DIGITAL (SEHEMU YA KWANZA) TRUE STORY

                                            
DIGITAL
Harakati za kuwa superstar…?
Emm binti mrembo aliyezaliwa kwenye familia  masikini…..?
Afunga safari toka mbeya mpaka dar kuja kufanya  kutafuta kazi?
Na ndoto yake kubwa ni kuwa star kama wema sepetu .
Je atafanikwa?
Ni kwazo gani anakubana navyo katika safari yake hii ya kutafuta usuperstar…?
Fwatilia simulizi hili…


 0713592224


Chapter 1:
Jamani mbona imetokea mapema hivi???
Alikuwa amezidiwa sana tukashidwa jinsi ya kumsaidia??
Alifika ameshaharibika kabisa mpaka ikabidi tuondoe tu sehemu zake za uzazi??
Du masikini emm mungu amlaze mahali pema peponi..
Baada ya hapo rafiki huyo wa emm wa zamani aliamua kwenda kuhani msiba wa rafiki yake aliyekufa akiwa na miaka 28 akiwa hajaacha hata mtoto.
Alipofika nyumbani kwa akina emm alikutana na masuperstaa wengi wa bongo na kuweza kufahamiana nao pale msibani.
Mama emm alipomuona sara aliaza kulia ghafla kwa uchungu maana sara alikuwa amependeza na alikuwa anaonekana kabisa kuwa ni mke wa mtu na pete yake kidoleni.mama emm alikuwa akiwalea kwa pamoja mwanae emm na sara kipind wakiwa wadogo sana lakin sasa wanae emm kashafariki kwa maradhi akiwa bado na umri mdogo huku akiwa hajaweza hata kumuachia mjukuu mama emm..alizidi kulia huku akiwa amemkumbatia sara mpaka ikabidi waje wamtoe na kwenda kumpumzisha ndani..wengi wa watu walikuwepo pale msibani walikuwa wakiongelea chini kwa chini kuhusu marehemu emm kwa kuwa emm alikuwa superstar mkubwa sana kuwa wengi walikuwa wanamsoma kwenye magazeti tu..toto la town…baby emmz kwa wengi walivyuomjua na kwa mara kadhaa alikuwa anaonekana na masuperstar na waheshimwa mbali mbali wakila ujana huku mjini..
Hakuna aliyeamini alipomuona pale kwenye jeneza alivyokuwa amebadilika kabisa yaani alikuwa mtu tofauti bila make up..alikuwa amebadilika amepungua na anatisha sana..
Wengine wa wafiwa walikuja na magazeti yao toka nyumbani ili kuja 

No comments:

Post a Comment