UHAUSIGELI STAKI TENA


UHAUSIGELI SITAK TENA.
Nakumbuka ilikuwa mida ya saa saba usiku ikiwa nimelala nikasikia watu wanaongea kwa mbali nikiwa usigizini huku nikizani ninaota gafla nilisikia sauti hizo zikizidi kuongezeka nikashituka toka usingizini na kukaa..kitandani
Wakati natafakari hivi ni maluwe au ni kweli nikasikia zile sauti tenaaa ndipo nikaamini hii si ndoto ndipo nikaamuka na kuisikiliza vizuri ile sauti ya ajabu inatokea wapi ndipo nikabaini kuwa sauti ile inatokea nje yaani uwanjani kwa kuwa mimi nilikuwa na lala gorofani nikafingua dirisha kidogo na kuchungulia nje ndipo nilipoona mambo ya ajabu kabisa ..nilimuona bos wangu na mke wake waliwa uchi wa nyama pamoja na jirani yetu pamoja na watu wegine ambo baadhi yao nilishawahi waona wakija hapo nyumbani siku za nyuma..walikuwa wamefunga vitambaa vyeus kichwani  na miguuuni huku wanaume wakiwa wanachinja kitu ambacho sikuweza kukitambua mara moja …..wanawake walikuwa bize kuimba ilena ndo hao walioniamusha  usingizi masikini mimi nikaaza kulia palekimya kimya kwa kuwa nimeshagundua kumbe mali zote hizi ni za kichaw na siku zangu zinahesabika..huku nalia nasali na huku naangalia wanachinja nini ndipo niligundua walikuwa wanamchinja mama moja hapa jirani yetu na wakamla nyama naona..mama huyo alikuwa anaumwa sana na kwa kipind chote hicho alikuwa hosptali na majirani iliwemo familia y abos wangu walikuwa wanampelekea chakula mara kwa mara na kumtembelea hospitalini…

Kumbe boss wangu na wezake ndo walikuwa wamemloga na siku hiyo ilikuwa siku ya kumlazia kabisa kwani walipomaliza kula nyama na nifupa vipipotea na wao walipotea na mimi siku pata usingizi nilibaki macho mpaka asubuhi na asubuhi ilipofika nilianza kazi za ndani  kama kawaida huku nikijifanya nafuraha kama siku zote ..na ndipo tulipata taarifa kuwa mama wa nyumba ya jirani kafaa na boss na mke wake walijifanya wanasikitika sana mbele yangu na mama boss alikuwa Analia kabisa kias cha mimi kumbembeleza na kumsindikiza msibani huko msibani alipofika aliangua kilio cha ajabu na kuzimia kabisa ikabidi wampepe pale na wale wamama na wababa niliona jana walikuwa kipaumbele sana pale msibani walijifanya kama wao ndso wafiwa sana na mimi kwa roho kuu huku nikiomba roho mtakatifu anipe ujasiri niliweza kuvumia na hakuna aliyenishitukia au kunitilia shaka kwa lolote…

Msiba ulikuwa wa kutisha pale mtaani watu walikunywa na kula walilewa na kushiba bendi ilipiga masaa yote kwanya zilikuja mpaka za kwao mwanza kuja kuimbia msibani watu walivaa tishet mpaka nyingine wakachukua takeaway za kwenda kudekia makwaoo.ulikuwa msiba wa mwaka boss wangu alitoa kama milioni 52 hivi kusimami msiba tu …hao wezake walichanga mafuta ,vyakula, na kadhalika…
Baada ya siku tatu marehemu alizikwa na maisha yakarudi kawaidaaaa.
Mimi na boss na mke wale na mtoto wake mmoja tulikuwa tunaishi mule ndani na hakukuwa ma tu wengine na hata ndugu wa bos wa walikuwa hawaji hawaji kututembelia pale nyumbani..
Maisha yalikuwa magumu sana kwangu nilikuwa nashinda nasali muda wote na hakuna kitu niliweza kula bila kusali.nilingundua nipo eneo la hatari sana cha ajabu mama mwenye nyumba kwa nje huwezi amini anaomekana mtu wa mungu sana anasali sana anasikiliza nyimbo za dini kila wakati na kutukuza utukufu wa mungu aliye juu wakati ni mchawi wa kutupwa…nilikazana kwenye sala maan niliamini hata nikesema nitoroke wanaweza kuuwa familia yangu kichaw na mimi pia..

