Nataman kufa sehemu ya kwanza

Ilikuwa siku ya kutisha siku nilipomfumania mpenzi wangu mke wangu wa ndoa na muuza madawa maaruufu hapa mjin wakifanya mambo yao sebulen kwangu.. Ilikuwa siku ngumu sana kwangu kushuhudia mwanagu wa miaka miwili akiwa kanyeshwa madawa ya kulevya na yuko hoi hajijui.... Naikumbuka siku hiyo nalia na mungu wangu... Madawa yalikikuwa yametapakaa meza zima.. Sakafu yote... Huku uban na sigara kali zikuwa zimewashwa... Hakika hawez amina kuwa sikuweza jua harufu kamili ya sebule yangu.. Hakika.. Niliumia sana.
Mke wangu anamimba ya miez sita na yupo sebulen uchi akiwa hajitambui huku huyo muuza madawa aliendelea na harakat zake hakika... Niliishiwa nguvu kwa nini lakin mke wangu uliamua kufanya haya.. Katika hiki kipind kigumu nilichokuwa nakuhitaj.. Unifariji baada ya kutoka kwenye msiba wa baba na mama yangu waliofariki kwa ajali.... Nini kilikukuta.. Mbona dunia imeniangukia mimi mwenzenu....
Itaendelea.. Kesho..
Www.simulizizakweli.blogspot. Com

                   FULL STORY  BONYEZA HAPA




No comments:

Post a Comment