagana pale na teacher ima akaondoka zake kurudi nyumbani..
Huku nyuma ticha akaendelea na ratiba zake usiku huo na ilipo fika kesho kakaja shule na begi kubwa kidogo na humo ndani kulikuwa na guo za kubadilisha mida ya saa sita..
Mwalimu ima na kadent emi walikuwa wakikutana wananunina ili watu wasijue na mara nyingine mwalimu ima alikuwa namchapa kwa hasira emi wanafunzi wenzake wakawa wanajua kuwa walimu ima hampend emi kumbe ilikuwa ni mbinuyao kuficha maovu yao..
Mwalimu ima alikuwa anafundisha hisabati soma ambalo emi alikuwa halipendi kabisa ingawa kutokana uhusiano wao alikuwa anafaulu vizuri tu..
Hiyo ndo historia fupi ya emi (kadenti na ima)
Sasa ilipofika saa sita mchana
Emi alitoroka na kwenda kwa ima na huko walifanya yao na ilipofika saa moja jioni emi alirudi kwao amechoka na alipoulizwa na mama yake kwanini unachelewa kurudi anamjibu tulikuwa na michezo mama…


Kwa kuwa mama yake hakusoma hakuwa na shaka lolote na mwanae.
Kadenti noma aliendeleza hako kamchezo na ticha wake kwa muda wa miezi sita mpaka ikafika hatua ya yeye kuhama shule ili siri zake zisigundulike na alipoamia shule ya mbali zaid ya pale kwao ikawa rahisi kwa ticha kufanya yake huko kwa kuwa alitafuta chumba jirani na shule mpya na huko ndiko ilikuwa balaa akitoka kwako asubuhi anatua geto kwa ticha ticha anatoka shuleni anarudi nyumbani kukaaa nampez wake emi.
Maisha yakazi kubadilika kwa emi akawa navaa vitu vya gharama na anachelewa sana kurud nyumbani kitu ambacho kilizidi kumtisha mama yake ambapo aliamua kuweka mtego.aliwatafuta watu wakawa wanamfwatulia nyuma nyuma na kukusanya taarifa zote na kumpelekea mama yake…baada ya kupata taarifa hizo mama yake alisikitika sana na hakuweza kumuuliza mtoto wake moja kwa moja alimyamazia huku akimuenjoy anvyomdanganya ..
Emi bila ya kujua kuwa anafwatiliana nyuma alikuwa bize na mpezi wake ticha huku akisahau masomo yake.
Waliompelekea taarifa mama yake emi walikuwa  wakisubiria mlipuko wa ugomvi wa yeye na emi  lakini hawakusikia chochote kwa wiki kadhaa .wakajipanga kwenda kuwambia emi mwenyewe kuwa aache hiyo tabia maana mama yake anajua na hajamwambia hivyo kunauwezekano wa kufanyiwa kitendo kibaya siku si nyingi…
Kweli walifanya hivyo na wakaenda kwa emi wakamwambia yote kuwa uhusiano wake na ticha unajulikana mpaka na mama yake mzazi sasa akamuombe msamaha mama yake au aondoke tu kwao maana muda si mrefu mama yake anaweza kumfanya kitu kibayaaaaa sanaaa

Emi hakuamini anachoambiwa alirudi nyumbani kanyongonyea kias cha mama yake kumuuliza nini mwanangu mbona umenyongonyea
Emi hapana mama ni nawaza tu maisha mama yangu..
Mama emi:eeeh wanangu leo unawaza maisha …mmmh naanza kuogopa mtoto wangu kwanini lakini…
Emi;haa pana mama ni kawaida kabisaaaaa.mama hivi kuna kitu unataka kuniambia..
Mama emihapana wanangu nikwambie nini wakati wewe mtu mzima wanangu soma tu faulu uje utusaidie sawa mwanangu..
Emi:sawa mama…usijali
Mama emi:sawa  basi kula uwahi kulala..


Emi akaenda zake kula akalala ingawa usingizi hakuja kabisa akawaza kwanini mama yangu hakutaka kunionya wala kunikemea kwa tabia yangu..
Kwa nini mama lakini kanyamaza kinya…
Hakupata jibu kabisaaaaaa.
Siku iliyofwata alienda zake shuleni moja kwa moja na hakupitia ghetto kwa miezi miwili ticha alifwata na kumuomba warudishe penzi lao lakini emi alikataaa kata kata na kuendelea na masomo yake kama kawaida alikazana sana na kusoma huku nyumbani alijitahidi kumsaidia mama yake na kumfurahisha.
Mama yake emi aligundua mabadiliko ya mwanae na alipewa taarifa na watu kuwa wanae ameachana na ticha na kwa sasa anakomaa na kitabu kwa kuwa ameshajua kuwa unajua anachokifanya…
Maisha yaliendelea na mama emi alikuwa mkinya sana kuzungumzia tabia ya emi ya kuwa na uhusiano na ticha..
Baada ya miezi mitatu kupita emi alihisi kuwa mama yake alikuwa ameshasahau mambo yake na ticha ndipo hapo alipotafuta mvulana wengine wa kupeana raha hapo mtaani na wakaaza uhusiano wao kimya kimya nan uhusiano uliponoga ndipo hapo  wapelelezi wa mama emi walipopata taarifa na wakamfikishia mama emi kama kawaida yao kuwa wanae tena anamvulana mwengine hapo mtaani mama emi alipata hiyo taarifa kwa mara nyingi wakati huu hakuweza kuvumilia na akamwita mwanae na kumwambia ..ukweli nay a moyon..


Mama emi alimueleza simuliz kuhusu maisha yake na huo ulikuwa husia wake wa mwisho kabla ya kufa kwa mwanae emi kwa kuwa mama emi alikuwa anaumwa kansa pamoja pia alikuwa na maambukizi ya virusi vya ukimwi ..alimuita emi chumbani kwake kisha akameza vidonge vyake vya kutuliza maumivu na kuanza kumwambia … “mwana nimekuita hapa nikuambie kuwa nafahamu uhusiano wako na mvulana wa hapa mtaani pia na uhusiano wako ma ticha ambao umeachana nae miezi mitatu iliyopita…mwanangu mimi mama yako nakaribia kufa ila nakuomba mwanangu nisikilize kwa sasa ujue kwa nini nilikuacha ufanye uchokifanya mwanangu..mimi mama yako kipindi nasoma shule nili.



No comments:

Post a Comment