Sikutaka hili litokea maana mimi ni wana wa mungu na nikaamini nitatoka kwenye hili shimo la samba salamaa bila kuchumwa wala kugatwaaa.
Siku saba baadae baada ya kuzika yule mama jirani yetu usiku wa saa nane walifanya rena kikao na wakati huo moja wa  wanachama wao alikuwa amekuja kumleta mwanae wamtoe saidaka kibaya Zaidi mwanae huyo alikuwa metoka tu kuzaliwa na mke wake tena kwa operashion wakipanga afaje wanae wanachama huyo alitaka wanae aumwe ili mke wake asishitikie kuwa wamemloga ..wakati huo wakipanga hayo milikuwa nawasilikiliza kwa makini sana huku wakiwa uchi wanyama ..

Nilisikia mpango yao yote na yule wanachama alipewa dawa na aliambiwa kwa kipindi chote hicho wanae asije akaoga maji ya baharini kwa kuwa dawa hiyo imetoka kuzimu chini ya bahari hivyo bas kama ataoga maji ya bahar ataweza kupona …
Wanachama huyo alikubaliana na wezake na kuaapa hatompeleka mke wake beach au kuruhusu mtu yoyote kwenda beach ili tu mpango wao ufanikiwe..
Kwa kuwa mke w member huyo alikuwa jirani yetu na alikuwa rafiki yangu sana alikuwa kamaliza chuo juzi juzi tu kakutana na huyo kaka napesa zake hakujua zinatoka wap masikini akafurahia mapesa na manyumba na safi za china na dubai kumbe mmmmweee  masikini mtoto wa watu aliingia kwenye shimo la mamba…
Kweli bwana siku si nyingi mtoto wale alinaza kuumwa sana na alipelekwa kwenye mahospital makubwa makubwa hapa mjini lakini ilishindikana kabisa  kupona na ilipofika wiki ya kufa huyo mtoto nilienda baharini nikachota maji na  na nikawita jirani yangu tupige stori na alisema nifwate kwake kwa kuwa hakuna mtu …nikakataa kwa kuwa nilijua nikienda na maji yale nyumbani kwetu au kwake wale wachawi watajua …
Hiyo nikamwambia nipo hapa nje ya nyumba yako alipokuja nilipega nae stori na huku amembeba wanae nilimuomba amshushe na aweke kwenye majani alikataa ila nilimsihi alipokubali niliamuka gafla na kuyamwaga yale maji yakamwagikia yule mtoto ghafla macho yalitoka kama anataka kufa vile huku mama yake anamuangalia…alipiga chafyaaa tatu na kulia kilio cha hali ya juuu..

Na baada ya dakka kazaa alirudi kawaida  na joto alillokuwa nalo na homa yote ilikuwa imeisha na huku akiwa ameloana nilibaki nashaa mimi na mama yake huku mama yake akishangaa zaid kwa nini mwanae alipomwagikiwa yale maji aligeuka gafla …
Aliniuliza maswali mengi mimi sikumpa jibu hata moja nikamwambia mama labda ni mungu ila nikamsihi alale na biblia na maji ya Baraka aiache kufanya hiyo inaonekana wanae alilogwa …hivyo sikumwambia kuwa ni mume wake ndiye aliye fanya hayo mambo..
Baada ya kufanya kazi yangu ya kuokoa maisha ya yule mtoto nilirudi nyumbani na kuendelea na kaz zangu na ilipofika siku ya tatu kilifanyika kikao cha dharura cha wachawi na ndipo walijadili kwa nini yule mtoto alipona ghafla na kwa kuwa alipona ghafla na baba wa mtoto itabidi amtoe mtu wengine maana yule dawa imemkataa..na hawawezi kurudia tena kumuua yule mtoto..

Baba wa mtoto aliamua kumtoa mama yake na hapo wachawi wakaangalia na wakasema mama yake hapana labda mke wake..mke wake kijana yule alikataa kata kataaa.
Basi aliamua kumuua yeye wenyewe kwa kuwa muda ulikuwa umeshapita wa kutoa kafaraaaa. Baada ya siku tatu kijana yule alikufa na wakamzika kwa shamra shamra kama kawaida yao..
Hali ilizidi kuwa mbaya mtaani kwani wachawi walizidi kuwauwa watu na kuwatoa kafaraaa na kibaya zaid kwa kuwa mimi nilikuwa ndani ya nyumba ile boss alianza kunikataza kusali sana na kwenda kanisani ..
ISOME SIMULIZI HII YOTE HAPA BONYEZA HAPA

No comments:

Post a Comment