simulizi mpya: season 24 coming soon..

                                                            Season 24
               (watu chini a miaka 18+ hamruhusiwi kusoma hadithi hii)
Caro akicheza kama muandishi  wa habari maarufu nchi Tonza aliamua kufanya utafiti na kuandika stori stori juu  ya mahusiano ya kimapenzi ya masaani maarufu wa  r&b .katika  utafiti wa awali caro aligundua kuwa msanii huyo Alisha record season 24 tofauti tofauti  akiwa  anafanya mapenzi na wanawake tofauti tofauti maarufu nchin hapo.je ni  wanawake wap hao??
Na caro atafanikiwa kuonyeshwa season zote…?ukizingatia famiia ya kina caro ni famiia maarufu sana je ni wangapi kwenye familia yao washawahi  lala na msanii huyo?na je msanii huyo aliwarekodi?
Huku tetesi za awali zikionyesha kuwa msanii huyo ashawahi lala na dada,mama mdogo na pia  shangazi zake caro..ukitoa mbali bosi wake,marafikiz ake,walimu wake na hata wafanyakazi wenzake ?je pindi atakapoona movi zao atavumilia kuangalia na kama atavumilia kuangalia je uongozi wa gazet analofanya caro utamruhusu kuchapisha stori yake gazetini..?maswali ni mengi  na magumu kuyajibu.

Uandishi wa habari ni kazi ngumu sana fwatilia season 24 mwanzo mpaka mwisho…..uhondo juu ya utamu…+18 tu ndo wanaruhusiwa kusoma hii hadithi inayosimuliwa kwa m fumo wa muvi..


No comments:

Post a Comment